viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa mataifa ya Magharibi na taasisi za Kimataifa wamekemea vikali mashambulizi dhidi ya Ukraine na kuahidi kuiwajibisha Urusi

    Viongozi wa mataifa ya Magharibi na taasisi za Kimataifa wamekemea vikali mashambulizi dhidi ya Ukraine na kuahidi kuiwajibisha Urusi. Mara baada ya kuripotiwa taarifa ya milipuko katika miji mbalimbali ya Ukraine, Rais wa Marekani Joe amemshutumu Rais wa Urusi Vladimir Putin kwa kusema “Urusi...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Malkia Elizabeth na Viongozi wa TAA, 1953

    MALKIA ELIZABETH NA VIONGOZI WA TAA 1953 Picha hiyo hapo chini ya Mwalimu Nyerere na Malkia Elizabeth imenirudisha nyuma sana hadi mwaka wa 1953. Nimeitazama hiyo picha ya viongozi awa wawili nikaamua kufungua kitabu cha Abdul Sykes niangalie nimeandika nini kuhusu Mwalimu Nyerere na Malkia...
  3. L

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Viongozi wa Uganda na China wajadili ajenda mpya ya kutokomeza umaskini

    Rais wa Uganda amekaribisha mpango mpya wa maendeleo wa China katika bara la Afrika ambapo Uganda ni miongoni mwa nchi zilizopangwa kunufaika nao Rais huyo, ambaye alikutana na ujumbe wa China katika Ikulu Ijumaa, alitaja maeneo mawili muhimu ya Uganda ambayo ni kutokomeza umaskini na kuhamisha...
  4. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Tusiwe tunawalaumu au kuwasifu viongozi kwa kila kitu, vinginevyo tunawachanganya hivyo kufanya lolote

    Ni muhimu kujitahidi kupunguza lawama, kulalamika na kunung'unikia kila kitu kwani hiyo huwachanganya viongozi na mwisho kuamua kufanya chochote ili iwe vyovyote vile. Yaani akisimama malalamiko, akikakaaa analaumiwa, akichuchumaa manung'uniko, akitembea lawama! Dah! Shida hii husababisa hata...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Viongozi tumieni nafasi zenu kwa manufaa ya taifa nzima, Madaraka yanapita

    Kichwa cha habari kinajieleza hapo juu kwenye post hii.Ndugu zangu wanajamii forum great thinker naomba kujilipua msemo wao. Katika taifa letu kuna viongozi wanapokuwa madarakani wanajisahau katika majukumu yao wanafikili watabaki madarakani daima na mambo hayatabadilika. Viongozi nawaasa na...
  6. monde arabe

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na wenzake inaitesa Serikali, inawatesa viongozi wa vyama na Serikali na inatutesa raia wema kuliko inavyomtesa Mbowe na wenzake

    Habar za muda huu ndugu wanajukwaa Sote tunafahamu yanayoendelea hapa nchini kwetu,ukiachana na suala la Ngorongoro Conservation suala la moto kwa Taifa hili ni kesi ya Freeman Aikaeli Mbowe Kesi hii inamtesa kiongozi mkuu wa nchi, inawatesa viongozi wa vyama na serikali na inavitesa vyombo...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Balozi Mohammed Mzale ateuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma

    Rais Hussein Ali Mwinyi amemteua Balozi Mohammed Mwinyi Mzale kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Ofisi ya Rais; Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Uteuzi wa Balozi Mzale umeanza leo Februari 18, 2022
  8. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi kutopokea simu, nini kifanyike?

    Kumekuwa na wimbi la viongozi wa umma kutopokea simu zao. Simu za mezani nyingi hazipokelewi na kiganjani pia. Je, Ili kuwepo mawasiliano rahisi kati ya Umma na Viongozi hao, nini kifanyike?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Mzee Malecela hawana bahati na Siasa kama ilivyo kwa Wana wengine wa viongozi wa CCM

    Ni mzee Malecela pekee katika wale wakongwe wa CCM ambaye hana mtoto mbunge. Le mutuz aligombea ubunge wa Afrika Mashariki akafeli. Ipyana RIP naye hakufika mbali. Mwele tena mshumaa umezimika Yule Anna Kilango alikuwa mwanasiasa kabla ya kuolewa na mzee Malecela, nakumbuka mwaka 2000...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa AU wapongeza China kwa kuibadilisha vizuri Afrika

    Na Kelly Ogome Umoja wa Afrika AU umeipongeza China kwa mchango wake mkubwa katika kuleta maendeleo barani Afrika. Amani Abou-Zeid, kamishina wa miundombinu na nishati wa Umoja wa Afrika amesema, China ni mshirika mkubwa katika kufanikisha maendeleo barani Afrika kupitia ujenzi wa miradi ya...
  11. BALOTEL

    JamiiForums Tanzania Ni lini Watanzania hasa vijana tutaacha tabia ya kusifia viongozi ili kupata teuzi?

