vijana

  1. Exile

    JamiiForums Tanzania Hii akili ya kitanzania ya kumiliki gari kuona wenzako ni mbwa inatesa vijana

    Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali. Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka na jua kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupende the way jinsi ulivyo. Hakuna mwanamke...
  2. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Pombe iitwayo "Nyingii Nyingii" inavyotesa vijana na kuvimbisha nyuso zao

    Hii ni aina mpya ya pombe ambayo kwa sasa inapatikana jijini hapa, katika baadhi ya maeneo haswa yenye mkusanyiko wa watu wengi wa hali ya chini Aina hii ya pombe inatengenezwa hapa hapa Arusha haijulikani mchanganyiko wake unatokana na nini na wala haina nembo yoyote yenye kuonyesha asilimia...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Vijana Arusha kuvaa Diapers/Pampers Ni fashion mpya?

    Tukiwa tunajiburudisha jion ya Leo hapa Arusha - Kona ya Florida nimeshuhudia kijana aliyekaa kaunta pampers aliyovaa ikichomoza Kwa nyuma. Hii Imekaaje, na hii si mara ya Kwanza kushuhudiq haya. Hii Imekaaje?
  4. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Nyakati tatu za tawala tofauti kwenye familia, vijana jiandalieni mazingira bora wakati wa uzee wenu.

    1. Ukiwa kijana jiandalie mazingira na maokoto kwaajili ya uzee wako. 2. Usije ukawa na fikra za kutegemea mke ama watoto mara baada ya kustaafu. 3. Tambua kwamba kuna nyakati tatu za utawala ndani ya nyumba/familia  A- Utawala wa baba:- Ni kipindi ambacho baba anakuwa mwenye nguvu na...
  5. Global Peace Foundation

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni rahisi kijana asiye na kipato kushawishiwa na makundi mabaya?

    Kila mwaka idadi kubwa vijana hapa nchini wanamaliza masomo yao katika ngazi mbalimbali za elimu. Taasisi za elimu kuanzia darasa la saba, kidato cha nne, kidato cha sita, vyuo mbalimbali vya ufundi na vyuo vikuu vinazalisha idadi ya wahitimu kila msimu. Takwimu za Tume ya Vyuo Vikuu (TCU)...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Vijana wa mauzo - Tiles

    Wanahitajika vijana 2 wa mauzo ya tiles. Watakuwa na majukumu ya kwenda kutafuta order sites mbali mbali zinazojengwa. Eneo la ofisi ni Madale na kuna posho kwa mwezi, nauli na commission kulingana na mzigo ulivyouza. Pia nakaribisha wale wote wenye uhitaji wa tiles kwa bei poaa na offer kibao...
  7. comte

    JamiiForums Tanzania Vijana ujumbe wenu huu hapa

    20-30 Years, Kijana wa Kiume hana kazi, Hana kipato cha uhakika na bado kijana huyu kipaumbele chake ni:- Kupendeza. Nywele azifanye dread au azifuge tuu Nguo anataka avae brand Amiliki iPhone macho matatu Anukie vizuri Batani asikosekane. Aaah!!! Shairi la kijana wa sasa gumu
  8. mirindimo

    JamiiForums Tanzania MFTE ni Ponzi scheme, utapeli ulijificha kwenye kichaka cha forex trading

    VIjana wengi wamekua na tamaa ya kutajirika haraka na kujikuta wanaingia kwenye Ponzi Scheme na kupoteza pesa za Ada na za Matumizi wanazolipiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu na wazazi wao pia. Hivi karibuni pameibuka Ponzi Scheme inayoitwa MFTE ambayo inajinasibu kuendesha biashara ya...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Katika vijana waliopatia kuoa Bilnas yumo, ndoa yake na Nandy ni mfano wa kuigwa na vijana wa kisasa. Ina win win nyingi sana

    Habari wadau. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza billnass amepatia sana kumuoa nandy. Kwa sababu zifuatazo 1. Same Purpose kwenye maisha kati yao billnass na nandy. Wote wana passion na muziki. Billnass anajua kuandika nyimbo na mke wake nandy anajua kuimba. Wameji complete hapa. Nandy...
  10. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Nashukuru nimemaliza hii kesi na wife - Vijana okoteni mpate kujifunza

    Katika harakati za mambo mbalimbali, juzi nilijisahau ikasalia kipande moja ya kondom kwenye droo ya gari. Bahati mbaya zaidi wife alikua atumie the same car kwenda job the next morning. Sasa asubuhi alipoingia kwenye chuma akaikuta hiyo kipande moja, ikabidi arudi ndani chap huku akiwa...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana wanatutukana tu huko "Twitter Republic" na tunastahili

