vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vifo vya COVID19 vyafikia 3,895

    Maambukizi ya COVID-19 yamezidi kuongezeka nchini Kenya baada ya kutangaza maambukizi mapya 1,006 yaliyorekodiwa saa 24 zilizopita na kufanya jumla ya maambukizi kuwa 199,941 Aidha wameripoti vifo 13 na kufanya idadi ya vifo kufikia 3,895. Aidha idadi ya waliopona imefikia 187,824. Huku 1,386...
  2. Jackbauer

    JamiiForums Tanzania Upo umuhimu wa kufanya toxicological analysis ya vifo vya covid 19

    Tukitazama mwenendo wa mlipuko wa covid 19 duniani na Tanzania kuna umuhimu wa kufanya toxicological na electronical analysis kwa wote wanaopatwa na ugonjwa au mauti yatokanayo na covid 19.
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WHO: Vifo vya Covid19 vimeongezeka kwa 43% kutokana na uhaba wa vifaa tiba Afrika

    Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani(WHO) kanda ya Afrika, Matshidiso Moeti amesema wagonjwa wa #COVID19 wamekuwa wengi, nchi 10 zina uhaba mkubwa wa vitanda na oksijeni Kutokana na uhaba wa vifaa tiba ndani ya wiki moja vifo vimeongezeka kwa 43%. Huku 83% ya vifo vikirekodiwa zambia, Uganda...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vifo vinavyotokana na Corona vyazidi kuongezeka

    Watu 15 wameripotiwa kufariki kwa #COVID19 siku ya Jumapili na kufanya idadi ya waliokufa kwa virusi vya corona kufikia 3775 Hadi sasa kenya imepima watu 2,053,912 ambapo watu 192,758 walikutwa na maambukizi ambapo watu 182,326 wameripotiwa kupona Watu 1,203 bado wako hospitalini ambapo watu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Utambue 95-95-95: mpango utakaosaidia kupunguza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) na kupunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI

    Awali ya yote nimshukuru Mungu aliyetupatia uzima na afya mpaka tulipofika sasa. Pia, niwapongeze wanajamii kwa kuendelea kufuatilia machapisho mbalimbali katika ukurasa wetu huu pendwa. KARIBU UFAHAMUJUU YA MPANGO UJULIKANAO KAMA 95-95-95: Naomba twende pamoja mwanajamii mpaka mwisho...
  6. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Utambue 95-95-95: Mpango utakaosaidia kupunguza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) na kupunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI

    Awali ya yote nimshukuru Mungu aliyetupatia uzima na afya mpaka tulipofika sasa. Pia, niwapongeze wanajamii kwa kuendelea kufuatilia machapisho mbalimbali katika ukurasa wetu huu pendwa. KARIBU UFAHAMUJUU YA MPANGO UJULIKANAO KAMA 95-95-95: Naomba twende pamoja mwanajamii mpaka mwisho...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya nane

    Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya nane baada ya ripoti za vifo na wagonjwa wa corona kuongezeka. Watu wametakiwa kutotoka nje ya nyumba zao kuanzia Jumamosi tarehe 17 mpaka tarehe 26 Julai, ili kuzuia maambukizi ya virusi...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) Elishilia Kaaya amefariki dunia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Elishilia Kaaya amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya AICC jijini Arusha.
  9. beth

    JamiiForums Tanzania COVID-19: Urusi yarekodi idadi kubwa zaidi ya vifo tangu kuanza kwa mlipuko

    Taifa hilo limerekodi vifo 697 vya COVID-19, idadi ambayo imetajwa kuwa kubwa zaidi kuripotiwa ndani ya siku moja tangu kuanza kwa mlipuko. Aidha, Mamlaka pia zimerekodi maambukizi mapya 24,439 huku 7,446 kati ya visa hivyo vikitokea Mji Mkuu wa Moscow. Ongezeko la maambukizi limetajwa...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Joto lavunja rekodi Canada, vifo kadhaa vilivyotokea ghafla vyaripotiwa

    Wakati hali ya joto ambayo imetajwa kuvunja rekodi ikiendelea Nchini Canada, Polisi huko British Columbia imepokea ripoti za takriban vifo 70 vilivyotokea ghafla tangu Jumatatu. Imeelezwa, wengi kati ya waliofariki dunia ni Wazee na joto lililopo katika eneo hilo limetajwa kuchangia kwenye vifo...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Nchini Zambia zahofia ongezeko la vifo vya COVID-19

