Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,377
- 217,438
Hii ndio sababu kubwa ya vijana hawa kutokwa povu hapa jf hata kwa mambo yasiyo na mashiko, jionee mwenyewe.
Umeona wapi hizo posha? Acheni kuzusha, mnaufanya uanamageuzi kuwa upinzani wa kichekeshoHii ndio sababu kubwa ya vijana hawa kutokwa povu hapa jf hata kwa mambo yasiyo na mashiko , jionee mwenyewe
Pole sana kwa kudhulumiwa mkuuUmeona wapi hizo posha? Acheni kuzusha, mnaufanya uanamageuzi kuwa upinzani wa kichekesho
Tueleze kwa nini wanataka kutoana ngeu?Umeona wapi hizo posha? Acheni kuzusha, mnaufanya uanamageuzi kuwa upinzani wa kichekesho
Mmoja alimchukulia demu wake, ndiyo sababuTueleze kwa nini wanataka kutoana ngeu?
Mnagombea machangudoa wa CCM 🤣Mmoja alimchukulia demu wake, ndiyo sababu
Milafi miroho hiyo ndy nature yenuUmeona wapi hizo posha? Acheni kuzusha, mnaufanya uanamageuzi kuwa upinzani wa kichekesho
Hii ndio sababu kubwa ya vijana hawa kutokwa povu hapa jf hata kwa mambo yasiyo na mashiko , jionee mwenyewe
Kwani machangudoa si watu?Mnagombea machangudoa wa CCM 🤣
Mliozoea vya kunyonga vya kuchinja hamviwezi!Kwani machangudoa si watu?
Mimi siyo CCM ndugu yangu!Mliozoea vya kunyonga vya kuchinja hamviwezi!