SoC04 Kuwapa fursa vijana wenye vipaji

Tanzania Tuitakayo competition threads

mcbbrandog

New Member
May 22, 2024
2
0
Serikali itoe fursa kwa vijana wenye vipaji na uwezo
Serikali tungeomba iwape fursa vijana wenye uwezo na taaluma mbalimbali tanzania tumejaliwa kuwa na vijana wengi wenye uwezo mbalimbali katika sekta mbalimbali mfano kuna vijana wengi wanataaluma computer science wapo tu mtaani awana kazi, wapo vijana wanaubunifu mkubwa tu wanatengeneza maroboti lakini awajapata fursa ya kushikwa mkono na serikali, wapo vijana wengi wanatengeneza mifumo mbalimbali ya mitambo ya kulipia maji kwa kutumia tecknology kukipia kwa salafu ndo maji yanatoka.

Serikali kama wa watakaa na vijana hawa kuwapa fursa au kushika mkono basi tutatengeneza tanzania bora yenye wataalamu wengi na itatufanya tuwe na uchumi mzuri maaana kuna matumizi ya fedha tutayapunguza ili kuwekeza nguvu kwa vijana.

Waenga walisema vijana ni taifa la kesho basi hii ni kweli kama serikali itaamua kushirikiana na vijana wenye taaluma mbalimbali ilikukuza uchumu wa nchi katika sekta mbalimbali ni wazi kabsa tuna vijana wengi wenye taaluma na wenye vipaji vikubwa kugundua vitu vya kimaendeleo katika jamii zetu.ombi langu kwa serikali au makampuni mbalimbali hapa nchini ili kupata uchumi ulio bora lazma tuamini vijana ni vyema kuwa na vijana wenye taaluma na vipaji vya kugundua vitu ili wezesha kuboresha tanzania iliobora na yenye uchumi mzuri
 
ombi langu kwa serikali au makampuni mbalimbali hapa nchini ili kupata uchumi ulio bora lazma tuamini vijana ni vyema kuwa na vijana wenye taaluma na vipaji vya kugundua vitu ili wezesha kuboresha tanzania iliobora na yenye uchumi mzuri
Sawa tunakubali, lakini hao vijana wajitahidi tu kutengeneza teknolojia zinazobiasharishika kama ulivyodokeza huo mfumo wa kutia sarafu maji yanatoka ni mzuri kwa maeneo wanakouza maji
 
Back
Top Bottom