vijijini

Iringa Rural District (Wilaya ya Iringa Vijijini) is one of the four districts of the Iringa Region of Tanzania, East Africa. It is bordered to the north by the Dodoma Region, to the east by Kilolo District and encircles Iringa Urban District, to the south by the Mufindi District, to the southwest by the Mbeya Region and to the northwest by the Singida Region.
As of 2002, the population of the Iringa Rural District was 245,623.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo: Asilimia 78 vijijini wanapata maji Safi na Salama

    Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb), Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Mipango Na Uwekezaji, akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2024/2025 amesema Kiwango cha wananchi wanaopata maji safi na salama kimeongezeka hadi kufikia asilimia 88.6 mijini na asilimia 78...
  2. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Sekondari Mpya Unaendelea Musoma Vijijini: Kisiwa cha Rukuba Kimeanza Ujenzi wa Sekondari Yake

    UJENZI WA SEKONDARI MPYA UNAENDELEA MUSOMA VIJIJINI: KISIWA CHA RUKUBA KIMEANZA UJENZI WA SEKONDARI YAKE Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374. Jimbo hili lina jumla ya Sekondari: *25 za Kata (Serikali) *2 za Binafsi (Katoliki & SDA) Sekondari mpya tano (5)...
  3. JamiiForums Tanzania Kufanya kazi vijijini nilikuwa nasikiaga tu kwa jirani

    Yamenikuta natamani kulia, nimepata ajira somewhere jamani chumba ni wadudu tu mda wote hata raha hamna masisimizi kibao hadi kitandani, kipindi cha mvua kinaanza chumba kinavuja, majongoo yanaingiaga ndani unaweza sema Niko nje network hakuna ni baadhi tu ya maeneo network inakamata. Ajira...
  4. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Serikali imewatenga Wanawake wa Vijijini

    SERIKALI IMEWATENGA WANAWAKE WA VIJIJINI Leo dunia inapoadhimisha siku ya wanawake vijijini, hapa nchini Tanzania hali ya wanawake, hasa wa vijijini bado ipo duni. Sensa ya 2022 inaonyesha kati ya wanawake milioni 31.6, wanaoishi mjini ni milioni 11.2 na waliosalia wote wanaishi vijijini wengi...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Zaytun Swai: Utekelezaji wa Programu Endelevu ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini Itawasaidia Sana Akina Mama

    MBUNGE ZAYTUN SWAI: PROGRAMU ENDELEVU YA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI ITAWASAIDIA SANA AKINA MAMA Mhe. Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha tarehe 11 Oktoba, 2023 ameshiriki katika Hafla ya Uzinduzi wa Utekelezaji wa Programu Endelevu ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali Itaendelea Kujenga Barabara Kuu Musoma Vijijini kwa Kiwango cha Lami

    SERIKALI ITAENDELEA KUJENGA BARABARA KUU LA MUSOMA VIJIJINI KWA KIWANGO CHA LAMI: WAZIRI BASHUNGWA ASISITIZIA UAMUZI HUO WA SERIKALI Jana, Jumanne, tarehe 10.10.2023, Waziri ya Ujenzi, Mhe Waziri Innocent Bashungwa alifanya ziara ya kikazi Musoma Vijijini kwa lengo la kuwatoa wasiwasi wananchi...
  7. JamiiForums Tanzania Kilimo cha Umwagiliaji Ndani ya Bonde la Bugwema - Jimbo la Musoma Vijijini

    Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alidhamiria kujenga miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji kwenye bonde la Bugwema lililoko Musoma Vijijini. Ujenzi wa miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji ilianza kujengwa Mwaka 1974. Mradi ukasimama. Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof...
  8. JamiiForums Tanzania Kijiji cha Kwikerege Chaamua Kujenga Zahanati Yake - Musoma Vijijini

    KIJIJI CHA KWIKEREGE CHAAMUA KUJENGA ZAHANATI YAKE Kijiji cha Kwikerege ni moja ya vijiji vitatu (3) vya Kata ya Musanja. Kijiji hiki hakina zahanati, kwa hiyo wakazi wake wanapohitaji Huduma za Afya wanalazimika kutembea umbali usiopungua kilomita tano (5) kwenda kwenye Zahanati ya Kijiji...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Michezo inaleta uhai kwa maendeleo ya vijijini China na Kenya

    Michezo ya 19 ya Asia ilifunguliwa tarehe 23 mjini Hangzhou, China. Katika miaka 15 iliyopita, toka Michezo ya Olimpiki ya Beijing, Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing hadi Michezo ya Asia ya Hangzhou inayoendelea sasa, China imekuwa mwenyeji wa michezo kadhaa muhimu ya kimataifa...
  10. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Jimbo la Musoma Vijijini

    (1) BARABARA 1a. Musoma-Makojo-Busekera TANROADS wako kwenye utaratibu wa manunuzi kwa ajili ya uwekaji lami kwenye barabara hili ambalo Serikali imeamua kulijenga kwa awali mbili. Nimewasisitizia (Mbunge wa Jimbo) kwamba ujenzi unaotafutiwa Mkandarasi uwe wa kuendeleza ujenzi wa Lot 2...
  11. JamiiForums Tanzania Oparesheni 255: Tundu Lissu afanya mikutano 5 Bariadi Vijijini

