Vijana tunafanya nini kujikwamua?

Chato tena

Member
Jan 17, 2021
24
50
Habari wana jamvi.

Leo napenda tuzungumzie changamoto zinazotukabili sisi vijana kuna changamoto nyingi sana. Baadhi ya changamoto ni ukosefu wa ajira, Ukosefu wa mitaji, pia kushindwa kuyatumia maarifa ya darasani yaliyopatikana na kuyaweka katika uhalisia wa maisha.

1. Changamoto ya ukosefu wa ajira. Tuna wanafunzi wengi waliomaliza vyuo kuanzia mwaka 2015 wapo mitahani katika fani mbalimbali mfano Udaktari, ualimu, Uuguzi, Uhasibu, uinjinia na nk.

Ajira nyingi zimekuwa za connection bila connection hutoboi. Changamoto nyingi zinazotukumba vijana kimaskini ni kukosa connection. Mfano na jamaa yangu amemaliza ualimu wa sayansi tangu 2015 mpaka sasa hajalamba ajira na alishaka tatamaaa wapo madaktari mainjinia na wapo kitaaa tunashindia nao mihogo ya kuchoma.

Hii inawadharirisha wasomi wetu ikumbukwe awamu ya Kikwete alijitahidi kuajiri wahitimu waliomaliza vyuo vikuu kwa asilimia fulani na pia alijitahid kuhuisha sekta binafsi ili na zenyewe zitoe mchango katika ajira rasmi. Sasa hivi kila kitu kime-collapse vijana tuko kitaaani tunadharirika hatujui tufanyeje tumebaki tunaishi kwa matumaini.

Mambo ya leo yanakuwa magumu zaidi ya jana.sisi kama vijana tufanyeje kujikwamua na hali hii. Ukosefu wa mitaji. Baadhi ya vijana tunawamawazo na ndoto nyingi lakini changamoto nyingi ni ukosefu wa mitaji.

Wakati wa Kikwete kulikuwa na mikopo kwa ajili ya vijana ingawa mikopo hiyo haikuwafikia vijana wote walioipata wote walikuwa UVCCM, angalau kidogo iliwa-boost vijana wengi, mfano kuna kijana mmoja ambae aliwahi kugombea jimbo kaliua kipindi hicho nikiwa najitolea halmashahuri ya kaliua Mr #Iman Matabula aliwahi kuwachangisha vijana pesa zaidi ya 400
10000, na kisha kuvuta pesa ya mkopo wa vijana kisha kutokomea kusikojulikana.

Kwahiyo vijana wengi wana idea ya kufanya kitu lakini hawana mtaji. Mbaya zaidi baadhi ya vijana wachache wajanja wanawatumia vijana waliomaskini katika kutatua shida zao kama huyo kanjanja niliemuongea hao juu.Vijana yatupasa tujadili nini tufanye ili kujikwamua.

Mwisho ni kushindwa kuyatumia maarifa ya darasani katika uhalisia wa maisha ya kawaida unamkuta mtu ni fundi mchundo lakini mpk aajiriwe na serikali, wakati angeweza kufanya vishughuli vyake vya kumuingizia kipato.

Hizo ni baadhi ya changamoto zinazotukumba vijana, maisha yamekuwa magumu yakituachia msongo wa mawazo.
 
Ajira ni utumwa wa kisasa. watoto wetu wajifunze kuwa wajasiriamali. ajira iwe ni option ya mwisho wewe umweka ndio option ya kwanza.
 
Huwezi kuandika bandiko lako bila kuidharau mihogo. Mbona mimi ni mwajiriwa na nalamba 1.4 kila mwezi ila bado nakula mihogo

Kwa akili kama hizi nani akupe ajira nenda chato kalielie huko.
 
Habari wana jamvi.

Leo napenda tuzungumzie changamoto zinazotukabili sisi vijana kuna changamoto nyingi sana. Baadhi ya changamoto ni ukosefu wa ajira, Ukosefu wa mitaji, pia kushindwa kuyatumia maarifa ya darasani yaliyopatikana na kuyaweka katika uhalisia wa maisha.

1. Changamoto ya ukosefu wa ajira. Tuna wanafunzi wengi waliomaliza vyuo kuanzia mwaka 2015 wapo mitahani katika fani mbalimbali mfano Udaktari, ualimu, Uuguzi, Uhasibu, uinjinia na nk.

Ajira nyingi zimekuwa za connection bila connection hutoboi. Changamoto nyingi zinazotukumba vijana kimaskini ni kukosa connection. Mfano na jamaa yangu amemaliza ualimu wa sayansi tangu 2015 mpaka sasa hajalamba ajira na alishaka tatamaaa wapo madaktari mainjinia na wapo kitaaa tunashindia nao mihogo ya kuchoma.

Hii inawadharirisha wasomi wetu ikumbukwe awamu ya Kikwete alijitahidi kuajiri wahitimu waliomaliza vyuo vikuu kwa asilimia fulani na pia alijitahid kuhuisha sekta binafsi ili na zenyewe zitoe mchango katika ajira rasmi. Sasa hivi kila kitu kime-collapse vijana tuko kitaaani tunadharirika hatujui tufanyeje tumebaki tunaishi kwa matumaini.

Mambo ya leo yanakuwa magumu zaidi ya jana.sisi kama vijana tufanyeje kujikwamua na hali hii. Ukosefu wa mitaji. Baadhi ya vijana tunawamawazo na ndoto nyingi lakini changamoto nyingi ni ukosefu wa mitaji.

Wakati wa Kikwete kulikuwa na mikopo kwa ajili ya vijana ingawa mikopo hiyo haikuwafikia vijana wote walioipata wote walikuwa UVCCM, angalau kidogo iliwa-boost vijana wengi, mfano kuna kijana mmoja ambae aliwahi kugombea jimbo kaliua kipindi hicho nikiwa najitolea halmashahuri ya kaliua Mr #Iman Matabula aliwahi kuwachangisha vijana pesa zaidi ya 400
10000, na kisha kuvuta pesa ya mkopo wa vijana kisha kutokomea kusikojulikana.

Kwahiyo vijana wengi wana idea ya kufanya kitu lakini hawana mtaji. Mbaya zaidi baadhi ya vijana wachache wajanja wanawatumia vijana waliomaskini katika kutatua shida zao kama huyo kanjanja niliemuongea hao juu.Vijana yatupasa tujadili nini tufanye ili kujikwamua.

Mwisho ni kushindwa kuyatumia maarifa ya darasani katika uhalisia wa maisha ya kawaida unamkuta mtu ni fundi mchundo lakini mpk aajiriwe na serikali, wakati angeweza kufanya vishughuli vyake vya kumuingizia kipato.

Hizo ni baadhi ya changamoto zinazotukumba vijana, maisha yamekuwa magumu yakituachia msongo wa mawazo.
Jifunze lugha za kigeni hata 2 tu,tafuta passport,apply na tafuta mascholarship ,tafuta pesa za nauli uende hata bolivia .....ni ufala kutafuta maji jangwani wakati ukienda baharini ama ziwani tu unayachota unavotaka....kuna nchi kibao zipo uchumi wa kati visa yao kaa unaenda msumbiji tu,ukipiga kazi hizi hizi za bongo hukosi mshahara wa mbunge kisha eti unakomaa kujitolea kufundisha na kwenye maofisi ya watu ...si wendawazimu huo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom