[GASTON JORDAN LIVIGHA]
[gaejombishi@gmail.com]
UTANGULIZI
Naandika sio kwa dhumuni la kushinda pesa la hasha! lakini naandika nikiwa kama mmoja wa vijana walioathirika na janga la ukosefu wa ajira. Nikiwa kama muhitimu wa chuo cha Dodoma shahada ya mipango na usimamizi wa miradi na maendeleo...
Nilifanikiwa Kutembelea Baadhi Ya Wananchi Wa Wilaya Ya Ilala, Kutoka Kata Ya Kivule, Ili Kujua Maendeleo Ya Wananchi wa Wilaya Yetu Ya Ilala.
Katika Matembezi Haya, Nilifanikiwa Kujua Mafanikio Yaliyofikiwa Na Serikali Ya Chama Cha Mapinduzi Kwa Wananchi Wake, Changamoto, Pamoja Na Mapendekezo...
Maisha baada ya chuo ni magumu sana, mtu unaweza kuwa unajitafutia riziki mfano boda boda unakutana na disappointments nyingi.
Kuna watakaokwambia kuwa umesoma Kwa ajili gani na unafanya kazi duni lakini watawala watatuita maafsa, ila yote ya yote ni kufocus na kujituma ukiwa unasubiri miujiza...
Penzi ni kikohozi, tunaandika kama mzaha lakini madhara yake ni makubwa sana.
Hii inawahusu zaidi wavulana kwa sababu wao ndio wenye maamuzi ya kuoa.
Ewe kijana sikiliza kwa makini ukimpata mwenza wa kuishi na kujenga naye familia hakikisha ni wa imani yako na kama ni imani tofauti basi hakuna...
Habarini wakuu kama kichwa cha habari kinavojieleza Duka la nguo za Kike(Magauni na Jeans) linauzwa. Nimepata scholarship inabidi nikasome sasa sina wa kumuachia naitaji kuliuza.
Kuna magauni ya kike kama 70, Tshirt kama 15. Na jeans kama 150. kuna feni mbili, Kioo, Kabati la jeans, na...
Wakuu hii ikoje,
Si WhatsApp si twitter kila siku lazima nione vijana timamu kabisa kupotea wengine wanafunzi wengine wafanyabiashara.
Au mimi ndiyo naweweseka
Kwa mtu yeyote yule ambaye ameondowa tongotongo na kutembea nchi za kimagharibi au hata South Africa atakubaliana na hoja yangu.
Unakwenda club au Pub lakini cha kushangaza unakuta mziki wa wavuta cocaine wa ulaya ndio unapata air time na vijana vibe lao linakuwa kubwa, huwa sielewi
Kwa mtu...
Mimi naishi mkoani ni changamoto sana kupata developer sasa nilikuwa na kazi yangu nataka developer aifanye nimekutana na madogo kama watano hapa wamesomea kozi hiyo ya IT Kuna kazi nilikuwa nataka niwape wafanye lakini naona wameshindwa walikimbia kuifanya Kazi yangu
Ahadi nyingi nitafanya...
MITHALI 18:22
Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA.
WAEFESO 5:31
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili m'moja.
1 WAKORINTHO 7
Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke...
Anaandika Ummy mwalimu Baada ya Report ya World Health Statistics 2023 ya WHO..
Taarifa zaidi kuhusu Kiwango cha Matumizi ya Pombe Tanzania na Magonjwa YasiyoAmbukiza.
Kwa mujibu wa World Health Statistics 2023 kiwango cha matumizi ya Pombe isiyozimuliwa (Pure alcohol - 100% ) nchini Tanzania...
Unaweza kudhani ni maajabu, ila huo ndio ukweli, Kijana alozaliwa 14/3/1988, aloamua kuchukua Nchi Kwa njia ya mapinduzi mnamo 30/9/2022 .. ni Mwaka mmoja na miezi 6 tuu ila Mzalendo huyu Kijana kaamua kuanzisha safari aloiachia HAYATI Thomasi Sankara.
Kwa watoto wa 2000, Thomas Sankara ni...
Vijana ambao mko kwenye michakato ya kutafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu ambazo naziweka hapa
Hao jamaa sio watu wazuri, sijui wanatumia njia gani kujua kama umeomba kazi sehemu flan
Mdogo wangu juzi kalizwa laki 8
Walimpigia simu na walimwambia wanatokea sehemu ambayo ni kweli...
Naomba kujua hapo juu maisha yakoje ukiwa na Ajira ya uhakika na msharaha mzuri kwa vijana wenzangu?
Wengine tumejiajiri si ni yes no yes no. I wish to feel the experience of that place even from narration
Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma! Na fikira zikanijia kuwa kuna uwezekano mkubwa wana Jf nao wamenufaika lakini nimefanikiwa kumjua mwana Jf mmoja tuu hapo ! Vijana hizi fursa hamkuziona? Au hamkutangaziwa?
Kama unasoma uzi huu basi u buheri, pole kwa wenye changamoto.
Hawa vijana wanaosajili laini za simu mitaani wamekuja na mbinu mpya kukuibia pesa.
Wanatumia app za kampuni husika, TIGO PESA APP AU MPESA APP n.k. Wanawahadaa wateja kuwaunga 5G wapate intaneti yenye kasi bure kama ofa...
Katika maisha ya soka dunia nzima vijana ndio msingi mzuri wa maendeleo ya soka. Katika taifa letu la Tanzania jamii ikiongozwa na TFF kwa msaada wa serikali imekuwa ikijitahidi kuinua mchezo wa soka, lakini inasikitisha kuona wanachokifanya ni KUTENGENEZA PAA LINALO MEREMETA WAKATI MSINGI NI WA...
Jamani wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimeona ndugu yangu Mlundilwa Jr kaandika uzi wake akisema alimwambia dogo atoe elf20 lakini akagoma akasema bora atafute mwanamke aimalizie huko. Sitaki kujua ni stori ya kweli au ni uongo, lakini uhalisia upo hivyo.
Sasa hivi kwa tunaoishi...
Katika ulimwengu wa vijana hasa wa vyuoni, afya ya akili mara nyingi hupuuzwa, licha ya umuhimu wake katika mafanikio ya kitaaluma, ukuaji binafsi, na hali ya maisha kwa ujumla. Makala hii inachunguza changamoto za afya ya akili miongoni mwa vijana na inatoa mikakati ya vitendo vya kukuza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.