Kuna kipindi nyumbani tulikuwa tunajenga nyumba ya familia, Ikaanza kila tukinunua sementi unakuta mifuko inapungua, kumbe kibarua akichanganya mchanga na sementi, anapakia mchanganyiko kwenye mifuko anaifukia chini kisha usiku anaibeba anaenda kuwauzia watu.
Sasa siku moja wakati akiwa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Bahati Geofrey (36) Mkazi wa Kiwira na Emmanuel Mtofu (33) Mkazi wa Karasha ambao wanatuhumiwa kuvunja Ofisi ya Kijiji na kuiba vifaa vya Mradi wa Umeme – REA.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amesema awali mnamo...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Na. 12 ya 2003, na kupewa jukumu Ia kusimamia Sekta ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta nchini Tanzania.
TCRA imebaini kuwa yapo baadhi ya Makampuni au wafanyabiashara...
MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AGAWA PIKIPIKI 6 NA KUKABIDHI VIFAA TIBA JIMBONI CHALINZE
Alhamisi tarehe 16 Februari 2023 Mbunge wa Jimbo la Chalinze amasema;
"Nimegawa Pikipiki kwa watendaji wa Kata 6 za Halmashauri yetu ya Chalinze, kutembelea kiwanda cha Uzalishaji wa Marumaru cha Keda, na...
Hello wanajukwaa.
Nina Toyota Alpha huwa natoka nayo mara kadhaa niki
Huwa ni my choice hasa pale napoenda sehemu na watoto ila huwa wanapenda kuruka ruka hasa pale nikiwa nimepaki kwenye foleni, kwenda kuwanunulia juice dukani, n.k.
Hali ya kuruka ruka kwao inaleta mgandamizo na kuifanya...
Mbunge wa Viti Maalum (UWT) CCM Mkoa wa Pwani Hawa Mchafu amekabidhi vifaa vya michezo (Mipira na Jezi) kwa vijana wa Raja Sports Academy iliyopo Kata ya Mtongani Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani.
Hawa Mchafu(Mb) katika ziara yake ameungana na timu ya Madiwani wa Viti Maalum wakicheza...
Kuna tuhuma nzito zimetangazwa na mkuu wa mkoa wa Mwanza
RC Adam Malima ameonekana akimtuhumu Mkurugenzi wa jiji kuhusika na utapeli wa kuuza viwanja viwili vyenye thamani ya Bilioni moja!
Hii ni taharuki na tuhuma nzito sana!
Ukitafakali kwa kina jambo hili linaibua maswali mengi sana yasiyo...
Bwana James Getogo wa Ishihimulwa Tabora amesimaishwa kazi pamoja na dada Rose Shirima kupisha uchunguzi. Wawili hao walionekana kwenye video wakijibishana juu ya kutumia vifaa tiba vya malaria vilivyopita muda.
=====
Watumishi wawili wa Afya wa Zahanati ya Ishihimulwa Rose Shirima na James...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete Jana Ijumaa Januari 06, 2023 amefanya ziara Jimboni kwake ambapo amekagua ujenzi wa madarasa 13 kata ya Msata ambapo Serikali ya Rais Samia imetoa milioni 280 kujenga...
Sakata la wauguzi huko mkoani tabora waliokuwa wakibishana juu ya matumizi ya vifaa vilivyoisha muda wake limeibua maoni mengi sana ya watu!
Wengi wao wameishia kulitazama kwa juu juu na kumuona yule afisa binti mwenye Rafudhi ya KIJITA mix na KIKURYA kwamba ndiye mkosaji na yule mwingine yuko...
Habarini wana-JF wenzangu.
Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo, ninawakumbusha wazazi/walezi wenzangu kwamba, tutenge muda mapema hii kuwanunulia watoto wetu vifaa vya shule, kuepuka gharama na usumbufu usio wa lazima.
===============
Zikiwa zimesalia wiki mbili muhula mpya wa...
Punguza gharama za ujenzi kwa kununua vifaa vya bomba kwa bei ya jumla jumla.
IPS, PPR, GS, PVC
Gutter
Karibu
Gerezani, kariakoo
Whatsapp +255 669 494650
Ukiitaji bei njoo whatsap au fika dukani na requirements zako.
Habarini ndugu zangu.
Kuna saloon inauzwa ipo Kimara B Kwa Komba (karibu na Stopover), kama huitaji kununua saloon yote then unaweza kununua kitu utakachohtaji. Kinyozi wangu aliekua hasumbui kweny hesabu amehamia mkoani ili kuwa karbu aweze kumuuguza mama yake, namm pia nahamia mkoani kikazi...
Patashika la mbwai iwe mbwai tu... Ukrane imeanza kuzibomoa drone zote ilizoziangusha vitani ambazo zinatumiwa na Russia kuharibu miundo mbinu ya kiraia ambazo zinasemekana zimetengenezwa nchini Iran... baada ya Mvutano mkubwa na Nchi ya Kiislam ya Iran kugoma na kuzikana Drone zake kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.