vijana

  1. David Harvey

    JamiiForums Tanzania Vijana fanya uwezavyo jitahidi uwe na uwezo wa kuongea Kiingereza

    Leo kulikuwa na usaili unafanyika katika taasisi fulani kubwa ya Marekani, vijana watatu walikuwa wamekidhi vigezo vya kuajiriwa lakini lugha ndio ilikuwa kikwazo. CV zako zipo vizuri unashindwa vipi kuongea kingereza cha kuunga unga hata kwa dakika 3? Fursa zitaendelea kutupita hivi hivi kwa...
  2. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

    Kunahitajika PROGRAMU ya dharura kuliokoa hili jiji. Sina maana ya kusema vijana wote wa Arusha ni wahuni na waalifu ama kusema Arusha si salama kabisa, La Hasha! ni kwamba uhuni ni kama umefumbiwa macho usambae mithiri ya kansa ya kidole inavyosambaa mwilini kwahio sio jambo la kufumbia macho...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: JKT tupo mstari wa mbele kuwapika vijana kushiriki katika kilimo

    BASHUNGWA: JKT TUPO MSTARI WA MBELE KUWAPIKA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA KILIMO "Maono na uwekezaji Mkubwa unaofanywa na serikali ya Awamu ya Sita (6) inayoongozwa na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Kilimo umeleta tija Kubwa sana katika Kilimo chetu Kwa sasa. Pia Sisi...
  4. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaoenda kusoma Ulaya wakirudi wanafanikiwa kwenye biashara tofauti na wenzao waliosoma nchi za Asia, tatizo nini?

    Nimeona vijana wanaoenda kusoma huko nchi za ulaya wakirudi wana kuwa na moto mkali wa kufanya biashara, hata wakiajiriwa basi kuna biashara pembeni, watu hawa nimeona biashara zao huwa zinafanikiwa sana japo simaanishi ni wote ila wengi, nimeona vijana wa kundi hili wanajituma zaidi na wana...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Serikali ipige marufuku kujitolea vijana tupate ajira za kudumu kupitia Utumishi

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. TUNAOMBA serikali yetu sikivu ipige marufuku kujitolea ili vijana tupate ajira na pia kujitolea ni upendeleo nafasi hazipo wazi na mpaka uwe na connection. Pia tunaomba ajira zote za kudumu kwenye mamlaka ya serikali ndogo (local government) wizara...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Vijana changamkieni fursa zinazotolewa na Rais Samia

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amewataka vijana kuchangamkia fursa zinazotolewa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ili kujipatia kipato pamoja na kukuza pato la nchi. Ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo ya Nanenane leo Agosti 01, 2023 yanayofanyika katika...
  7. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu focus na kilichokuleta mjini, mambo ya mjini waachie watu wa mjini

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, kwa kifupi tusichoshane!. Kijana mwenzangu napenda kukupa ushauri wa bure kabisa. Ushauri napenda kuwapa vijana (KIKE & ME) ambeo umetoka mkoani kuja mjini Dar es salaam kwa ajili ya kutafuta fedha,hapa mjini hatujaja kutafuta maisha,maisha hata mikoani yapo tena...
  8. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Arusha ni habari nyingine

  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Vijana Fanyeni Michezo Ili Kuimarisha Afya Zenu na Kutimiza Malengo na Ndoto Zenu

    NAIBU WAZIRI CHILO: VIJANA FANYENI MICHEZO ILI KUIMARISHA AFYA ZENU NA KUTIMIZA MALENGO NA NDOTO ZENU Mbunge wa Jimbo la Uzini Muheshmiwa KHAMIS HAMZA CHILO Amewataka Vijana (Wanamichezo) wa Jimbo la Uzini kufanya Michezo kama sehemu ya Kuimarisha Afya zao na Kukuza Vipaji na Kitimiza Ndoto...
  10. Termux

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa vijana ambao wapo katika ndoa, watoto ndio ndugu zako

    Habari JF: Natumaini ni wazima wa afya na mchaka mchaka unaendelea wa kutafuta maisha na amani ya moyo, msisahau pia na kujipenda wenyewe. Nilikuwa na mawazo au ushauri kidogo kutokana na changamoto nilizozipitia mimi na zengine tunaziona kwa ndugu zetu au familia zilizotuzunguka. Maana vitu...
  11. Rama255

