vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Mabina wa CCM na Mawazo wa Chadema vilikuwa vya kinyama sana, baadhi ya maeneo watu ni makatili sana!

    Nakumbuka aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza mzee Mabina aliuawa kwa kupigwa mawe. Kadhalika aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Geita Alphonce Mawazo aliuawa kama jambazi. Hii dunia kuna binadamu makatili jamani. Eid Mubarak!
  2. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Gaza: Mashambulizi ya makombora yaendelea, Idadi ya vifo vya Wapalestina yafikia 122

    Mashambulizi ya maroketi yameendelea siku ya Ijumaa kati ya Israel na Palestina, huku idadi ya vifo na majeruhi pamoja na uharibifu wa mali vikiongezeka. Israel imeendelea kufanya mashambulio katika ukanda wa Gaza ikipuuzia wito wa Jamii ya Kimataifa wa kusitisha mashambulizi, ikisababisha vifo...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania New Zealand kupiga marufuku uuzwaji wa sigara na bidhaa za tumbaku kwa Mtu aliyezaliwa baada ya mwaka 2004

    New Zealand ipo kwenye mchakato wa kupiga marufuku uuzwaji wa sigara na bidhaa nyingine za tumbaku kwa Mtu yoyote aliyezaliwa baada ya mwaka 2004 Ni juhudi za kuondokana kabisa na matumizi ya sigara ikiwezekana hadi kufikia 2025 Mtu yeyote asivute sigara Nchini humo. ================= New...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mkuranga: Serikali yakifunga Kiwanda cha Nondo kutokana na vifo vya Wafanyakazi wawili

    Mkurugenzi mkuu wa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (Nemc), Dk Samuel Gwamaka amekifunga kiwanda cha nondo cha Fujian Hexingwang kwa sababu hakina mazingira mazuri ya watu kufanya kazi. Hatua hiyo imetokana na vifo vya wafanyakazi wawili wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Mkuranga...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania CoronaVirus Brazil: Vifo vyafikia 400,000. Uungwaji mkono wa Rais Bolsonaro waporomoka

    Idadi ya vifo vinavyotokana na Ugonjwa huo imezidi 400,000. Nchi hiyo ni ya pili duniani kurekodi vifo vingi zaidi huku ikiendelea kupambana na mpango wake wa utoaji Chanjo. Ndani ya saa 24 zilizopita vifo 3,001 vimerekodiwa. Bunge la Nchi hiyo limeanza uchunguzi kuhusu namna Serikali...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Awamu ya Sita wekeni taa Uwanja wa Ndege wa Bukoba, msisubiri vifo na majanga

    Chonde Chonde Serikali ya Awamu ya 6 wekeni taa katika uwanja wa ndege wa Bukoba, msisubili vifo na majanga yatokee ndiyo taa hizo ziwekwe. Tatizo hili limekuwa la muda mrefu na sijui tatizo liko wapi, ambapo uwanja wa ndege wa Bukoba ni kati ya viwanja vichache nchini vyenye habiria wengi na...
  7. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Vifo vingi vya Marais wa Kiafrika vinatia mashaka

    Angalia Laurent Kabila alivyouawa, mlinzi wake Rashid Kasereka, ambaye baadaye alipigwa risasi na Col Eddy Kapendi. Ni kama mchezo wa kuigiza. Maana inasemekana Rashid alikuwa anasubiriwa na mtu nje ya Ikulu huku ngazi ya kuruka ukuta nje ikiwa imeandaliwa. Mpaka leo hii nani alipanga njama za...
  8. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

    Habari JF, Itakumbukwa siku za mwishoni za kuishi za mpendwa wetu, shujaa wa Afrika na mzee wa kuacha alama (legacy) katika kila alilokuwa anafanya hapa nchini watu wengi sana waliibuka kumpinga vikali juu ya uwepo wa second version ya covid 19 hapa nchini na duniani kote Tanzia nyingi...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Same: Watu 11 wafariki kwa ajali ya gari

    Moshi, Same. Watu 10 wamefariki katika ajali ya gari iliyotokea kijiji cha Kirinjiko Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro. Baadhi ya waliofariki katika ajali hiyo iliyotokea leo jioni Jumanne Aprili 13, 2021 baada ya gari aina ya Toyota Alphard kugongana uso kwa uso na gari jingine aina ya Toyota...
  10. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Shajara ya Madikteta

    UTANGULIZI Nawasalimu katika Jina la Bwana Yesu na Asalaam Aleykum ndugu watanzania wenzangu, Katika kusoma kwangu historia ya ulimwengu toka nikiwa kijana mdogo mpaka hii leo, nimetambua kwamba madikteta wote duniani huwa wanafanana: Awe katokea Ulaya, Asia, Amerika Kusini au Afrika wote huwa...
  11. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Hatutegemei kuona sherehe za Pasaka wakati Nchi bado ipo kwenye maombolezo

