vijana

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia asisitiza umuhimu wa Vijana kupewa kipaumbele cha elimu na ajira

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa Vijana wengi Duniani wanakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo elimu duni na ukosefu wa ajira, hali inayowasababisha kukosa matumaini, kujiingiza katika uhalifu...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Vijana wanasoma ili wakaibe

    Hello! It's like a joke lakini ndio ukweli wenyewe. Nchi hii wizi mbaya ni ule wa kuchukua mahindi mabichi shambani, kuiba kuku, kuiba simu , kuiba karanga , korosho, pipi na vitu vingine. Ila tukija kwenye wizi wa kisomi, wizi wa kwenye makaratasi huo wananchi hawana shida nao. Mtumishi wa...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume muigeni huyu jamaa

    Wanawake tangu kuolewa kwao mpaka kuzeeka huwa hawawapi waume zao nafasi za kuwa huru na kushukuriwa. Kwa bahati mbaya sana vijana wa kiume ndiyo wanaoongoza kwa kuwashutumu na kuwatendea vibaya baba zao. Vijana hao husahau kuwa anayotendewa baba yao na mama yao akisihrikiana na wao, na wao...
  4. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Je kesi ngapi bandia zipo mahakamani?

    Najaribu kutengeneza picha ya kihindi tu mimi ndiye director wa film, nitaongea na vijana wangu toka ndani ya idara yangu ambao siyo maarufu na kuwaambia tutengeneze filamu nzuri sana, na nyie mtakamatwa na kuwa wauaji Mtasota rumande kesi itasikilizwa harakahaka, karibu na uchaguzi mkuu...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa Vijana katika michakato ya Kidemokrasia Nchini kujadiliwa katika Wiki ya Azaki

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la HAKIELIMU, John Kallaghe, akizungumza katika mkutano huo kuhusu ushiriki wao na mambo watakayofanya katika Wiki hiyo. Ushiriki wa makundi mbalimbali ya kijamii hususan vijana katika kutoa maoni yao kwenye michakato ya Kidemokrasia nchini, umetajwa kuwa moja ya...
  6. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Ni mfumo wetu wa elimu mbovu au wanafunzi uelewa upo chini? Nchi nyingi duniani vijana waliosoma ICT ndio matajiri ila kwetu wanazunguka na bahasha

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hebu tutoe maoni kwanini vijana wa sayansi especially ICT wanahangaika sana wakati Kwa elimu yao wangekuwa na uwezo wa kubuni apps ambazo zingewakwamua kiuchumi badala yake wanahangaika na bahasha kama wahitimu wa procurement & supply. Mfano wa kijana wa...
  7. 29Oct2025

    JamiiForums Tanzania Hawa vijana wa skauti wanaruhusiwa kusimamisha magari na piki piki?

    Tukio limenikuta muda huu baada ya kusimamishwa na vijana wadogo skauti kwenye chombo changu cha usafiri Tena huyu skauti alienisimamisha umri wake ni miaka 19/20 halafu ananimbia paki piki piki yako pale Ilibidi nishuke nimfuate nimchape kibao kwanza na nikamuuliza wewe huna sare yoyte...
  8. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Sina raha, wasiwasi wa maisha unanisumbua

    Nasumbuliwa sana na wasiwasi wa maisha, mwanzoni nilikuwa naona kawaida ila kwa hali yangu ya sasa naona it's too much. Ngoja niwaelezee kidogo jinsi ilivyo, mfano nikitoka kazini nikirudi home kupumzika, mawazo yananijia kuna vijana wenzangu bado hawajarudi ghetto bado wapo mtaani wanapambana...
  9. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania Jeshi la kujenga taifa JKT litutumie Vijana kwa maslahi ya jamii zetu

    Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa sana la vijana wanaopenda kujiunga na jeshi la kujenga taifa hasa wale wa mujibu wa sheria huwa wanajaa mno. Ijapo kuwa jeshi hili halitoi ajira, lakini vijana wengi huwa wanapenda kuomba nafasi za kujitolea ili mradi tu watimize ndoto zao na wengine huamini...
  10. young lideko

    JamiiForums Tanzania Ujana bora ni kuwa na nini?

