Vijana wa Upinzani ni mbumbumbu ni vilaza wasiojua tofauti ya kutekwa na kukamatwa ndio maana hata vyama rafiki vimewatenga

Kati ya Jambo ambalo CCM mmefeli nikudhani mnachokifanya kinamaliza upinzani kumbe nisawa na kumpiga chura teke.


Mmeshindwa kushika mioyo ya watanzania, mmeamia kutumia Hofu na woga kama silaha yenu.



Amin nakuambia, Siunaona mnajigamba sana kuhusu mareli ,ndege n.k ,,,,

Watu wanataka mambo yanayowagusa moja kwa moja, watu wanataman kuona Uhuru ulokuwepo, watu Wanataman kuona Upinzani uliokuwepo, na kwa maana iyo nikwamba hamna wakat ambao UPINZANI UNAKUBALIKA KULIKO WAKAT SASA.
 
Hawa vijana wengi wao ni mbumbumbu kabisa hawajui kusoma alama za nyakati hawataki kuamini kwamba siasa za kiuanaharakati zimepitwa na wakati, hawataki kuamini kwamba uongo mmoja wao unasababisha vyama vyao vichukiwe
kwani prof Asad, Kabendera, Tito, Theo, nk ni wanachama wa vyama gani??
 
Buku 7 Imeisha na bado upo Bar, unahamu ya pombe mpaka hujielewi na usiku bado mbichi. Pole rudi nyumbani kamalizie kiporo cha mchana ulale.
 
Back
Top Bottom