vijana

  1. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wenye asili ya uweusi wanapendelea wadada wenye makebo makubwa ila vijana wa ngozi nyeupe wanapendelea wadada wenye maanabeli makubwa?

    Ni ishu ya DNA au tu mazoea. Maana huku kwetu wadada wenye makebo mapana ndio habari ya mjini ila wazungu ni mabinti wenye maanabeli mapana.
  2. Red black

    JamiiForums Tanzania Vijana kuweni makini usiloweka kama hujacheki afya na huyo Binti usidanganywe na uzuri wa njee

    its weekend usijisahau ukaloweka kizembe..zinaa ni mbaya..kula gambe ukikaa vizuri upstairs tembea zako ghetto. #play SaFe
  3. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Money sunction effector (MSE) ni suluhisho la ajira kwa vijana hapa Tanzania

    Habari wakuu Natumai wote humu ndani ni wazima wa afya kabisa. Week mbili hizi nimefanya research ambayo naimani kama ikifanyiwa kazi basi tunaweza pata matokeo chanya kwa taifa letu na hata tutajikomboa katika wombi la ukosefu wa ajira kwa vijana na umaskini kwa ujumla. Nitangulize pia...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Vijana wa sasa awajaandaliwa kuwa mababa bora. Ninachokiona mtaani ni ujinga mwingi!

    Vijana wa sasa wengi wao wanataka familia na hata wale wanajikuta tayari wanafamilia kwa maana Mke na mtoto au watoto lakini maisha anayoishi na hiyo familia yake ni ujinga mwingi Kijana huyu wa kiume akishampa binti kwanza ataanza kukataa huo ujauzito, mwingine ataukubali lakini matunzo...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Bilioni 28 za Matumizi mengine za Wizara inajumuisha posho, mafuta ya gari, chai na vitumbua n.k

    Utangulizi Ngome ya vijana ACT-Wazalendo kwa niaba ya vijana, tumefuatilia hotuba ya bajeti ya Mheshimiwa Waziri Joel Arthur Nanauka aliyoitoa jana tarehe 20 Aprili, 2026 kuhusu Mpango na Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Vijana kwa Mwaka 2026/2027. Katika ufuatiliaji wetu...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kijiwe cha JF: Kona ya vijana wa rika zote na jinsia zote

    Tunatambua changamoto zenu mbalimbali lakini pengine hamna pa kuzisemea Msiwe introvert sana.. Kuna tiba kwenye kuongea .. Ongeeni Story za kawaida Yatokanayo Yasemwayo Ya afya ya mwili Ya afya ya akili Mahusiano no ILA umbea na majungu wekeni kando😀 Kuna jopo la wazee watakuwa hapa wakiangusha...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli: Mikopo pekee haitoshi kwa Vijana, wapewe na elimu

    Mbunge Jesca Magufuli amesema mikopo pekee kwa vijana haitoshi, isipokuwa wanahitaji kujengewa uwezo ili wanufaike na mikopo hiyo. ELimu kama ya utunzaji wa fedha na namna ya kuanzisha biashara ndio itawafanya wanufaike na mikopo hoyo ===== Mbunge wa Viti Maalum, Jesca Magufuli, amesema...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afuta vibali vya wawekezaji wageni uchwara wa Madini na kuwapa Vijana wazawa wa BBT Madini

    My Take Pamoja na uamzi huu mzuri wa kuwapatia fursa Vijana wa zawa Vitalu vya Madini lakini Machadema yataanza kutukana hovyo badala ya kupongeza kama Afrika nzima inavyompongeza Rais Samia Kwa uamzi wa kishujaa na kizalendo. https://www.instagram.com/p/DXMc7YtDEjQ/?igsh=YTFkODFzZnhsbGF4
  9. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Vijana Chadema Lissu hajajisalimisha na hatajisalimisha

    Hahahaha! Hii ndio yenewe mayi! Wanaachia usuzi wanusa wenyewe. Heheee! Na bado. Mwajua jinsi Lisu ako. Hawezi muinamia mapembelosi. Waache wacheze Ngoma yao menyewe. Ukombozi uko pale. Na bado MTU wao Siku sio nyingi anapanda anga la mbali na akiwa na NASA. Dadeki. Soma hiyooo
  10. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Vijana tujifunze kutoka kwa huyu mwenzetu

    https://vt.tiktok.com/ZSH7Bamqd/
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Meya Songoro: Vijana tutoe hoja za utatuzi wa changamoto na kulinda Taifa Kizalendo

    Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge amewahimiza vijana kutoa majibu kwa maswali ya kulijenga taifa ili kupeleka mbele maendeleo ya taifa kwakuwa wazalendo wa kweli wanaoipenda na kuitumikia nchi yao. Mnyonge ametoa rai hiyo wakati wa uzinduzi wa jukwaa la ‘Vijana Platform’...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Zuwena Bushiri: Vijana wetu wametafutiwa kila njia ya kujikwamua kiuchumi, wachangamkie fursa

    Akichangia hoja Bungeni Dodoma leo Aprili 14, 2026, Mbunge Zuwena Bushiri amesema kuwa: "vijana wetu wametafutiwa kila njia ya kujikwamua kiuchumi. Ukiingia katika mikopo ya Halmashauri kumi, vijana wapo. Lakini Mheshimiwa Rais ameona haitoshi, akawatafutia bilioni mia mbili ili kuwawezesha...
  13. Sulomy health care

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii jinsi inavyoinua uchumi wa vijana

    MITANDAO YA KIJAMII JINSI INAVYOLIPA!!! FURSA YA KIPEKEE YA KUKUZA KIPATO CHAKO! Je, unatafuta njia ya kuongeza kipato chako kupitia mitandao ya kijamii ukiwa nyumbani au popote ulipo? Karibu kwenye Kampuni ya Eternal International – mahali ambapo ndoto zako za kifedha zinaanza kuwa kweli...
  14. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania Vijana watakiwa kuwa nguzo ya maadili na ujenzi wa Taifa katika kumbukizi ya miaka 104 ya Baba wa Taifa

    Dodoma, Aprili 11, 2026 Kongamano la vijana ya kumbukizi ya miaka 104 ya kuzaliwa kwa Baba wa Taifa, Julius Nyerere, limefanyika leo Jumamosi katika Ukumbi wa Chimwaga, Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Kongamano hilo limewakutanisha viongozi wa serikali, wanafunzi na vijana kutoka maeneo...
  15. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa vijana wa kuomba kazi TAKUKURU

    Wakuu nafasi zimetoka 500 kwa bachelor na diploma naomba Uzi huu uwe maalumu kupeana abc za taratibu za kuomba ajira nk
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Inakuaje vijana Wamarekani hawana hamasa na kazi za jeshi Marekani?

    Jinsi ambavyo huwa naona hapa bongo watu wanavyogombania kazi za jeshini hadi wengine wanahonga, wanaenda kwa vimemo na wengine kutapeliwa huwa nashangaa sana jinsi jeshi la Marekani linvyoshindwa kufikia malengo yake ya kuajiri wanajeshi wapya hadi inabidi kubembeleza watu au kushusha vigezo...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tutambue umaskini wa wananchi na vijana ni janga

  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni kipi hasa huchochea vijana wengi kupendelea kuvaa suruali au kaptura chini ya makalio yao?

    Yaani unakuta kijana anahanhgaika kuipandisha suruali au kaptula yake aliyoivaa chini ya makalio yake utadhani kweli anaipandisha kiunoni kumbe anajaribu tu kuwaonyesha wanaomtazama kwamba kaivaa nguo hiyo chini ya makalio, na kwakweli haipandishi kiuononi wala nini. Na baadhi yao...
  19. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa vijana alaumiwe nani? Nani anawajibike? Ina mana mpaka ile kweli watu waaply fungu la 10? Nanauka upo?

    Wana jf hamjambo?, hapa katikat iliibuka dini mpya ya wakrislam, nipendekeze mjumbe wake awe IPM Nanauka hujambo? Nliwah kutaman uwe na uwezo flani hiv na maono ngazinya wizara kama waziri sio ngaz ya misemo kama motiveshen spika-mvizia hela za semina. Nilitaman kuona vision na ajenda zenye...
  20. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Msanii kaje double killer anaaribu vijana mtaani huku wamechomwa moto wawili walikua wanajiita 45

    Huyu jamaa nyimbo zake zinahamasisha vijana wafanye uhalifu Sasa kibaya wanafanya uhalifu huku wakiwa hawana bunduki yaani ni visu na bisi bisi Leo huku mtaani vijana wawili wamechomwa moto na tisheti zao zimeandikwa 45 kikosi vijana tufanye kazi aisee imefikia hatua mtu unataka kula bangi ila...
Back
Top Bottom