    Kipindi chako cha ujana umri wa miaka 22-25 ulikuwa unamiliki nini cha thamani ili nipate motivation ya utafutaji.
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

  12. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Vijana nendeni mkafanye interview punguzeni malalamiko...

    Kwa wale waliosoma kozi za afya ..wameita kwenye interview lakini malalamiko yamekuwa mengi hasa kwa wenye shahada za uuguzi Na udaktari ,, shime shime shime, vijana wenzangu twende tukafanye interview ....... hakuna wa kumraumu zaidi ya magufuri..ukweli usemwe..
  13. L

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura, nakutafutia ushahidi wangu kuhusu vurugu wakati wa uchaguzi

    Bw IGP Inspekta General Camilius Wambura, mimi ni mtanzania mwema na na nia ya dhati kabisa Kusaidia nchi kufichua maovu yote yanayoendelea nchini hasa mienendo ya chama hiki cha Kaskazini. Namba za Jeshi la Polisi ktk tovuti yenu naomba mzihuishe, nitakuwa napiga simu kwenu mchukue hatua...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Vijana na ulevi

    Kila nikirudi nyumbani (mkoani), nagundua dhahiri kabisa kuwa kuna ongezeko kubwa sana ya maduka madogo madogo ya pombe (grocery stores) katoka mitaa mbalimbali tofauti na hali ilivyokuwa miaka 10 au zaidi iliyopita. Hata maduka yanayouza mchele na sukari lazima kuna droo ya kuuza pombe tena...
  15. trojan92

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini vijana wengi hawapendi kushiriki chaguzi hasa kupiga kura?

    Heloo wana JF Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa siasa za Tanzania na vioja vyake kwa muda mrefu. Ni kweli pasi na shaka kuwa vijana wengi hujitokeza kwenye kampeni lakini kwenye kupiga kura wengi hawaendi kabisa. Hii inathiri upatikanaji wa matokeo tarajiwa sababu wanatarajia mshindi ambae...
  16. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Tayari, keshaumia anatoa kamasi tu huko chini.

    Tukisema tumieni condom muwe mnaelewa basi. Uzi kwisha!
  17. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Samatta , Kanumba na Diamond ndo vijana mlioacha alama chanya hapa Tanzania

    Kanumba (GOAT) wa filamu Tanzania Diamond (GOAT) wa Muziki Tanzania Samatta (GOAT) ktk Mpira Tanzania Hawa ndo vijana ambao Tangia TAIFA la Tazania liwepo wameonesha kuwa Sky is limit ✊🏿
  18. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Vijana wa 2000's namna wanahesabu mapito yao! Gen-Z

    Vijana wa mwaka 2000 mpaka sasa inasemekana ni hatari sana. Wanahitaji ushauri. Vijana hawa wamekuwa wakionekana wakiwa wanashindana na "walipotokea" Huyu mwamba kwenye picha, kila akipita na Mdada anahakikisha anabaki na "kufuli"lake na kulibandika ukutani! SWALI KWA MSOMAJI: Je, wewe nguo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana Wakike na Kiume

    Ushauri huu unatoa mwanga mzuri kwa vijana kuhusu maadili na namna ya kujitunza. 1-no tattoos 2-no kutoboa pua na maskio kwa wanaume. 3-no twerking hadharani. 4-usivae kibukta kinachoacha nusu paja wazi. 5-jifunze kutengeneza hoja jifunze kuongea na watu 6-ukipata chance ya kusoma piga book...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tufanye nini ili kuongeza ushiriki wa wanawake hasa vijana kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Wakuu salaam, Kama tunavyojua Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utafanyika Nov 27, na cheche tushaanza kuziona katika vyama vyote. Kama ilivyo miaka yote wanaume wamekuwa wakiongeza kujitokeza kugombea nafasi hizo huko wanawake wakiendelea kubaki nyuma, na kuwaona hasa wakati wa kupiga...
Back
Top Bottom