    Mamlaka za Afya Nchini Zambia zimeeleza wasiwasi wake juu ya ongezeko la vifo vitokanavyo na Virusi vya Corona wakati huu ambapo Taifa hilo linapambana na wimbi la Tatu la Maambukizi Waziri wa Afya, Dkt. Kennedy Malama amesema vifo 407 vimeripotiwa ndani ya wiki tatu za wimbi hilo. Jumla ya...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Brazil: Vifo vitokanavyo na COVID-19 vyafikia 500,000

    Idadi ya waliopoteza maisha kutokana na mlipuko wa Corona Nchini Brazil imefikia 500,000 huku Wataalamu wakionya janga hilo linaweza kuwa baya zaidi kutokana na kasi ndogo ya utoaji Chanjo Maelfu ya watu wameandamana Jumamosi dhidi ya Serikali wakitaka mabadiliko katika programu ya Chanjo. Miji...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nadharia iliyoshiba kuhusu vifo na wendazao

    Mabibi na mabwana zimekuwapo nadharia nyingi na zingine nyepesi nyepesi kuhusiana na vifo na wendazao. Mtumishi huyu wa Mungu katika udadavuzi wake kwa hakika ana hoja za msingi: Kwamba pana vifo vya aina 4: 1. Uzee (wa miaka ma Mia wako hapa) 2. Vya kusababishwa na kusababishiwa (wa kwenye...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Magonjwa yasiyoambukiza huchangia theluthi mbili ya vifo

    IMEBAINISHWA kuwa magonjwa yasiyoambukiza kama kisukari, saratani, moyo na mfumo wa njia ya hewa husababisha theluthi mbili ya vifo duniani. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Idara ya Afya ya Jamii na Lishe wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Dk.Ray Masumo wakati akifungua semina...
  15. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Chimala: Basi la Isamilo lapata ajali, linadaiwa kusababisha vifo 3

    Nimesikia taarifa ya ajali ya Basi la Kampuni ya Isamilo kutoka kwa kanda ya Ziwa kwenda Mkoani Mbeya majira ya kati ya saa Tisa na saa kumi alfajiri baada ya kupita kidogo Chimala. Iasemekana kuna vifo vya watu 3 akiwemo katoto kadogo, hatuji chanzo cha ajali lakini najiuliza hawa madereva...
  16. Geza Ulole

    JamiiForums Tanzania Wakati Namibia wakipewa fidia ya € 1 bln, Tanzania inafanya nini kudai fidia ya vifo vya halaiki vya vita ya Maji Maji?

    Maji Maji in light of Namibia genocide SATURDAY MAY 29 2021 National Archives of Namibia, Windhoek. Historian Jürgen Zimmerer is one of the most respected experts in German colonial history. Photo by Kettengefangene Dar es Salaam. The memories about Maji Maji rebellion emerged among some...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Familia za VIP's Tanzania tafadhali muwe mnawahi ' Kukanusha ' taarifa za Kuzushiwa 'Vifo' Ndugu zenu kuliko Kuzinyamazia tu

    Kuendelea tu Kunyamaza Kwenu kama sehemu ya ( za ) Familia ni kutoa mwanya kwa Wazushi na Wambea ' Kutudanganya ' Watanzania na kuanza kuishi kwa Taharuki ( Wasiwasi ) kitu ambacho nakiona kama vile hakina Ustawi Kwetu. Ila GENTAMYCINE huwa nikisia Taarifa za chini chini ( za Uzushi ) kuwa...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya wanadamu wanahusika na vifo vyetu

    Kuna Mambo mawili unayotakiwa kuyajua rushwa, ma drugs na mabiashara yote haramu yanaendeshwa na watu kuuza mpaka viungo na mauaji yote anayofanya ni mwanadamu. Lengo kubwa ni watu Wapate karatasi inayoitwa hela hivyo unajikuta umetumbukia pabaya. Tunalishwa sumu, makapi, vitu vilivyo expire...
  19. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Inaripotiwa kuwa vifo zaidi ya 7,000 hutokana na miandiko mibaya ya Madaktari

    Kulingana na tafiti ya the Institute of Medicine (IOM)- 2006, majeruhi 1.5 million kila mwaka hutokana na wafamasia, waudumu wa afya kushindwa kusoma maandiko ya madaktari. Vifo zaidi ya 7000 hutokana na mgonjwa kupatiwa dawa isiyo sahihi tofauti na maelezo ya madaktari. Muda mwingine hata...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN: Vifo 745,000 vimetokona na kufanya kazi sana

    Utafiti wa Shirika la Afya duniani WHO, na la kazi duniani ILO unaonesha kufanya kazi kwa muda mwingi katika kipindi cha mwaka 2016, kumechangia vifo 745,000. Katika utafiti weao huo, mashirika WHO na ILO kwa pamoja yanakadiria watu 398,000 wamekufa kutokana na ugonjwa wa kiharusi na 347,000...
Back
Top Bottom