Nrangoo
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 3,352
- 5,250
Waziri wa Kilimo Hussein anatoa taarifa ya vijana 56 kukimbia mradi wa kilimo maarufu kama jenga kesho bora (Building Better Tomorrow).
Inasemekana wengine wamekimbia na wengine wamepata ajira nyingine serikalini.
Bado Serikali haijawa serious katika mambo wanayoyapanga na kuyatekeleza , vijana wengi waliokuwa wamechaguliwa kujiunga na huo mradi walikuwa makada wa chama cha mapinduzi CCM na watoto wa Vigogo Serikalini.
Chanzo: Azam News