vifaa

  1. amadala

    Polisi na tabia ya gari ikikamatwa kubadili vifaa na kuweka vya zamani

    Hello Wadau! Kama heading inavyojieleza. Usithubutu ukaruhusu gari ikaenda kituo cha polisi ikalala huko, wanachofanya ni kubadili vifaa na kuweka vya zamani wanaenda mbali zaidi kung'oa vioo na hata kubadili siti. Mwisho wa siku gari ni kushinda gereji ukibadili vifaa leo hiki kesho hiki. Na...
  2. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Ushauri kwa Rais Samia: Ondoa posho za wabunge na mawaziri, shusha mishahara yao peleka kwenye vifaa tiba kwa ajili ya wananchi!

    Waziri wa afya ameshatoa yake kuhusu shirika la Bima NHIF kushindwa kujiendesha na kuelemewa na mzigo. Muathirika mkubwa ni mwananchi wa kawaida kwasababu wafanyakazi na wanasiasa hawatokosa fedha za matibabu! Ili kusaidia, fedha za posho za wanasiasa fyeka zote peleka kwenye madawa na vifaa...
  3. polokwane

    Miaka 10 maandalizi ya sensa lakini hadi sasa vifaa vya sensa hakuna. Hii ni aibu kwa taifa, aibu kwa Serikali

    Hii nchi ina mambo ya aibu sana mawaziri wote wapo kimya utadhani wamemsusia mama Samia nchi mambo ya hovyo hovyo ambayo hata mwananchi wa chini kabisa anaona. Makarani wameanza kazi jana hawana kifaa hata kimoja, zaid ya tablet ambazo na zenyewe naambiwa ni tia maji tia maji. Tablet zinazo...
  4. Lady Whistledown

    Kampuni ya Apple yashauri wateja wake kuupdate vifaa vyao

    Apple inawaelekeza watumiaji wa vifaa vyake kusasisha programu zao baada ya kampuni hiyo kugundua udhaifu katika mifumo yake ya uendeshaji ambayo inayoweza kuhatarisha usalama wa kifaa husika Apple imesema kuwa hatari hiyo inaathiri iPhones zilizoanzia kwenye modeli ya 6S, iPad kizazi cha 5 na...
  5. S

    PreGE2025 Uchaguzi Mkuu wa 2025, nasi watanzania tutumie vifaa vya teknolojia (TIEMS). Vinginevyo...

    2025 nitagombea ubunge kwenye Jimbo fulani. Lkn ninasubiri kuona Kama nchi yetu itatekeleza mambo 3. 1. Katiba itabadilishwa. 2. Tume huru ya uchaguzi itaundwa. 3. Vitanunuliwa vifaa vya kielektroniki vya kunakiri na kuposti matokeo toka vituo vya kupigia kura kwenda tovuti ya Tume:- Tanzania...
  6. M

    Chimbo la kupata vifaa vya simu- Kariakoo

    Wadau, Natafuta machimbo ya kupata vifaa vya simu kwa bei ya jumla kwa kariakoo, vifaa navyotaka: Covers Earphones Chargers Protectors Batteries LCDs Msaada wenu wadau
  7. L

    Trekta ya umeme yaoneshwa katika Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa mjini Luoyang, China

    Wafanyakazi wa Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa waliendesha kutoka mbali trekta ya umeme aina ya ET1004-W mjini Luoyang, mkoani Henan, katikati ya China. Katika miaka hii ya hivi karibuni, Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa kimetengeneza chip ya kwanza ya...
  8. M

    Ndiyo maana Zelensky amelalamika sana!! Kumbe Makamanda wake walikuwa kwenye kikao na wauzaji wa vifaa vya kijeshi, makombora ya Urusi yakawaangamiza!

