Mbunge Ridhiwani Kikwete agawa pikipiki 6 na kukabidhi vifaa tiba jimboni Chalinze

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,898
942
MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AGAWA PIKIPIKI 6 NA KUKABIDHI VIFAA TIBA JIMBONI CHALINZE

Alhamisi tarehe 16 Februari 2023 Mbunge wa Jimbo la Chalinze amasema;

"Nimegawa Pikipiki kwa watendaji wa Kata 6 za Halmashauri yetu ya Chalinze, kutembelea kiwanda cha Uzalishaji wa Marumaru cha Keda, na kupokea Vifaa Tiba kwa ajili ya Vituo vya Afya kwa ajili ya Vituo vya Afya Viwili Kata za Kibindu na Msata na Zahanati Vijiji 11.

Wakati tunakwbidhi Pikipiki, tumewakumbusha Watendaji kutumia Vifaa hivi kwa kuzingatia makusudio ya kutolewa kwake. Wakawasikilize wananchi na kutoa ufumbuzi wa changamoto zao.

Tukikabidhi vifaa tiba tumewahimiza kuvitunza na kuvitumia kwa makusudio yake. Kazi kubwa inaelekezwa kituo cha Afya Miono ambapo kazi ya ujenzi wa miundombinu inapaswa kuwa kipaumbele.

Kwa upande wa kiwanda tumewashukuru wawekezaji kwa kutambua mchango wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan
WhatsApp Image 2023-02-16 at 23.40.55(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-02-16 at 23.40.56.jpeg
WhatsApp Image 2023-02-16 at 23.40.53.jpeg
WhatsApp Image 2023-02-16 at 23.40.55.jpeg
WhatsApp Image 2023-02-16 at 23.40.54(1).jpeg
 
Haimsaidii, as long as kutakuwa na tume huru, hawezi kushindana na chadema! Wacha agawa tu maana ni hela zetu alizoiba baba yake!
 
Back
Top Bottom