    Habarini ndugu zangu wa Tanzania. Naomba nikiri kwanza kabisa mimi sio mwandishi mzuri hivyo kama nitakua nimeenda tofauti kidogo nipo tayari kurekebishwa. Mimi sio mwanasiasa na wala sio mwanachama wa chama chochote kile ila ni mtanzania mpenda maendeleo, naomba nitambulike hivyo. Nimekua...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Wizara ya Afya: Ni muhimu kuja na sera ya mafunzo mahususi kwa viongozi wa vituo vya huduma

    Sina uhakika kama kuna chuo kinachotoa mafunzo mahususi ya uingozi wa sekta ya afya kwa madaktari/wauguzi wanaosimamia vituo vya kutolea huduma. Tunashuhudia kila uchao wafawidhi wa vituo wakishitumiwa kushindwa kusimamia ingawa sijawahi kusikia kama kuna mfumo maalumu wa kuwaandaa wafawidhi...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Wabunge na Viongozi wanatuhumu wakurugenzi na wakuu wa Idara mara kwa mara!

    #Kaziiendelee Kuna viingozi wa kisiasa ambao mara nyingi huwatuhumu na kuwashtaki wakurugenzi na Wakuu wa Idara mara kwa mara. Wanaweza wakawa na hoja lakini pia wanaweza wakawa ni sehemu ya tatizo kwa maana ya kuwachongea wakuu wa Idara ili wapate urahisi wa kufanya mambo yao kwa interest...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Huku viongozi wa CCM wakizidi kutakata na kushereheke miaka 45 ya chama chao, Watanzania wanazidi kuteseka na umasikini

    Wananchi wakihangaika kupata Maji. Viongozi was CCM wanatakata kama dhahabu
  15. S

    JamiiForums Tanzania CCM ya leo na viongozi wake ni uncomfortable kuliko ya Kikwete na ya miaka ya nyuma na wanasumbuliwa na fear of unknown kutokana na chaguzi kuvurugwa

    Iko hivi: Wakati wa Kikwete na Mkapa, CCM waliweza kujipima kupitia chaguzi wanakubalika kwa kiasi gani au wanakaliwa kwa kiasi gani katika maeneo tofauti ya nchi yetu na hivyo kujipanga kutokana na hali halisi inayowakabili kutoka kwa umma. Ni kweli hata wakati wakati wa Kikwete na Mkapa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Miaka 45 ya CCM: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA ndio wanaongoza kwa kujiunga CCM ukilinganisha na wapinzani wengine

    Wakati tarehe 05/02/2022 CCM itasherehekea miaka 45 tangu kuasisiwa pia kitawashukuru wanachama wa Chadema waliouona mwanga na kuamua kujiunga na chama tawala. Takwimu zinaonyesha kuwa wanachama na viongozi wa Chadema ndio wanaongoza kwa kuunga mkono juhudi za CCM katika kuwaletea wananchi...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Viongozi wa dini waguswa na mauaji yanayotokea nchini

    Kamati ya viongozi wa dini mkoa wa Mwanza imefanya mkutano wa kukemea hali ya mauaji yanayoendelea hapa nchini ambao wamekutana kwa ajili ya kujadili hali ya mauaji yanayoendelea. Mbali na kamati ya viongozi wa dini mkoa pia wameshirikishwa viongozi wote wa dini wa mkoa wa Mwanza. Katika...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CCM huwa inawezaje kuwa na viongozi majambazi na katili?!

    Nikiwa nasikiliza rap ya Stori ya Nyokaa na Watengwa,nikakumbuka stori ya Clement Mabina aliyewahi kuwa Diwani wa Kisesa Mwanza kupitia CCM. Mabina alijua jitu kubwa huku kwa nje akifahamika kama Diwani, tajiri na mfanyabiashara maarufu. Lakini kwa ndani Mabina alikuwa jambazi na katili sana...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kama tutatumia mabilioni Kwa miaka mitano viongozi walewale kuitana na kutuambia AMANI, MSAMAHA NA UZURI wa mtawala, lini tutakaa na wananchi?

    Hii mikutano inayoandaliwa Kila Siku na Serikali inagharimu Fedha nyingi Sana za walipa Kodi. Lakini waudhuriaji ni watu walewale na wazungumzaji ni wale. Dhima ya mikutano hii yote nikuwaaminisha wananchi kwamba Serikali Kuna Jambo inafanya Kwa ajili ya wananchi, wazungumzaji wote wanazungumza...
  20. Ugumu wangu

    JamiiForums Tanzania Siasa au Viongozi wa nchi mmeamua kudhalilisha idara hii muhimu kwa nchi yangu Tanzania?

    Habari ya jioni watanzania wenzangu, Rais wangu na mkuu wa Jwtz na Serikali yote. Jion hii Mimi mnyaturu kutokea Kintinku huko Singida nikiwa nachunga mbuzi nimekuwa na maswali magumu kwangu japo najua kwenu yanaweza kuwa rahisi kutujibu watanzania. Kuna kitu nakisikia kinaitwa kesi ya ugaidi...
Back
Top Bottom