    Russia comments on deadly strike on Ukrainian city Moscow said it targeted a meeting of Kiev's military commanders with foreign arms suppliers in central Vinnitsa. Russia attacked the House of Military Officers in Vinnitsa with sea-launched Kalibr cruise missiles, the Defense Ministry said on...
  9. figganigga

    Ridhiwani Kikwete apongeza Serikali kwa kuwanajengea Gati za Kupokelea Boti na majahazi na kuwawezesha Wavuvi wa Pwani ya Bahari

    Naibu Waziri wa Ardhi ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze amepongeza juhudi zinazofanywa na Serikali kuhakikishia wananchi wanaoishi katika Wilaya za Pembezoni mwa Bahari ya Hindi za kuhakikisha kuwa wanajengewa Gati za Kupokelea Boti na majahazi na kuwawezesha Wavuvi kwa kuwapatia Vifaa vya...
  10. JanguKamaJangu

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba kudhibiti matumizi ya dawa za Viagra na P2

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema inafanyia utafiti dawa za nguvu za kiume aina ya Viagra pamoja na kuwekea mkakati dawa zinazotumika kuzuia mimba aina ya P2 kwa lengo la kudhibiti uholela wa utumiaji wake. Mkurugenzi wa TMDA, Adam Fimbo wakati amesema utumiaji holela wa dawa za...
  11. Wilhelm Johnny

    Biashara vifaa vya ufundi simu Nairobi

    Wakuu habari za masiku nilikua naomba msaada mimi ni fundi simu nilikua nimeandaa bajeti ya. Milioni 1 nataka kuboost ofisi vifaa navyotaka kuongeza NI UFI Box,Digital Power Supply na Short killer. Hiyo bajet kwa dsm naona kama haitoshi UFI Box tu kwa dsm ni 750000. Nilikua naomba kujuzwa na...
  12. NYAMOZEHOKO

    Natafuta vifaa vya scania

    Habarini za usiku wakuu. Ninahitaji vifaa vifuatavyo vy scania kwa anayejua mahali ninapoweza kuvipata na bei zake chondechonde naomba asisite kunipa mwongozo. Item No. Description of items PRICE 2. Fuel filter 1R-0749 4 Air Cleaner 371-1799 5 Main element 151-7737 7...
  13. Ms Billionaire

    SOLD: Vifaa vya saluni vinauzwa vyote

    done
  14. Mayova

    Vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar kwa bei nafuu

    Wapendwa katika bwana … naombeni mwenye kujua sehemu ambapo wanauza vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar es Salaam kwa bei nafuu
  15. kelphin

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza. Karibu Nieleze kidogo kuhusu subwoofer Je, unataka kununua, basi zingatia haya. Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au...
  16. JET SALLI

    Nataka kuanza kutengeneza marembo kwenye madirisha na nguzo, napataje vifaa mafundi wenzangu kama mpo humu?

    Ndugu zangu tunajaribu kupambana na maisha ili siku ziende, ukishika hapa unajaribu na pengine, naomba wenye kujua namna ya kupata vifaa vya kucholea marembo kwenye nguzo na madirisha anisaidie tafadhali.
  17. Ilitara kimura

    Gharama vifaa vya umeme kwa Dar es Salaam

    Habari zenu wana jamii naomba mnisaidie bei za hivi vifaa vya umeme kwa Daresalaam. Na kama naweza kuelekezwa duka specific linalouza jumla.
  18. L

    Wasanii wa Uingereza waleta uhai kwa vifaa barabarani

    Wasanii wamebadilisha vifaa barabarani kuwa kazi za sanaa huko Basingstoke, Hants nchini Uingereza chini ya mradi mmoja wa kisanii uitwao “Streets Alive” unaoungwa mkono na bunge. Wasanii hao wamechora picha ya ndege, katuni na mandhari kwa rangi inayong’ara kwenye madawati, vyungu vya miche na...
  19. Mchokozi wa mambo

    Vifaa vya stationery vinazidi kupaa juu. Tunaisaidiaje elimu yetu?

    Katika kuendesha shule au kuandaa mitahani ama fomu mbalimbali karatasi ni nyenzo muhimu sana. Sasa zinavyopanda kwa kasi hii kwa kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine tutafika kweli. Katoni ya Ream ya karatasi yenye pc 5, ilikuwa inauzwa 40 000/= Kwa sasa ni Tsh 100,000/=. Mimi bado...
  20. Pdidy

    Kuna vikundi vilitangaza kugawa vifaranga bure, lakini wameanza kuwatoza hela waliojitokeza

    Ndugu wapendwa Kumezuka upatu nyingine kwa style tofauti Hivi sasa kuna makampuni yanajitangaza kutoa vifaranga/vyakula vyake bure kwa wananchi Wameanza kukusanya watu kila kona ya Tanzania wakihadaa kuwapa vifaranga na vyakula bure Baada ya kufikia malengo ya idadi..Vile vikundi havijapewa...
Back
Top Bottom