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ajira kwa vijana

    Ukosefu wa ajira ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili vijana nchini Tanzania. Takwimu za Mamlaka ya Usimamizi wa Ajira (NEMA) zinaonyesha kuwa asilimia 16.1 ya vijana nchini Tanzania hawana ajira. Hii ni sawa na watu milioni 7.3. Ukosefu wa ajira kwa vijana ni tatizo kubwa kwa sababu...
  12. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora: Kuinua mustakabali wa vijana kupitia ajira

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA: KUINUA MUSTAKABALI WA VIJANA KUPITIA AJIRA Utangulizi Tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana ni changamoto kubwa inayokabili jamii nyingi duniani. Vijana wengi wanakosa fursa za kujiajiri na kuchangia katika maendeleo ya taifa kutokana na sababu mbalimbali. Hali hii...
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kujiajiri vijana inahitaji mabadiliko ya mfumo wa elimu nchini

    Kujiajiri vijana inamanisha vijana waliohitimu vyuoni waanzishe kazi au biashara zao wenyewe kutokana na elimu waliyonayo au waliopata vyuoni. Kwa maoni yangu hili ni wazo zuri saana lakini linahitaji wanafunzi waliopo mashuleni na vyuoni wapate kusoma na kufanya vitu ambavyo kiuhalisia...
  14. Francis001

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala bora Mabadiliko na Ajira kwa Vijana

    Utangulizi: Utawala bora ni msingi muhimu katika kujenga taifa lenye maendeleo endelevu na imara. Nchini Tanzania, kuna fursa kubwa ya kuleta mabadiliko chanya katika nyanja za utawala bora, uchumi, na ajira, hususan kwa vijana ambao ni rasilimali muhimu ya taifa. Katika makala hii, tutachunguza...
  15. AY 5225

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani unatamani ungefanya tofauti ulipokua na umri wa chini ya miaka 25?

    Heshima yenu wakuu. Kuteleza na kuanguka kisha kuinuka tena na kusonga mbele ni shule nzuri sana ya vitendo ambayo humfanya mwanadamu kuwa na mbinu thabiti za kutatua changamoto zake za hapa na pale katika maisha. Wazungu wanasema, "mistakes are the best lessons". Nawakaribisha kwenye uzi huu...
  16. Francis001

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha Utawala Bora Tanzania: Kukuza Uchumi na Ajira kwa Vijana

    Utangulizi Tanzania, kama nchi inayoendelea, inakabiliwa na changamoto nyingi katika kufikia Utawala Bora. Hata hivyo, kwa kuzingatia mabadiliko na utekelezaji wa mikakati sahihi, Tanzania inaweza kufungua fursa mpya za maendeleo katika nyanja zote za kiuchumi na kijamii. Makala haya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania karibuni vijana wenye mawazo ya teknologia ambayo mnataka yafanyiwe kazi.

    kama kichwa cha uzi kinavyojieleza . nawakaribisha vijana wote wenye mawazo ya teknologia yabayoweza kua biashara au msaada kwa taifa ili yafanyiwe kazi.
  18. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania Vijana 56 wakacha mradi BBT

    Waziri wa Kilimo Hussein anatoa taarifa ya vijana 56 kukimbia mradi wa kilimo maarufu kama jenga kesho bora (Building Better Tomorrow). Inasemekana wengine wamekimbia na wengine wamepata ajira nyingine serikalini. Bado Serikali haijawa serious katika mambo wanayoyapanga na kuyatekeleza ...
  19. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Akili mbovu ya vijana wa kizazi hiki kufikiria wakatapa teuzi kwa kusifia viongozi

    Kuna tabia ya vijana bila hata kupewa chochote huibuka na kusifia viongozi hata ambavyo hastahili. Hii imekuwa kero kwa baadhi ya viongozi ambao hawana hulka ya kutaka sifa wamekuwa wakijitenga nao. Katika kitabu kimoja cha uongozi nilikisoma kwa uzuri sana. Kinasema kiongozi mzuri hujipambanua...
  20. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira Vijana wa kiume wamegeukia bodaboda vijana wa kike wamegeukia kujiuza

    Sina uhakika wa takwimu za ukosefu wa ajira lakini nimefanya uchunguzi wangu makini kabisa kutoka na uzoefu wangu wa jiji. Nia yangu siku zote ni kufanyakazi za kijamii baada ya kazi zangu za kuajiliwa na wachina. Katika pita pita zangu nimegundua vijana wengi sana ambao awali walikuwa...
Back
Top Bottom