Je, ni sahihi kwa Serikali kulipa makampuni ya mawasialiano ili wakasimike minara vijijini?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
20,811
2,000
Unakuta eti Serikali wanatenga bajeti kwa ajili ya kulipa makampuni binafsi ya mawasiliano ili waende wakasimike minara kwenye maeneo ambayo hayana mvuto wa kibishara hasa vijijini, hii ni sahihi?

Kwanini wasiwakopeshe hizo pesa hata kama ni kwa 0% intrest rate, yaani warudishe baada ya miaka kadhaa kiasi kile kile walichopewa bila riba? Logic ni kwamba lile eneo ipo siku litakuwa na mvuto wa kibishara na wao ndio watafaidika nayo, hii imekaaje?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom