ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 20,026
- 46,176
Me Sina hela ila naishi na watu wema na wenyewe kiuchumi hawako vizuri nyie wa huko dar mna magari na majumba najua wengi hamuwezi kushindwa kufungua redio Jina LA redio nakupa mimi iitwe 45 fm vipindi nakupangilia mimi wewe utaboresha tu ila ni redio Kwa ajili ya vijana tu wa 45 Namba hio inafahamika na wenyewe Nina bonge la kitu redio itapendwa.. BOSS yoyote ukiwa serious tuongee shida hakuna watu wanataka wale raha redio hiyo itakuwa nzuri Sana kuna kipindi cha watu kupeana michongo pia.Na app ya redio iwepo.