Kuleta utofauti kuwe shabaha kwa vijana

Mafanikio au maendeleo mazuri sio yale yanayo mgusa mtu mmoja au kundi la watu wachache bali ni yale yanayo wagusa watu wengi na yanaleta utofauti kwenye jamii na Dunia nzima, Mapambano yawe katika kuleta utofauti.
Umeandika upumbav, mada haina ufafanuzi, hujatoa hta mfano.

Wewe umeleta tofauti gani ktk jamii??
Sibishani na wajinga
Masikini MNA mawazo kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
Maskini baba yako
 
Back
Top Bottom