Vifaa made in Israel vyakutwa kwenye Drone za Iran

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,395
9,769
Patashika la mbwai iwe mbwai tu... Ukrane imeanza kuzibomoa drone zote ilizoziangusha vitani ambazo zinatumiwa na Russia kuharibu miundo mbinu ya kiraia ambazo zinasemekana zimetengenezwa nchini Iran... baada ya Mvutano mkubwa na Nchi ya Kiislam ya Iran kugoma na kuzikana Drone zake kuwa hawazijui, uchunguzi ulianza mara moja na matokeo yake Vifaa 200 vimekutwa ndani yake ambavyo vyote vinatoka katika nchi mbali mbali na alimia 75 ni made in USA Marekani. Iran ilikuja kukubali iliwapa Russia ila kabla ya Vita jambo ambalo katika uislam uongo ni kosa haswa uongo endelevu kwani Drone zimeenda wakati vita inaendelea... Wajalana wamekuwa katika uongo huo mkuu.

Lens za darubini zenye uwezo mkubwa sana wa kuona vizuri sana zenye kutumia pia infared zilizo kwenye drone iitwayo Mohajer-6 imeonesha ni ilitengenezwa na kampuni ya Israel iitwayo Ophir Optronics Solutions Ltd.,

Kulingana na picha ya kifaa hicho kilichokaguliwa na kampuni ya WSJ. MKS Instruments Inc., ambayo ni kampuni ndugu na Ophir’s, msemaji wao alisema hawajawahi kuwauzia vifaa vyetu mahayawani hao wa Irani sababu wamewekewa vikwazo na dunia... aliliambia waandishi wa gazeti.

Waziri wa Ulinzi wa Israel alisema kulingana na taarifa hizi mnamo Jumatano jioni kuwa Israel inauchukua uchunguzi huo muhimu na watakaa chini ili kutizama kama hizo darubini ziko chini ya uangalizi wa kijeshi au la.

Israel imekuwa ikilalamika sana kuwa vita za gaza na Hezbollah silaha za waarabu wamekuwa wanakuta zina vifaa walivyotengeneza wao wenyewe.. so chezo la uchokozi ni Irani anasababisha ili zile silaha au mabomu ambayo hayalipuki wanayacopy. Kuna Drone zima ya Isreael complete kabisa Irani alifanya kuitoa copy tu na ameipa jina lake

Kati ya vifaa zaidi ya 200 vilikutwa kwenye drone iliyokamatwa iliyopewa jina la Mohajer-6, nusu vimetengenezwa na kampuni za Marekani na karibu robo vimetengenezwa na kampuni za Kijapani. . Servomotors katika drone zimetengenezwa na kampuni ya kijapani hukoTonegawa iitwayo -Seiko Co. kulingana na taarifa hii ya uchunguzi.

Irani ina mtandao mkubwa sana wa Manunuzi ambao upo nchi nyingi sana kutokana na kuwekewa vikwazo hali imeamsha uchunguzi zaidi kwa nchi zote zinazoiuzia vifaa nchi ya Irani na kukiuka vikwazo kampuni kandaa zimeshtushwa kusikia habari hii kwani waliwauzia wateja wao ambao walihitaji kwa matumizi yao na sio kuja kuuza baadae.

Nchi nyingi zimeanza kuchunguza vyanzo vyote na wahusika wanatumika kukiuka vikwazo ili kuwasaidia wairan ambo wamekuwa ni kansa ya dunia kwenye suala la amani duniani.

Engine za Drone Made in Canada kampuni ya Rotax ambao nao wamestuka sana na kusikitika..

Irani ni copy and paste.. sasa sijui wanatengeneza nini chao..

Israeli parts found in Iranian drones used by Russia - WSJ Western-made components have been finding their way to Iran through front companies and proxies in third countries.