    Jeshi la Polisi nchini limesema halitegemei kuona sherehe na shamrashamra za Pasaka kama za kipindi cha nyuma katika kipindi hiki ambacho nchi bado ipo kwenye maombolezo ya kuondokewa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. ==== Ndugu wanahabari, kama mnavyojua bado taifa letu lipo katika siku 21...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Rc Kunenge tuambie ukweli juu ya vifo na idadi kamili iliyotokana na mkanyagano uwanja wa uhuru

    Inashangaza watu unakomaa kukanusha habari za wamachinga kulazimishwa kufunga maduka ili washiriki maombolezo ya kitaifa huku unaacha kukanusha kama kweli au si kweli watu 45 wamefariki na wengine mamia kujeruhiwa. Huu sio wakati wa kuacha kuwapa Watanzania ukweli juu ya nini kinaendelea hapa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Habari mbaya: Uwanja wa Uhuru Dar, Watu 45 wapoteza maisha kutoka na msongamano

    Salaam Wakuu, Kuna habari mbaya ya watu wengi kufariki wakati wakiaga mwili wa hayati Magufuli. Inadaiwa baadhi ya watu wamepelekwa Hospitali ya Temeke wengine wakiwa wamepoteza maisha na wengine kuzimia. Nmempigia Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke kumuuliza juu ya vifo hivi, baada ya...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vifo kutokana na COVID-19 vyafikia 900,000 barani Ulaya

    Idadi ya vifo kutokana na COVID-19 barani Ulaya imefikia watu 900,000 leo. Hayo ni kulingana na takwimu za mamlaka za afya zilizojumuishwa na shirika la habari la AFP. Idadi hiyo inalifanya bara la Ulaya kuwa lililoathirika zaidi baada ya kusini mwa Amerika na nchi za Karibea ambazo zimesajili...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Waliozusha vifo vya Mbowe, Mrema, Maria Sarungi na leo mzee Sarungi wanajulikana

    Magazeti ya Fahari Yetu, Tanzanite na Jamvi la Habari kila siku yanaandika habari za uzushi na uongo na mhariri wake Habibu Mchange anajulikana lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa na serikali kukomesha tabia hii. Juzi Waziri Mkuu alishangazwa na watu kukosa uzalendo na utu kwa...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tunawafuatilia wanaopotosha na kuzushia viongozi vifo

    Waziri wa Katiba na Sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa. Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?
  17. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Idadi ya vifo kutokana na virusi vya Corona ndani ya siku moja yafikia viwango vipya nchini Brazil

    Brazil imerekodi idadi kubwa zaidi ya vifo ndani ya siku moja vinavyotokana na virusi vya corona tangu kuanza kwa mlipuko. Jumla ya watu 2,286 walifariki dunia ndani ya saa 24 pekee siku ya Jumatano na kufanya idadi ya vifo kufikia 268,370, kwa mujibu wa takwimu za Chuo Kikuu cha John Hopkins...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Idadi ya vifo kutokana na mlipuko yaongezeka Equatorial Guinea

    Vifo vimeongezeka baada ya kutokea mfululizo wa milipuko katika kambi za jeshi Equatorial Guinea na kufikia zaidi ya watu 98. Kwa mujibu wa taarifa ya wizara ya afya kwa sasa watu walio jitolea wanaendelea kutafuta maiti katika vifusi shirika la habari la Reuters linaripoti. Takriban watu 615...
  19. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Brazil yashuhudia idadi kubwa zaidi ya vifo vya corona kwa siku ya pili mfululizo

    Brazil imeendelea kuweka rekodi ya vifo vingi kwa siku ya pili mfululizo baada ya kurekodi vifo 1,910 siku ya Jumatano pekee, huku watu 71,704 wakipata maambukizi mapya. Hii ni baada ya vifo vya watu 1,641 siku ya Jumanne pekee, kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya ya taifa hilo, ikiwa ni...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Vifo vinazuilika tusijitabirie kwenye nadharia za kijinga

    Mabibi na mabwana ujinga si tusi bali ni hali halisi ya kuwa na uelewa mdogo au kutokuwa na uelewa kabisa kuhusu jambo fulani. Hayupo binadamu mmoja asiyekuwa na ujinga katika mambo yote. Kwamba kila mtu atakufa? Hilo ni dhahiri. Lakini halina maana kuwa tujifie tu hata kama ni kwa...
Back
Top Bottom