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo amevurumisha mikutano 5 mfululizo kwenye jimbo moja tu la Bariadi Vijijini Kama Kawaida yake, Lissu amewaomba Wananchi waunge mkono chama chake ili Katiba mpya ipatikane sasa badala ya porojo za viongozi wa serikali...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashusha neema Vijijini

    Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuimarisha miundombinu ya barabara katika maeneo ya vijijini na mijini ambapo imetenga sh. bilioni 858.5 kutengeneza barabara zenye urefu wa kilomita 21,058 zikiwemo za kiwango cha lami kilomita 427 na makalavati na...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Norah Mzeru Achangia Mifuko 50 ya Saruji, Matofali 500 na Laki Nne Ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Morogoro Vijijini

    MBUNGE NORAH MZERU AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI, MATOFALI 500 NA TSH. 400,000 KWAAJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA MOROGORO VIJIJINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi Mifuko 50 ya Saruji, Tofali 500 za Block na fedha kiasi cha Shilingi...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yachangia ujenzi wa Shule Shikizi ya Kitongoji cha Nyasaenge cha Musoma Vijijini

    SERIKALI YACHANGIA UJENZI WA SHULE SHIKIZI YA KITONGOJI CHA NYASAENGE CHA MUSOMA VIJIJINI Kitongoji cha Nyasaenge ni moja ya vitongoji sita (6) vya Kijiji cha Kataryo. Kijiji hiki ni moja ya vijiji vitatu (3) vya Kata ya Tegeruka ya Musoma Vijijini. Mwaka 2017, wananchi wakazi wa Kitongoji cha...
  15. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya wasafiri wa vijijini kukaa kila mtu na kituo chake?!

    Moja ya ushahidi wa baadhi ya wanakijiji kutotumia akili ni suala la wao kuchagua apandie wapi gari. Sio kukusanyika kwenye kituo kimoja cha karibu. Unakuta kituo kinafahamika lakini yeye anakaa mita 200 ya kituo anataka gari limfuate. Hata mwingine atakaa mbele kidogo ya mwenzie. Nimeshuhudia...
  16. JamiiForums Tanzania Utoaji wa Huduma za Afya Umezinduliwa Kwenye Hospitali Kuu ya Musoma Vijijini

    UTOAJI WA HUDUMA ZA AFYA UMEZINDULIWA KWENYE HOSPITAL KUU YA MUSOMA VIJIJINI Leo, Jumanne, tarehe 9.8.2023, Mkuu wa Wilaya wa Musoma (DC), Dkt Khalifan Haule amezindua utoaji wa Huduma mbalimbali za Afya kwenye Hospitali ya Halmashauri yetu ya Wilaya ya Musoma (Musoma DC) Hospitali imejengwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Joseph Kasheku Musukuma alalamikia Wananchi wa Geita Vijijini kumpigia makofi Tundu Lissu

    Ni katika hatua za kujaribu kuzima moto wa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chadema. Basi Bwana Josefu Kusheku a.k.a Musukuma aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita. Huku wanacnchi wakimtaka ktk ufafanuzi wake ajikite kwenye vifungu vya mkataba. Wananchi hawataki kusikia maneno ya rejareja...
  18. JamiiForums Tanzania Maji ya Bomba Kutoka Ziwa Victoria Yaendelea Kusambazwa Musoma Vijijini

    MAJI YA BOMBA KUTOKA ZIWA VICTORIA YAENDELEA KUSAMBAZWA MUSOMA VIJIJINI Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21, Vijiji 68 na Vitongoji 374. Vijiji vyetu vyote vina miradi ya maji ambayo iko kwenye hatua mbalimbali za utekelezaji. Miradi ya maji ya bomba kutoka Ziwa Victoria inatekelezwa kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya wafanayakazi wa ndani kutoka mikoa baadhi tu wakati watu wote wa vijijini nchini ni masikini?

    Wafanyakazi wengi wa ndani maarufu kama beki tatu asilimia kubwa wanatokea Iringa, Kigoma na Chato. Ni vigumu sana kusikia mfanyakazi wa ndani katoka Tarime, Bariadi au Moshi. Imekuwaje trend ya wafanyakazi wa ndani kutokea baadhi ya maeneo wakati pengine pakiwa hakuna uzalishaji mkubwa wa...
  20. JamiiForums Tanzania Igunga: Tunaishukuru Serikali kwa vifaa tiba na madawa kwenye zahanati za vijijini

    "... Toka nimeanza ziara vijijini kwenye kila Zahanati Ninayopita kuangalia mwenendo wa utoaji wa huduma za afya kwa Wananchi, Nimekuta kuna akiba ya madawa na vifaa tiba vya kuweza kutumia miezi Mitatu mpaka Sita..." "... Tunaishukuru Serikali yetu kwa uwekezaji mkubwa kwenye Sekta ya Afya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…