Mtazamo wangu naona serikali iweze kupunguza kodi kwa wawezekaji ili waje kwa wingi vijana wengi waweze kupata ajira.
Tazama hata nchi zilizoendelea ajira ni nyingi mpaka watu wanafuatwa na kampuni ili waajiriwe angali bado mtu yupo chuo.
Hivyo inasababisha hata maendeleo kwa nchi kwani kodi zitakua nyingi sana na taifa letu likasonga mbele zaidi.
Na ningependa serikali yetu iongeze sekta binafsi kama za umeme ili kuleta ushindani katika nchi na naamini tatizo la umeme pia litapungua na vijana wengi watapata ajira.