vijana

  1. JamiiForums Tanzania Vijana tujifunze kuchuja lugha za kilaghai kutoka kwa viongozi wa kisiasa wanapoomba kura na kufanya uamuzi sahihi na bora

    Huu ni uzi wa wazo yakinifu kwa fikra mrejeo, Kama mada inavyosema, watu walilaghaiwa wakalaghaika kwa ulaghai wa kilaghai mwisho wa sike mchumba kabebwa na ambaye aliwaangukia akikiri yeye ni kama wao, hana kitu, wanamfahamu, hatanii na akatoa tahadhari harusi waliyoahidiwa kesho yake...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana wadogo wabatizwa kabla kupelekwa vitani Nagono Karabakh

    Mgogoro wa Nagono Karabakh baina ya Armenia na Azerbajan safari hii umesababisha vita vikali vinavyopelekea Armenia kuelemewa na kuishiwa na nguvu mpaka kupelekea kuwachukua vijana wadogo kuwapeleka mstari wa mbele. Vijana hao wanaojaa hofu kutokana na kutokuwa na uzoefu wa vita huchukuliwa...
  3. JamiiForums Tanzania Tutafuteni hela vijana

    Wanajamiiforums tafuta pesa zako upunguze kumuita kila mtu, "MKUU, KIONGOZI,MKURUGENZI, BOSI!" Unajiabisha sana mwanangu. Tafuta pesa kijana wangu ili hata Polisi wakikukuta umetulia sehemu wakuulize "MKUU KUNA SHIDA YOYOTE?" Hata wewe binti yangu tafuta pesa hata siku unapewa appointment...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini vijana tusijitolee kulingana na Ujuzi tulio nao?

    Kwa nini wasomi wengi hawapo tayari kujitolea? Jamii ina imani kubwa na vijana wetu ambao wanafika ngazi za juu za kitaaluma, kiasi wakaaminika kupewa nafasi katika maeneo mbalimbali. Lakini ni ngumu kwao waliopewa dhamana hiyo, kuwa tayari kuwakusanya hata baadhi tu ya wale wanaowazunguka...
  5. JamiiForums Tanzania Vijana tujikumbushe njia sita halali za kujipatia kipato

    Nalipenda jukwaa Leo kwa kuwakumbusha vijana wenzangu njia rasmi unazoweza kujipatia kipato bila kuvunja sheria za Nchi. 1. Kujiajiri (Biashara, Kilimo, ufugaji na kubet) 2. Kuajiriwa. 3. Kurithi. 4. Mikopo. 5. Kupewa. Ya Mwisho ambayo ni halali lakini siyo rasmi, ni KUOKOTA.
  6. JamiiForums Tanzania Kwako Mzee wangu Magufuli: Vijana kama Ole Sabaya watakuponza usipochukua hatua za haraka

    Mzee wangu, nakusalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo na Amani iwe nawe huko uliko. Mimi ni kijana wako mdogo sana ambaye sistahili hata kushika gidamu ya viatu vyako wewe uliye mkuu wa nchi kubwa kama hii ya Tanzania. Huwa napingana na wewe kwenye mambo mengi sana na nakurushia vijembe...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Vijana Wahitimu wa Vyuo Vikuu, Wajiunga Pamoja Kuikampenia CCM, Watumia Basi Maalum, CCM Campaign Bus, Kufikia Wengi, Wasaidia Sana CCM Kuvuna Kura!

    Wanabodi, Katika pita pita yangu mitaa ya jijini Dar es Salaam hii suku ya nwisho ya kampeni, nimekutana na Basi maalum la kampeni ya CCM, nilipouliza, ndipo nikajulishwa hao ni vijana wahitimu wa vyuo vikuu, wameamua kujiunga pamoja kuunda kikundi cha CCM Campaign Bus ili kuikampenia CCM, kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Vikosi vya SMZ Vyavamia Ofisi ya Ngome ya Vijana wa ACT-Wazalendo. Nassor Ahmed Mazrui atekwa

    Vikosi vya SMZ jana usiku walivamia Barza ya Mwanakombo; hii ni Ofisi ya Ngome ya Vijana wa @ACTwazalendo. Vitu walivyoiba ni Tv na Viatu, pia waliondoka na Mlingoti wa Bendera. Aidha leo hii Naibu Katibu Mkuu wetu upande wa Zanzibar ametekwa na watu wanaosemakana kuwa ni Vijana wa Jeshi...
  9. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanafuata mkumbo na kuchukulia kuwa Mpinzani ni fasheni na kwenda na wakati