    "Vijana wetu hawa wako wamemaliza shule, wako wanazubaa tu huko, wengi wao wamekwenda JKT lakini wakitoka hamna kazi, wapo tu. Lakini ni nguvu kazi nzuri, wamefunzwa maadili JKT ni vijana wazuri kwa Taifa wamefunzwa uzalendo, hawana cha kufanya. Kazi ni kuhamia "Twitter Republic" watutukane...
  12. Rutashubanyuma

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira kwa vijana ndilo litakalowatoa CCM madarakani

    Wapinzani wasichojua sisiemu hawatabanduka madarakani kwa njia za kidemokrasia bali kwa vurugu za panya roads. Neema ya kuwang'oa sisiemu haiko kwenye masanduku ya kura bali siku ambayo panya roads watakapoamua kufanya kweli na hiyo siku haiko mbali. Wapinzani wanalia na katiba mpya ambayo...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Wakati Wazungu wakijiandaa kuihama dunia tupeleke vijana wetu wakachukue nafasi

    Bila shaka wazungu wako na mpango mkakati mkubwa sana yaani kuhama dunia na kuhamia sayari nyingine au kwenye "space" Hatuna budi sasa kuwaruhusu vijana wetu kuhamia marekani,uingereza ,uchina n.k kwenda kuchukua nafasi.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vijana walioshindwa kuoa kisa mahari sasa wamelipiwa ili waweze kuoa, wengi wao watoka Dar es Salaam

    Mkurugenzi wa Al-Hikma Foundation, Sheikh Nurdin Kishki amesema kati ya mabwana harusi 70 wanaofungishwa ndoa nusu yao wametoka Mkoa wa Dar es Salaam. Hayo yamebainika wakati mkurugenzi huyo akitaja maeneo watakayopeleka mahari ikiwamo Dodoma, Lindi, Mtwara, Pwani, Mwanza, Morogoro, Manyara...
  15. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Wanawake msikate tamaa, mwaka 2018 nilivunja ndoa ya dada yangu. Tuna vijana wa hovyo sana kama taifa

    Wakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao. Ipo hivi; Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo tukamsisitiza aendelee kupambana na masomo apate kaz nzur, kama wenzake. Akakataa akasema anataka aanze na...
  16. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Hii nchi wanavituko mno!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Aisee leo nikasema imefika wakati sasa niwe na akaunti huko X au zamani kama "Twitter". Nilipanga nitumie jina langu la UMUGHAKA lakini baada ya kutaipu hilo jina nimekuta mavijana ya ovyo kibao ya hapa JF yameshalitumia hilo jina😂😂,Daaah hatari sana...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wanavyotengeneza pesa kila siku kwa kutengeza maudhui TikTok

    Habari wadau, Nilikuwa nawadharau sana vijana wanaoimbaimba na kucheza cheza TikTok. Nawaona wapuuzi hawana kazi ya kufanya na wajinga. Mtoto wa shangazi yangu ni mmojawapo wa hao wapuuzi wa TikTok. Ana followers laki 6 huko TikTok. Ni binti ana miaka 21 na anasoma chuo kikuu kimojawapo...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Siku ya vijana duniani. WYD Portugal live link

    Tumsifu Yesu Kristo. Waktristo halisi.
  19. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunge wapendekeza Umri wa Kustaafu upunguzwe ili Vijana waajiriwe

    Kamati ya Bunge ya Kazi na Ajira imeanza kuandaa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Utumishi inayotaka Umri wa Kustaafu upunguzwe kutoka Miaka 60 ya sasa hadi 55 ili kuwapa nafasi Vijana waajiriwe. Mwaka 2009, Serikali ilipandisha Umri wa Kustaafu baada ya kuelemewa na Mafao ya Watumishi...
  20. David Harvey

    JamiiForums Tanzania Vijana fanya uwezavyo jitahidi uwe na uwezo wa kuongea Kiingereza

    Leo kulikuwa na usaili unafanyika katika taasisi fulani kubwa ya Marekani, vijana watatu walikuwa wamekidhi vigezo vya kuajiriwa lakini lugha ndio ilikuwa kikwazo. CV zako zipo vizuri unashindwa vipi kuongea kingereza cha kuunga unga hata kwa dakika 3? Fursa zitaendelea kutupita hivi hivi kwa...
Back
Top Bottom