Wana jf hamjambo?, hapa katikat iliibuka dini mpya ya wakrislam, nipendekeze mjumbe wake awe IPM
Nanauka hujambo? Nliwah kutaman uwe na uwezo flani hiv na maono ngazinya wizara kama waziri sio ngaz ya misemo kama motiveshen spika-mvizia hela za semina. Nilitaman kuona vision na ajenda zenye...
Huyu jamaa nyimbo zake zinahamasisha vijana wafanye uhalifu Sasa kibaya wanafanya uhalifu huku wakiwa hawana bunduki yaani ni visu na bisi bisi Leo huku mtaani vijana wawili wamechomwa moto na tisheti zao zimeandikwa 45 kikosi vijana tufanye kazi aisee imefikia hatua mtu unataka kula bangi ila...
Yaani madogo kabisa walikua wanaenda shule wananisalimia brother Sasa nikasafiri kurudi najuta madogo wamezeeka ghafla eti kisa kuvuta bangi na pombe Kali aisee hii nashindwa kuelewa yaani nimepiga nao picha
Mimi naonekana dogo wenyewe kama wazee halafu miaka Yao 17 mwisho 25 lakini...
Kuna kero kubwa inayowakumba vijana wengi waliokuwa wakijitolea kama waongoza watalii (Tour Guides) katika Taasisi ya TAWA kwa muda mrefu sana. Wapo vijana wamejitolea kwa miaka mingi wakifanya kazi ya kuongoza watalii, wakilitangaza taifa na vivutio vyake, wakiamini siku moja watapata ajira...
Anonymous
Thread
ajira
bila
mrefu
muda
muda mrefu
taasisi
tawa
vijana
watalii
Ndugu wanajukwaa,
Kuna jambo lazima lisemwe wazi bila kuficha ukweli: vijana wa Tanzania tumechoka na mifumo isiyo na tija inayotukatisha tamaa kila siku.
1. Ajira Portal – Kivuli cha Matumaini
Leo unaona nafasi moja ya kazi, wanaomba watu zaidi ya 1,000. Huu si ushindani wa kawaida—ni dalili...
Kero yangu ni walichotufanyia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (Tanzania Airports Authority – TAA) vijana 40 kutoka JKT 2024 OP Mabeyo, walituchukua tukiwa vikosini wakatupeleka kama Maafisa Usalama wa Viwanja vya Ndege, Airport Security Officer (AVSEC) bila kuomba nafasi hiyo, wakatushawishi kuwa...
Anonymous (f714)
Thread
ajira
changamoto
haki
jkt
madeni
mamlaka
muda mrefu
ndege
vijana
viwanja
viwanja vya ndege
sijajua imekua trend au ndio ulofa wa zama hizi, mtoto wa kiume una toa wapi nguvu ya kulala na kukoroma ukweni?
Sifa ya mwanaume ni kupambana uwe na himaya yako, hata kama umepanga still ni kwako.
una maamuzi na uchaguzi wa kufanya hili au lile, sasa huko ukweni uta amrisha uchemshiwe maji ya...
Mjini Mogadishu, mji mkuu wa Somalia, bidhaa za China hazijadhibitiwi tu kwenye maduka halisi, kwani zinaonekana kwa wingi katika skrini za simu za mkononi, zikijaza vikapu vya manunuzi, na kupelekwa moja kwa moja mlangoni kwa wateja kupitia mtandao unaoendelea kupanuka wa maduka ya mtandaoni...
Ninaandika uzi baada ya kusoma habari mitandaoni inayosema kuwa kijana Dominik mmiliki wa room of jeans kuwadanganya wateja wake kuwa watauziwa suruali Tsh 5000 ila walipofika akawapa bei tofauti ambayo ni kubwa zaidi. Hii mimi naona haijakaa sawa. Dominik kateleza. Uongo wa aina hii kwenye...
Hamjambo wote!
1. Mara zote maadili huharibiwa na viongozi, wazazi na wakubwa.
2. Viongozi na wazazi au wakubwa wakiwa na maadili automatically watoto, wadogo na waliochini watakuwa na maadili.
3. Sio maadili ya kuhubiri mimbarani, au kwenye majukwaa kama kasuku. Huo ni ukasuku. Huwezi sema...
Angalizo: andiko hili linaweza kuwa na lugha ngumu na Kali. Hivyo kama wewe sio mpenzi, unahasira, au ukisikia lugha ngumu unakereka, unapoteza furaha, unahisi kudhalilika au kupoteza heshima yako. Ni vizuri kuishia hapahapa. Usiendelee kusoma. Kwa kuendelea kusoma ni kuonyesha kuwa unajiweza na...
Baada ya karne nyingi kupita, 2025 Rais wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amekuja na maono ya kumfikisha kijana kwenye ndoto yake anayoitamani. Ameunda Wizara mahususi kwa ajili ya kusikiliza hoja za vijana, kuwaongoza na kuwawezesha kufikia nchi ya ahadi ya asali na Maziwa. Inawezekana...
VIJANA WENGI HAWAJUI SIRI HII: NUSU YA KIPATO CHAKO NDIO KIWANGO CHA MATUMIZI YAKO HAYATAKIWI KUZIDI HAPO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Usijesema ooh! Mtibeli bahili. Ooh! Upare umekuharibu Mtibeli. Nope!
2. Hiyo ni siri za pesa ambayo hutaambiwa na watu wengi waliofanikiwa hasa...
Jukwaa la Uzalendo na Mabadiliko limetoa barua ya wazi kwa Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, likielezea wasiwasi mkubwa juu ya utekelezaji wa mpango wa Shilingi Bilioni 200 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya vijana nchini.
Katika barua hiyo iliyotolewa hivi karibuni, jukwaa...
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetenga mfuko wenye Sh50 bilioni kwa ajili ya kuwawezesha vijana wanaojihusisha na sekta ya ubunifu nchini, hatua inayolenga kukuza uchumi wa ubunifu na kutoa fursa zaidi za kiuchumi kwa vijana.
Akizungumza jijini Arusha jana Machi...
Bila kupoteza muda niende direct kwenye Mada mwaka jana ulikuwa mwaka wa changamoto sana kwenye maisha yangu hii yote ni kwa sababu ya kukosa uaminifu kwenye mambo madogo madogo.
Kuna bro ni rafiki yangu lakini kwa sasa ni kama ndugu yangu tupo kwenye urafiki zaidi ya miaka kumi tulisha...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, Machi 7, 2026 amezindua program ya Jenga Kesho iliyobora (BBT) upande wa uvuvi kwa kuwakabidhi hundi yenye thamani ya Bilioni 7 Vijana 308 wanaojishughulisha na Mambo ya uvuvi ili iwawezeshe kimitaji hafla iliyofanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.