vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Visa vya #coronavirus vyafika 465, na vifo 24

    Kenya imetangaza visa vuipya 30 vya #COVID19 na kufanya kuwa na jumla ya watu 365 waliothibitika kuwa na #CoronaVirus. Visa hivii vimepatikana kati ya sampuli 883 zilizopimwa saa 24 zilizopita Wizara imetangaza vifo vya watu wawili zaidi na kufanya vifo kufikia 24. Watu 15 wakiripotiwa kupona...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Idadi ya waliokutwa na Covid19 yafikia 435, vifo vyafika 22

    Wizara ya Afya nchini Kenya imeripoti visa vipya 24, leo Mei 2, na kufanya idadi kuwa 435. Watu hao wamepatikana katika sampuli 1,195 zilizopimwa saa 24 zilizopita Mmoja kati ya hao walioripotiwa ametokea Kuria Magharibi na ana historia ya kutembelea Tanzania. Pia Wizara imeripoti kifo cha mtu...
  3. UTAFITI WA MADINI NA MAJI

    JamiiForums Tanzania Tunachimba visima vya maji na tunauza Mashamba ya Miti ya mbaio

    Jipatie KISIMA cha Maji kwa LAKI TANO ( nchini kote) Kutoka Asasi ya PDPR Njombe, Gharama za mradi:kuchimba laki 5, kama kitakuwa ndani ya mita 25 kila mita itakayo zidi utalipia 20,000ukihitaji kufungiwa water pump ipo ya solar milioni 1.6 ya umeme laki 5 zote zikiwa complete pamoja na...
Back
Top Bottom