vijijini

Iringa Rural District (Wilaya ya Iringa Vijijini) is one of the four districts of the Iringa Region of Tanzania, East Africa. It is bordered to the north by the Dodoma Region, to the east by Kilolo District and encircles Iringa Urban District, to the south by the Mufindi District, to the southwest by the Mbeya Region and to the northwest by the Singida Region.
As of 2002, the population of the Iringa Rural District was 245,623.

View More On Wikipedia.org
  1. ommytk

    JamiiForums Tanzania Pempas mpk vijijini hivi nepi hakuna tena

    Hello wanajf Leo nilikuwa kijiji msanga kwenye shughuli aisee nikapata kushangaa dukani nakuta pempas wanauza moja moja nikamuuliza muuzaji je zinatoka akasema mnoo watu awawezi kwa wingi wananunua moja moja tsh mia.aiseee nikasema hivi nepi tens ndio basi
  2. M

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro, mulika Ofisi ya OCD Musoma

    Kiongozi Wangu IGP Nyankoro Sirro, kuna malalamiko ambayo yamekuwepo miongoni mwa jamii za wavuvi katika wilaya ya Musoma Vijijini wakituhumu POLISI wako kuhusu masuala ya rushwa na uonevu. Wananchi wengi wa Musoma Vijijini wanategemea Shughuli za uvuvi ndani ya Ziwa Victoria kuendesha maisha...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

    Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), umeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 30 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 84 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kujenga miundombinu ya kusafirisha umeme kati ya Tanzania na Zambia. Sehemu ya fedha hizo, kiasi cha Euro...
  4. Influenza

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Mawaziri na Manaibu ‘waliotemwa’ na Rais Magufuli katika Baraza jipya la Mawaziri

    Baada ya Rais Magufuli kuteua Baraza jipya la Mawaziri atakalofanya nalo kazi baada ya kuwa Rais katika muhula wa pili. Katika Baraza hilo jipya, Rais amewatema Mawaziri 7 na kuchagua wengine Waliotemwa ni; 1. Aliyekuwa Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa 2. Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tulioshuhudia Walimu na Watumishi wa Serikali waliopangiwa vijijini wakaacha kazi au kuhama kwasababu ya ushirikina uliokothiri mwaga hapa ushuhuda

    Sina namna yoyote ya kukatisha watu tamaa lakini kiukweli kuna maeneo bila kuwa mtu wa dini au kuwa na kinga ni ngumu sana kuvumilia mikiki mikiki ya Sayansi ya Kitamaduni. Nakumbuka huku Mbeya wilaya ya Songwe kuna dada alipangiwa huko, sasa alivyokuwa anaadhibu wanafunzi kwa viboko kuna...
  6. LOTH HEMA

    JamiiForums Tanzania Kazi ya ualimu na changamoto zake vijijini

    Kazi ni nzuri hasa kama uliisomea na kupata cheti. Unaomba ajira na unapata kisha unapangiwa shule iliyoko katika halmashauri ambayo hujawahi kufika. Unaenda kuishi maisha kulingana na eneo hilo. Jamii ya pale itategemea mapya kutoka kwako. Changamoto ziko nyingi ikiwepo kumezwa na mazingira...
  7. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watu waliozaliwa na kukulia Kijijini wakija Mjini inakuwa rahisi kwa wao kufanikiwa kimaisha kuliko wale waliozaliwa na kukulia Mjini?

    Hello JF Nimekuwa nikiona watu wengi waliozaliwa vijijini na kuja mjini kutafuta maisha,wengi wao huwa wanafanikiwa sana kimaisha. Mfano angalia watu kama akina Magufuli, Nyerere, Zitto kabwe, Reginald Mengi, Mkapa, Gachuma na wengine wengi tu Literally walikuja mjini wakiwa tayari ni vijana...
  8. G Sam

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

    Kibaha. Diwani mteule wa CCM kata ya Kikongo Kibaha vijijini Fatuma Ngozi pamoja na wajukuu zake wawili wamefariki baada ya kuungua kwa moto wakiwa ndani ya nyumba. Nyumba ya diwani huyo imeungua moto usiku wa kuamkia leo Novemba 9, 2020. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Wankyo Nyigesa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtwara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mtwara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mwara una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 10 ambayo ni: 1. Mtwara Mjini Hassan Seleman (CCM) -...
  10. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe. Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na...
  11. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ona mikutano ya CCM inavyotia huruma

