Rais Samia ashusha neema Vijijini

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuimarisha miundombinu ya barabara katika maeneo ya vijijini na mijini ambapo imetenga sh. bilioni 858.5 kutengeneza barabara zenye urefu wa kilomita 21,058 zikiwemo za kiwango cha lami kilomita 427 na makalavati na madaraja 855, katika mwaka huu wa fedha.

Fedha hizo zilizotengwa kupitia Wakala wa Barbara za Mijini na Vijijini (TARURA) pia inatarajia kujenga barabara zenye urefu wa kilometa 8,775 kwa kiwango cha changalawe na ujenzi wa mifereji ya mvua yenye urefu wa kilometa 70.

Hayo yalibainishwa jijini Dodoma jana na Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff wakati akizungumza na wandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa majukumu wa taasisi hiyo na mwelekeo katika mwaka huu wa fedha.

"Katika mwaka huu wa fedha barabara zenye kilomita 21,057.06 zitafanyiwa matengenezo, kilometa 427 zitajengwa kwa kiwango cha lami, kilomita 8,775.62 zitajengwa kwa kiwango cha changarawe, madaraja, makalavati 855 yatajengwa na mifereji ya mvua kilometa 70.

Aliongeza kuwa: "Jumla ya sh. bilioni 858.517 zimeidhinishwa kwa ajili ya ujenzi, ukarabati na matengenezo ya miundombinu ya barabara za Wilaya.

Alifafanua kuwa kati ya fedha hizo, sh. bilioni 710.31 ni fedha za ndani na sh. bilioni. 148.207 ni fedha za nie kupitia miradi ya RISE, TACTIC, Bonde la Mto Msimbazi na mradi wa agri-connect.

Mhandisi Seff alibainisha kuwa hadi sasa TARURA imetangaza kazi za ujenzi na matengenezo ya miundombinu ya barabara zaidi ya asilimia 60 ya mpango wa mwaka huu wa fedha ambapo baadhi ya kazi utekelezaji umeanza.

MATUMIZI TEKNOLOJIA MBADALA
Mhandisi Seff alisema kipaumbele cha TARURA katika mwaka huu wa fedha ni kutumia malighafi zinazopatikana maeneo ya kaziili kupata ufanisi wa gharama za ujenzi. Alisema hadi Machi mwaka huu TARURA imejenga madaraja 163 ya mawe yenye thamani ya sh. bilioni 8.7 ambapo gharama imepungua kwa zaidi ya asilimia 50.

"Madaraja hayo yamejengwa katika mikoa ya Kigoma 92, Singida 24, Tabora matano, Kilimanjaro 10, Mbeya mawili, Arusha sita, Morogoro mawili, Rukwa matatu, Pwani moja, Ruvuma matatu na Iringa daraja moja.

Aliongeza kuwa: TARURA inaendelea kufanya majaribio teknoloiia mbalimbali ikiwemo kutumia udongo unaopatikana eneo la kazi ili kuendelea kupunguza gharama za ujenzi"​
 
Neema kwani ni hela zake. Stop this kind of nonsense reporting //// benzemah sitegemei uandike kitu kama hicho. Ni hela zetu, mimi na wewe ni kwa vile huyu ni dikiteita ndiyo maana anaona ufahari akiambiwa asante kwa kufanya hiki na hiki. Huyo ni mtumishi wako, unamlipa.....
 
Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuimarisha miundombinu ya barabara katika maeneo ya vijijini na mijini ambapo imetenga sh. bilioni 858.5 kutengeneza barabara zenye urefu wa kilomita 21,058 zikiwemo za kiwango cha lami kilomita 427 na makalavati na madaraja 855, katika mwaka huu wa fedha.

Fedha hizo zilizotengwa kupitia Wakala wa Barbara za Mijini na Vijijini (TARURA) pia inatarajia kujenga barabara zenye urefu wa kilometa 8,775 kwa kiwango cha changalawe na ujenzi wa mifereji ya mvua yenye urefu wa kilometa 70.

Hayo yalibainishwa jijini Dodoma jana na Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff wakati akizungumza na wandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa majukumu wa taasisi hiyo na mwelekeo katika mwaka huu wa fedha.

"Katika mwaka huu wa fedha barabara zenye kilomita 21,057.06 zitafanyiwa matengenezo, kilometa 427 zitajengwa kwa kiwango cha lami, kilomita 8,775.62 zitajengwa kwa kiwango cha changarawe, madaraja, makalavati 855 yatajengwa na mifereji ya mvua kilometa 70.

Aliongeza kuwa: "Jumla ya sh. bilioni 858.517 zimeidhinishwa kwa ajili ya ujenzi, ukarabati na matengenezo ya miundombinu ya barabara za Wilaya.

Alifafanua kuwa kati ya fedha hizo, sh. bilioni 710.31 ni fedha za ndani na sh. bilioni. 148.207 ni fedha za nie kupitia miradi ya RISE, TACTIC, Bonde la Mto Msimbazi na mradi wa agri-connect.

Mhandisi Seff alibainisha kuwa hadi sasa TARURA imetangaza kazi za ujenzi na matengenezo ya miundombinu ya barabara zaidi ya asilimia 60 ya mpango wa mwaka huu wa fedha ambapo baadhi ya kazi utekelezaji umeanza.

MATUMIZI TEKNOLOJIA MBADALA
Mhandisi Seff alisema kipaumbele cha TARURA katika mwaka huu wa fedha ni kutumia malighafi zinazopatikana maeneo ya kaziili kupata ufanisi wa gharama za ujenzi. Alisema hadi Machi mwaka huu TARURA imejenga madaraja 163 ya mawe yenye thamani ya sh. bilioni 8.7 ambapo gharama imepungua kwa zaidi ya asilimia 50.

"Madaraja hayo yamejengwa katika mikoa ya Kigoma 92, Singida 24, Tabora matano, Kilimanjaro 10, Mbeya mawili, Arusha sita, Morogoro mawili, Rukwa matatu, Pwani moja, Ruvuma matatu na Iringa daraja moja.

Aliongeza kuwa: TARURA inaendelea kufanya majaribio teknoloiia mbalimbali ikiwemo kutumia udongo unaopatikana eneo la kazi ili kuendelea kupunguza gharama za ujenzi"​
Kilometer 427 tu za lami???? Mbona kidogo hivyo, Hizo kilometer 8700 za changarawe ni ulaji mtupu
 
Back
Top Bottom