vijana

  1. JamiiForums Tanzania Je, hii ni moja ya sababu kwa nini vijana wengi wa Tanzania hawatoboi?

    Kutokuwa tayari kula na watu. Kuna dogo mmoja anafufua na kuuza PC kwa bei rahisi. Alinifuata anaomba mtaji na hataki kukopa benk. Nikamwambia sasa mimi nitawekeza kiasi kadhaa alafu katika hiyo faida na mimi nipata kiasi flani, hata pesa ya marketing ntashiriki. Hii ingemsaidia kukua kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Uhaba Kifaa Cha Kuchunguza VVU Kwenye Vituo Vya Afya Zanzibar Unaathiri Vijana Kutambua Afya Zao

    KUMEKUWA na uhaba wa wa kifaa cha uchunguzi wa Virusi Vya UKIMWI ( HIV Kits) katika vituo vya afya vya serikali Zanzibar jambo ambalo limepelekea huduma ya upimaji wa Virusi Vya UKIMWI kusita. Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika ziara iliyofanywa na Chama cha waandishi wa Habari Wanawake...
  3. JamiiForums Tanzania Hili Kundi la 'Vijana na Samia' limebarikiwa na CCM na Serikali, manake si kwa Kujikomba huko

    Na Msemaji wake ni Mtangazaji wa Michezo EFM Radio ambaye hajawahi Kuelewana na Wenzake katika Media anayofanya na Mwenezi wa CCM katika Shina huko Temeke aitwae Twalib Othman Muwa. UVCCM ina maana pamoja na Kujipendekeza na Kujikomba Kwenu kwa Watawala ( Marais ) wa nchi hii Safari hii...
  4. JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, serikali inaweza kuwasaidia vipi vijana kujiajiri?

    Karibu mdau tujadili nafasi ya serikali katika kuwezesha vijana kujiajiri.
  5. JamiiForums Tanzania Moshi: Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM adaiwa kuwatapeli Vijana waliotaka connection za ajira Serikalini

    Hii ni video ya mmoja wa waathirika akisimulia mkasa huo. Kama ni kweli TAKUKURU fanyeni kazi yenu kwa watoaji na wapokeaji https://youtu.be/0FShyxkzsLY?si=ZnTW2Uee3bRbNQks
  6. JamiiForums Tanzania Wako wapi wakuamini vijana

    ATI HATUJIELEWI Hatujishughulishi Na mnatujaji Hatuna mitaji Nyie wafujaji Manayajaza matumbo yenu Mtumba mitumbani Tunalipa kodi Bila ukaidi Nyie mwafaidi Mazingira yetu bado duni Shamba ni mkombozi Mbolea zauzwa Mbegu zinauzwa Maji yanauzwa Bila pesa hakuna mavuno Ajira ni kubeti 1 kwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Vijana tukumbushane, tusisahau kupima, Kaswende, Kisonono viko nje nje

    Mimi kanuni yangu ni moja, lazima tupime, haijalishi nitatumia condom ama lah lakini lazima tupime. Jana nimechukua mtoto mzuri innocent kabisa, sio malaya(inawezekana ni malaya underground ) nikampima majibu ndio haya ana kaswende. Hakuamini macho yake.
  8. JamiiForums Tanzania Wanasiasa si Watawala wetu, usitumike

    Tanzania kama yalivyo mataifa mengine duniani, ni jamii ya mfumo wa Kibepari. Mfumo ambao, endapo unakomaa miongoni mwa watu wake, basi maslahi ya mtu mmoja huwa na nguvu dhidi ya maslahi ya watu wengi. Muda mwingine maamuzi ya wachache, hutawala mifumo ya maisha ya wengi. Demokrasia...
  9. JamiiForums Tanzania Vijana 8 kizimbani kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja kwa kushirikiana

    Watu nane wakazi wa eneo la Porikwapori wilayani Kiteto mkoani Manyara, wamefikishwa katika Mahakama ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja kwa kushirikiana. Watuhumiwa hao kwa pamoja wamesomewa shtaka hilo leo Jumatatu Agosti 28, 2023 wakiwa mahakama ya Wilaya ya Kiteto chini ya...
  10. JamiiForums Tanzania Vijana tunapitia wakati mgumu sana kwenye utafutaji. Chukua hii, itakufikirisha zaidi