    Huu ni mkutano wa kampeni wa mgombea wa CCM kwa nafasi ya ubunge Mbeya Vijijini ndugu Oran njeza. Huyu mzee mikutano yake huwa haina watu kabisa na kuna baadhi ya sehemu ameshaambulia zomea zomea za hapa na pale. Nimesikia baadhi ya sehemu wakisema mitano yake inamtosha hawamtaki tena...
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vijijini mwamko ni mkubwa mno katika mikutano ya Tundu Lissu

    Kampeni au tuseme mikutano ya Lissu inathibitisha hilo na mimi binafsi nimeliona hilo na hata leo Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameongelea swala hili katika hii tweet yake hapa chini: Vijijini mwamko ni mkubwa mno....mijini ndiyo kabisa. Tunashukuru sana kila mtanzania anayejitokeza kuja...
  13. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Handeni Vijijini: Hali ya maisha ya watanzania ni ngumu sana vyuma vimekaza nichagueni nifute umasikini katika nyanja zote

    HALI YA MAISHA YA WATANZANIA NI NGUMU SANA VYUMA VIMEKAZA NICHAGUENI OKTOBA 28, NIFUTE UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE "PROF.LIPUMBA" HANDENI VIJIJINI Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za CHADEMA Kikanda ni mbadala wa TV na redio, ujumbe unafika hadi vijijini kwa muda mmoja

    Tulishuhudia kampeni za uchaguzi wa 2015 Lowassa akizunguka na timu nzima ya viongozi wakuu wa CHADEMA na karibu wabunge wote kila alipokuwa anakwenda kufanya kampeni. Mwaka huu ni tofauti kidogo, tunaona kila Kanda ikijitegemea inatumia ratiba yake siyo kupangiwa na Makao Makuu, ndio maana ni...
  15. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Korogwe Vijijini: Tutawahudumia wazee waliolitumikia taifa letu

    TUTAWAHUDUMIA WAZEE WALIOLITUMIKIA TAIFA LETU" PROF. LIPUMBA" TANGA-KOROGWE VIJIJINI Tutaweka utaratibu wa kitaifa wa hifadhi ya wazee itakayohusisha jamii nzima kuwalea wazee wetu ambao wengi wao baada ya kulitumikia Taifa letu kwa muda mrefu wanaishi katika dimbwi la umasikini wa kutisha...
  16. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Nkome Geita Vijijini: Nichagueni niwe Rais wa nchi hii tumalize tatizo la wavuvi

    NKOME, GEITA VIJIJINI WANANCHI WA NKOME WANANYANYASWA KWA KUPOKONYWA NYAVU NA KUWEKWA NDANI NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII TUMALIZE TATIZO LA UNYANYASAJI"PROF. LIPUMBA" Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Prof. Lipumba amesema hayo katika mkutano wa kampeni uliyofanyika kata ya...
  17. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Bukoba Vijijini: Nitasimamia elimu bora na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano

    NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" BUKOBA VIJIJINI Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya sekondari na elimu ya juu. Kila raia...
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu mgombea Urais wa Mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio Vijijini

    Lissu mgombea urais wa mijini anayezunguka town to town kampeni akiacha asilimia 80 ya wapiga kura waishio vijijini. Lisu ni wakili kakulia mjini ndio maana siasa zake za kimjini mjini zaidi, kwake inayo matter kwake ni asilimia 20 ya wapiga kura waishio mijini. Kawekeza sana kwenye miji...
  19. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Serikali kulipa makampuni ya mawasialiano ili wakasimike minara vijijini?

    Unakuta eti Serikali wanatenga bajeti kwa ajili ya kulipa makampuni binafsi ya mawasiliano ili waende wakasimike minara kwenye maeneo ambayo hayana mvuto wa kibishara hasa vijijini, hii ni sahihi? Kwanini wasiwakopeshe hizo pesa hata kama ni kwa 0% intrest rate, yaani warudishe baada ya miaka...
  20. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Bukoba vijijini, Jason Rweikiza afukuzwa na wananchi wakati akiomba kura

    Mambo ni moto. Hii ni leo kwa Rweikiza Bukoba Vijijini
Back
Top Bottom