    Hapo vipi! Binafsi mwaka 2019 nilikuwa mwanachama wa chama fulani cha upinzani, ila nilikaa nikatafakari na nikachunguza hicho chama mbadala nikagundua ni kitakuja kuwa ni chama cha ovyo kitakachokuwa kama kampuni ya watu fulani wanaotoka katika kabila fulani. Pima nimepima sera zake nikagundua...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Twalib Kadege: Nitaanzisha Wizara ya Mikopo itakayokopesha fedha kwa Wanawake na Vijana

    Akizungumza katika Mahojiano Maalum na JamiiForums, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha UPDP, Twalib Kadege amesema iwapo Watanzania watampa ridhaa ya kuongoza, Serikali yake itahakikisha Watanzania wote wanakuwa na hali nzuri kimaisha. Ataanzisha Wizara ya Mikopo...
  11. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025

    CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020 CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025 UTANGULIZI 1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
  12. JamiiForums Tanzania UV-CCM na Vijana wa CCM mmelala sana katika mitandao ya kijamii, mko wapi?

    Nimekuwa nikifatilia sana juu ya post mbalimbali za vya vyama vya siasa katika mitandao ya kijamii. Kila post ni vyama vya upinzani tu. Habari za Tundu Lissu zimetamalaki kila kona sasa najiuliza vijana wa UV-CCM mko wapi ? Hampo kabisa katika mitandao ya kijamii hususani Faceboo,Tweeter na...
  13. T

    JamiiForums Tanzania RC Kunenge ni darasa kwetu vijana, is down to earth

    Ndugu zangu kiukweli mimi siyo Muislam Ila Walah RC Kunenge amenigusa sana yaani kama kuna RC nimetokea kumpenda basi ni huyu RC mpya wa DSM. Ni kama aliandaliwa, ni kama alikuwa amewekwa mahali kwa kazi maalum. Kwanza hii sio nafasi yake ya kwanza kuwa kiongozi Ila huwezi jua wala huwezi amini...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania, mna deni kubwa kwa Lissu

    Kwa tathmini yangu, kama kuna kundi ambalo future yao imeharibiwa sana na sera, maamuzi na mienendo ya serikali ya Magufuli, basi kundi hilo ni la vijana. Kwanza, tukianzia kwenye sheria kandamizi zinazotingwa kila siku ambazo zinafunga mianya hata ile midogo iliyokuwa imebaki ya vijana kuweza...
  15. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Vijana 2 chini ya miaka 18 mbaroni kwa kumbaka mtoto wa miaka 6 kwa zamu

    Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, linawashikilia vijana wawili, wakazi wa mkoani hapa kwa tuhuma za kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka sita kwa zamu. Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Debora Magiligimba, akitoa taarifa hiyo jana kwa vyombo vya habari, alisema tukio hilo lilitokea...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi kwanini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni

    Hivi kwa nini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni. Yaani huo umati unaouona kwenye kampeni kama wote wangekuwa wanaenda kupiga kura vituo vya kura vingezidiwa. Lakini hakuna ukienda vituoni unashangaa kukuta wengi ni watu wazima na...
  17. JamiiForums Tanzania Kuwakaripia vijana "Tazama wenzako mafanikio walionayo" huchangia stress, kufariki mapema na kuishia jela

    Mara nyingi kauli hizi hutoka kwa wazazi, ndugu, n.k wa muhusika ambaye mara nyingi huwa ni kijana ambaye kachoka kiuchum na mbaya zaidi kahitimu chuo maana wengi wanaomwambia hivi hudhani chuo ji muhuri wa mafanikio. Unakuta mtoto wa jirani kaja na gari kusalimia wazazi wake basi majirani...
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Mgombea wa Urais anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa Tundu Lissu leo ataitetemesha Chato na viunga vyake katika kampeni zake zilizoivuta Dunia. Taarifa kutoka ndani ya Team yake ya Kampeni kabla ya kuhutubia mkutano wa Hadhara atautembelea Uwanja wa ndege wa Chato uliozua gumzo nchini kote...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana ili uhesabiwe mwanaume ni lazima uoe

    Hapa nawaongelea hawa vijana wenye majina ya kiume kama John, Rashid nk. Kumekuwa na kundi kubwa la vijana tena linaongezeka siku hadi siku ambalo halitaki kuoa.Ukiwauliza watakuambia bado wanajipanga,sijui wanatafuta pesa,mara ooh mabinti wa siku hizi sio kabisa na majibu mengine kemkem...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania na tabia za fisi

    Kiumri mimi siwezi kujiita kijana ila nimepitia huko katika nchi yetu hii Tanzania nguvu kazi kubwa ni vijana wasomi na wasio wasomi hawa wote hulka zao nazifananisha na fisi msituni, maisha yake yote fisi msituni utumia nguvu nyingi katika kunyang'anya mawindo ya wanyama wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…