Vijana tuilinde aman

Vijana tuilinde aman

Joined
May 2, 2026
Posts
58
Reaction score
48
Amani ni agenda muhimu kwa kila Mtanzania, hususan vijana wenye ndoto za mafanikio. Bila amani, haiwezekani kufikia maendeleo ya kweli, iwe ni binafsi au ya taifa. Vijana hawawezi kutumia kikamilifu fursa zilizopo kama mazingira hayana utulivu. Hata mtu akiwa na mali nyingi, bila amani ndani ya nafsi na familia, mafanikio hayo yanakosa maana.
 
Amani chini ya utawala wa CCM ni kukubaliaana na katiba uchwara,kutokukosoa huyo rais asiyejua hili Wala lile

Eti walitaka Samia avunje record za kuwa rais mwanamke Toka Tanganyika kwa kushinda kwa Kura nyingi,mungu asivyokubaliana na mipango haramu , Samia amekuwa mwanamke wa kwanza kushitakiwa ICC.

Asante mungu kwa hili jambo la kuadabishwa samia
 
Amani ni agenda muhimu kwa kila Mtanzania, hususan vijana wenye ndoto za mafanikio. Bila amani, haiwezekani kufikia maendeleo ya kweli, iwe ni binafsi au ya taifa. Vijana hawawezi kutumia kikamilifu fursa zilizopo kama mazingira hayana utulivu. Hata mtu akiwa na mali nyingi, bila amani ndani ya nafsi na familia, mafanikio hayo yanakosa maana.
Amani huwa haifiki ulipo kwa urahisi kama hauupendi utulivu.Kwenye utulivu kuna utu.Utu maana yake usawazisho.Usawazisho ndiyo usawa.Usawa maana yake bila kupunja.Kupunja ni kutokuwa sawasawa.Sawasawa maana yake HAKI.
 
Amani ni agenda muhimu kwa kila Mtanzania, hususan vijana wenye ndoto za mafanikio. Bila amani, haiwezekani kufikia maendeleo ya kweli, iwe ni binafsi au ya taifa. Vijana hawawezi kutumia kikamilifu fursa zilizopo kama mazingira hayana utulivu. Hata mtu akiwa na mali nyingi, bila amani ndani ya nafsi na familia, mafanikio hayo yanakosa maana.
Hakuna amani bila haki. Usidhani watu wataendelea kuwa wajinga miaka yote.
 
Tusisahahu kupiga Vita haya! Haya ndiyo yanavuruga Amani: 1.Ufisadi,Ufujaji wa Fedha za Umma,Matumizi na Wizi wa fedha za Umma,Rushwa(Ripoti ya CAG)
2.Uminyaji wa Haki za Demokrasia!
3.Upendeleo wa Ajira
Nk.
Amani itakuja yenyewe!
 
Haki ikiwepo amani ni lazima itakuwepo pia...

Ni vyema kuzungumzia Haki kwanza kisha Amani....
 
Amani ni agenda muhimu kwa kila Mtanzania, hususan vijana wenye ndoto za mafanikio. Bila amani, haiwezekani kufikia maendeleo ya kweli, iwe ni binafsi au ya taifa. Vijana hawawezi kutumia kikamilifu fursa zilizopo kama mazingira hayana utulivu. Hata mtu akiwa na mali nyingi, bila amani ndani ya nafsi na familia, mafanikio hayo yanakosa maana.
well done gentleman,
this is an article of the day

Yes,
Vijana wengi wa kizalendo Tanzania, tuko tayari kuilinda nchi yetu kwa wivu mkubwa sana,
na kwa gharama ya maisha yetu na nguvu zetu zote, tutalitetea taifa letu dhidi ya maadui wanaowatumia vibaraka wao humu nchini na mamluki wafuata mkumbo ili kuvuruga umoja na amani ya Taifa letu.

Kwa neema na baraka za Mungu, watashindana lakini hawatashinda.
 
Yaani amani muivunje nyie kisha sisi mtuimbie kuilinda!!
Mnatuona kama .........o yenu🚮
 
Amani ni agenda muhimu kwa kila Mtanzania, hususan vijana wenye ndoto za mafanikio. Bila amani, haiwezekani kufikia maendeleo ya kweli, iwe ni binafsi au ya taifa. Vijana hawawezi kutumia kikamilifu fursa zilizopo kama mazingira hayana utulivu. Hata mtu akiwa na mali nyingi, bila amani ndani ya nafsi na familia, mafanikio hayo yanakosa maana.
Chini ya Hawa mizunguko wa watu! Hapana Kwa kweli bora vita tu japo sio nzur na wasio na hatia watakufa wengi ila bora vita
 
Back
Top Bottom