Tanzania yangu na tatizo la Ajira kwa vijana

Fabian_255

New Member
May 17, 2024
3
0
Kumekuwa na wimbi kubwa sas ama kilio kikubwa juu ya kanga la ukosefu WA ajiraa miongoni mwa vijana wanao hitimu ngazi mbali mbali za elimi, na hata walioko mtaanii pia. Huku upande mwingine tukisikia wimbo wa Tanzania ni tajiri na fursa nyingi.

Nini kifanyike?
Kwa maoni yangu kwa miaka kadha ijayo janga hili litkua kubwa zaidi kwahyo nin tufanye ama serikali itekelezee sasa

1. Kuhimiza na kuwekeza kwenye vipaji vya watu
Tunaona nchii kama Marekani , Hispania hazina madini lakini serikali zinaingiza mapato mkbwa kutokana na soka na Sana ya muziki na maigizo.

Ni wakati sas serikali iwekeze katika kusapoti vipaji asilia vya watu kama muziki, mpira, kuchora , badala ya watu kukaa na kulilia serikali iwajili badala yake uwekwe mfumo nzuri WA kuendeleza vipaji vyao

2. Mfumo WA elimu ubadilike sasa
Wakati tunapata Uhuru mwaka 1961 nchii ilikuwa na uhaba wa wafanyakazii ndio maan Mwalimu Julius na wenzake wakkaunda mfumo wa kuzalishaa waajiliwa lakini sas tumeshatoka huko sekta ya Ajira imejaa na bado mfumo unazalisha watu tegemezi kwa serikali.

Ni wakati sasa wimbo mashuleni na vtuon ubadilike na mfumo mzmaa qa nmna ya kuwanda watu
Tunaweza kugawa tukawa na shule za Sanaa, shule za mpira, shule za kikapuu shule za siasa na biashara
Taratibu baadae ya miaka 20 mbelee taratibu mfumo wetu unaweza kubadilika.
 
Back
Top Bottom