Mama wa miaka 58, adaiwa kubakwa na vijana wawili

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,189
4,103
Polisi wilayani Serengeti mkoani Mara wamemkamata Kumari Mongita (23) mmoja kati ya wawili wanaodaiwa kumbaka mama mwenye miaka 58, mkazi wa Miseke ambaye amelazwa hospitali Teule ya Nyerere kwa ajili ya matibabu.

Tukio hilo linadaiwa kutokea Aprili 6 usiku katika kitongoji cha Senta wakati mama huyo, mkazi wa kitongoji cha Majengo akitoka kutafuta tumbaku na mboga na inadaiwa watuhumiwa walimfuatilia kwa nyuma na kumkaba na kumfanyia ukatili huo.

Mganga mkuu wa hospitali ya Nyerere, Tanu Warioba alidai mama huyo ana maumivu kifuani na sehemu nyingine za mwili. “Anadai baada ya kumwangusha walimvua nguo na mmoja akambana kifua, mwingine alimwingilia wakifanya kwa zamu kisha wakamtupa kwenye kajito”

Chanzo: Mwananchi
 
hawa vijana wanalaana washenzi sana hiyo papuchi ilitumiwa na wapigania uhuru wa nchi hii takriban miaka 60 iliyopita halafu wao wanaligombania saa hizi
Yaani victim ana miaka 58 halafu papuchi yake ilitumika na wapigania Uhuru miaka 60 iliyopita.

Haihitaji nguvu sana kujua kwamba ulifeli kidato cha nne kwenye somo la hesabu.

Elimu elimu elimu!!
 
Back
Top Bottom