Arusha. Jiji la Arusha, limekumbwa na simanzi kufuatia vifo vya madaktari bingwa wawili ambao ni maarufu katika jijini hapa, mmoja akiwa ni mmiliki wa hospitali ya St Thomas jijini Arusha.
Madaktari hao ni Dk Lamweli Henry Makando, mmoja wa wamiliki wa hospitali ya St Thomas ambaye alikuwa...
Shetani kazi yake ni kuharibu, kuua na kuiba, ndivyo Biblia inavyosema. Kwa hiyo kila mahali utakapo shuhudia uharibifu, vifo na wizi, ni lazima mkono wa Shetani upo. Si ajabu kwa hiyo kwamba Shetani hufurahia matukio hayo na hufanya kila mbinu chafu ili watu waibiwe, wafe na kuwe na uharibifu...
UTANGULIZI
1. HUU UZI UNABEBA KITU TOFAUTI NA UNAHITAJI HATUA ZA HARAKA.
2. HUU UZI NI WA SULUHISHO NA SI MAHALA PLA LAWAMA, MALUMBANO AMA KUTAFUTA UMAARUFU.
3. ANAYEWEZA KUWA NA MAWASILIANO NA WAZIRI MKUU, AMPE LINK AMA TAARIFA ILI UAMUZI WA HARAKA UCHUKULIWE.
HOJA
1. Siyo siri kwamba kuna...
Mbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu.
Isaay amezungumza kwa hisia kali bungeni leo Alhamisi Februari 11,2021 akisema hawezi kuzungumzia mpango badala yake anaona bora...
Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima ameagiza kusimamishwa kazi Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Chunya, Dkt. Felista Kisandu kupisha uchunguzi kwa madai ya kutoa taarifa zisizo sahihi za ugonjwa usiofahamika.
Amesema hata kama ugonjwa huo ungekuwepo waziri ndiye anatakiwa kutoa taarifa.
Zaidi, soma...
By Anne Soy
BBC Senior Africa correspondent
Nadhani sababu namba tatu na Nne zimetusaidia zaidi: Kun literature ya kutosha kuhusu hizo point mbili na siyo sala za Mungu na kujifukiza
So what are some of the reasons for Africa's relatively low death rate
Coronavirus in Africa: Five reasons why...
Wasaalaam,
Anubis ni mungu wa Misri Huyu alikuwa mungu wa utunzaji wa maiti na maisha ya baadaye na pia mungu wa walinzi wa roho zilizopotea na wanyonge.
Yeye ni mmoja wa miungu ya zamani zaidi ya Misri, ambaye inaelezwa ana uwezekano mkubwa alikua kutoka kwa mungu wa mbwa mwitu wa zamani...
Wizara ya Afya ya Zimbabwe imetangaza kuongeza Lockdown ambapo baa, migahawa, sehemu za mazoezi na biashara zisizo na umuhimu zitafungwa
Baadhi ya watu ameonekana kutofuata masharti ya Afya hivyo polisi watakuwa wanafanya doria jioni kuhakikisha ‘curfew’ inazingatiwa
Zimbabwe imeripoti...
Jana tarehe 09/01/2021 kulikuwa na vifo zaidi ya elfu tatu vinavyotokana na Corona huko Marekani.
Hii inatia shaka! Inavyoonekana ni Kama akifa mtu mwenye virusi vya Corona wanasema amekufa kwa Corona hata Kama alikuwa anaumwa pia ugonjwa mwingine.
Si kila mtu mwenye virusi vya Corona ni...
Vifo ajali barabarani vyapungua 25%
Vifo vinavyotokana na ajali za barabarani mkoani Morogoro vimepungua kutoka 90 mwaka 2019 hadi 57 mwaka jana, sawa na asilimia 25.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Musilimu, alisema jana kuwa vifo hivyo vimepungua kutokana na elimu inayoendelea...
Kwanza kbs natanguliza salam kwa kila mwanachama mwenzang hapa JF, na pia nawatakia heri ya xmass na mwaka mpya ujao.
Niende sasa kwenye mada kuhusu mambo ambayo nimeyaona na kuyasikia kwa watu mbalimbali, lkn kwa kuokoa muda leo nitazungumzia matukio mawili ambayo nimeyashuhudia kwa macho...
Mtu anatoa kauli hii bila kutoa takwimu za vifo au ajali za miezi mingine huku akilinganisha na Desemba.
Kwakuwa watu wengi wako likizo basi habari husambaa haraka na kwa wingi. Tukio moja likitokea hupambwa kwenye media zote.
Pia ili upige hesabu sawia ya takwimu ya ajali barabarani usisahau...
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amewataka Wananchi kujitokeza kwa wingi na kupiga kura kesho akiwashauri warudi nyumbani na kuendelea na shughuli zao.
Ameeleza kuwa, baadhi ya viongozi wamekuwa wakihamasisha wapiga kura walinde kura, kitendo ambacho amesema ni dalili ya kufanya fujo...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amewalaumu Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa vifo vya mawakala watano wa chadema katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo – Sumbawanga
Mnyika amesema mawakala hao wamefariki walipokuwa wanawahi ofisi za Mkurugenzi kuapishwa kutokana na utaratibu...
Wazungu wanasema legacy ni pesa au mafao unayo yaacha kwenye jamii yako baada ya kifo chako. Dunia ya leo ina kumbuka legacy ya Mwalimu Nyerere si kwakua alijilikimbizia mali bali alijali watu wake mpaka mwisho wa madaraka yake.
Kwa exposure ya Nyerere, aliweza kuangalia Cuba Fidel Castro...
Mvua yaacha vilio Dar
WATU 13 wamefariki dunia, wakiwamo wanane ambao vifo vyao vimetokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, watu watano ambao ni wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kuungua moto...
NJOMBE- MAKAMBAKO
Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka 10 ijayo.
Ongezeko la bajeti litawezesha katika kuandaa miundombinu ya kisasa, wataalam, vifaa tiba na vipimo vya kutosha kwa maradhi yote.
Aidha ongezeko la bajeti...
Vifo vinavyotokana na maabukizi ya virusi vya corona vimezidi watu milioni moja, kwa mujibu wa takwimu za Chuo Kikuu cha John Hopkins, huku Shirika la Afya Duniani likionya kuwa idadi hiyo inaweza kuwa ndogo zaidi ikilinganishwa na uhalisia kutokana na changamoto katika upatikanaji wa takwimu...
WANAWAKE NCHI HII HAWAPATI HUDUMA BORA WAKATI WA KUJIFUNGUA NICHAGUENI KUWA RAIS WA NCHI HII NITATOA HUDUMA BORA YA AFYA NA KUDHIBITI VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO."PROF.LIPUMBA
BUKOBA MJINI
Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya
Bajeti ndani ya miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.