    Nipo hapa kwa kitanda usiku huu wa manane nikiwa na msongamano wa mawazo na kutafakari mambo mbalimbali kuhusu haya maisha hasa kwa sisi vijana ambao tunajitafuta na bado hatujajipata. Haya maisha ya utafutaji yamejaa vitu vigumu na vizito ambavyo siyo rahisi mtu kukuelezea ni namna gani...
  11. JamiiForums Tanzania Kawaida alia kuondolewa mikopo ya halmashauri kwa vijana

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Ali Kawaida ameitaka Serikali Kuu na Mkoa wa Dar es Salaamu kutekeleza mambo manne ikiwemo kuharakisha mchakato wa kurejea upya mikopo ya asilimia 10 iliyositishwa Aprili mwaka huu. Mambo mengine ni kuhakikisha inamaliza...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hivi karibuni tutaanza kuona Mikutano ya CHADEMA ikivamiwa na mamluki pamoja na vijana wa CCM

    Maelekezo kutoka ngazi za juu soon yataanza kutekelezwa; tuliona Shinyanga ilivyotumika nguvu kubwa kuwakatisha tamaa wananchi lakini wakashindwa. Huwa mara nyingi upepo wa kisiasa ukionekana unawaendelea vyema CHADEMA kinachofuata ni vurugu na ghasia ambazo uandaliwa na viongozi wakuu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Mambo yanayotukwamisha vijana ni haya

    Haya ni mambo ambayo yanatufanya vijana tusiaminike. Historia za familia zetu Tabia zetu Mitazamo yetu. Haya matatu yanaweza kukwamisha maisha yako yote bila wewe kujua.
  14. JamiiForums Tanzania Mwanamke hasomeshwi, Vijana wa sasa mnafeli wapi?

    Habari JF Naona hivi visa vya mapenzi sasa vinakuwa vingi na vijana wengi wanapoteza maisha yao na ya wenzao kisa mapenzi Naomba nisisitize tena, mchumba, mpenzi hasomeshwi. Labda kidogo kama kawa mke wako na usitumie sana nguvu pia maana mnaweza pia mkaachana kwa iyo iyo elimu ulio mpa...
  15. JamiiForums Tanzania Achangisha Milioni 43 Ujenzi Kituo cha Mafunzo cha Wanawake, Watoto na Vijana Kanisa la AICT

    NAIBU WAZIRI MHE. MASANJA ACHANGISHA MILIONI 43 ZA UJENZI KITUO CHA MAFUNZO CHA WANAWAKE, WATOTO NA VIJANA CHA KANISA LA AICT Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb)amechangisha kiasi cha shilingi milioni 43 zitakazotumika kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Mafunzo ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Vijana wa 2000 wanajua maigizo(films), muziki, kubeti, kuendesha bodaboda na story za mpira. Huko tuendako watatawaliwa na wageni

    Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Maskofu TEC una mengi: Umegusa mateso ya wamasai na vijana wasio na ajira

    Baada ya masuala ya Jumuia asbh na tafakari ya waraka wa TEC. Yako mengi mazito, tutajadili moja moja kila fursa inapopatikana. Nimeona SUALA LA MANYANYASO KWA WAMASAI YAMEPEWA UZITO. angali hoja za utangulizi na. 9 ...inasema 9. Kupuuza sauti ya wananchi juu ya uwekezaji usiosikia sauti yao...
  18. JamiiForums Tanzania Waathirika wa dawa za kulevya wameanza kurudi kwa kasi mitaani huku baadhi ya vijana wakichezea pesa kama vile zinaokotwa, pana uhusiano?

    Naona kwa sasa ile hali ya wateja wa dawa za kulevya imeanza kurudi kwa kasi, kukutana na mteja sugu yupo sehemu anaskilizia stimu ni kawaida. kile kipindi Magu alipofariki baada ya mwezi hivi kuna boti kubwa sana ya madawa ilikamatwa ile wiki ambayo kulitabiriwa kuwepo kimbunga huko Mtwara...
  19. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Amani Karume na Anna Makinda wateuliwa kuwa Wakuu wa Chuo

    Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Sayansi...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wataka Vijana wasitumike kuchafua amani ya Nchi

    Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Kawambwa, amewasihi vijana wasikubali kutumika na baadhi ya watu wakiwemo wanasiasa au viongozi wa dini ambao wanakusudia kuharibu amani na utulivu uliopo nchini. Sheikh Kawambwa alisema hayo jana jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza a...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…