 Mohajer-6 UAV with serial number P071A-020 seen during the Eqtedar 40 defence exhibition in Tehran. (photo credit: Mehdi Bakhtiari/Fars News Agency)

Mohajer-6 UAV with serial number P071A-020 seen during the Eqtedar 40 defence exhibition in Tehran.
(photo credit: Mehdi Bakhtiari/Fars News Agency)

Israeli-made infrared lenses, along with over 200 other components from the US, Europe and other allied nations, have been found in Iranian drones used by Russia in its invasion of Ukraine, The Wall Street Journal reported on Wednesday.

About three-quarters of the components of the drones were American-made, according to Ukrainian documents shown to WSJ by the Kyiv-based nonprofit Independent Anti-Corruption Commission (NAKO). Ukrainian investigators made the discovery while examining downed Iranian-made drones, including a Mohajer-6 which was hacked mid-flight and landed intact.

Out of over 200 technical components in the captured Mohajer-6, about half were made by US-based firms and about a third were made by companies in Japan. The servomotors in the drone were made by Japan’s Tonegawa-Seiko Co. according to the report.

The Tonegawa-Seiko Co. was charged last year by Japan's Trade Ministry for exporting servomotors to China without a permit after UN investigators found one in an Iranian drone. The company claimed that it did not know they would be used in military drones.

Parts from the German-owned Infineon Technologies AG and Arizona-based Microchip Technology Inc. were found in the drone as well.

A part of an unmanned aerial vehicle, what Ukrainian military authorities described as an Iranian made suicide drone Shahed-136 and which was shot down near the town of Kupiansk, amid Russia's attack on Ukraine, is seen in Kharkiv region, Ukraine, in this handout picture released September 13, 2022 (credit: MIL.GOV.UA/CC BY 4.0 (https://creativecommons.org/licenses/by/4.0)/VIA WIKIMEDIA COMMONS)
zoom-image-icon.svg
A part of an unmanned aerial vehicle, what Ukrainian military authorities described as an Iranian made suicide drone Shahed-136 and which was shot down near the town of Kupiansk, amid Russia's attack on Ukraine, is seen in Kharkiv region, Ukraine, in this handout picture released September 13, 2022 (credit: MIL.GOV.UA/CC BY 4.0 (https://creativecommons.org/licenses/by/4.0)/VIA WIKIMEDIA COMMONS)

The high-resolution telescopic infrared lens used in the Mohajer-6 appears identical to a model made by the Israeli firm Ophir Optronics Solutions Ltd., according to photos of the device examined by WSJ. MKS Instruments Inc., Ophir’s parent company, told the newspaper that it does not sell parts to Iran and abides by sanctions.

The report stressed that many of the parts found in the drones are not under export controls and can be easily bought online and shipped through other countries to Iran.

Ukrainian intelligence initially suspected that the infrared camera found on the Mohajer-6 was manufactured by the Oregon-based Sierra-Olympic Technologies Inc., which uses Ophir lenses. Chris Johnston, the founder of the company, told WSJ that while part of the device appears the same, other parts are different, suggesting it didn't come from his company.

Johnston added that the parts could have been obtained from Western aircraft downed in Iraq and Afghanistan or from intermediaries who violated US sanctions.

The Israeli Defense Ministry responded to the report on Wednesday evening, stating that Israel is reviewing the findings and that a preliminary review had found that the lens in question is not a controlled defense item nor a dual-use item.

Series of reports warn Western parts found in Iranian drones

The findings are the latest in a string of reports and analyses concerning the presence of Western-made components in Iranian drones.

Earlier this month, Schemes, the investigative unit of RFE/RL's Ukrainian Service, found components on a Mohajer-6 drone originating from at least 15 different technology companies from North America, the EU, Japan and Taiwan, including parts from the US-based Texas Instruments firm. Texas Instruments replied that it does not sell parts to Russia, Belarus, or Iran.

Schemes report pointed out that Iran has a global procurement network built out of front companies and other proxies in third countries. "Exporters will look at the request coming from the [United Arab Emirates] or another third country, and they'll think that they're selling to an end user based there, when really the end user is in Iran," Daniel Salisbury, a senior research fellow with the Department of War Studies at King's College London, told RFE/RL.

In October, CNN and Ukrainian media reported that a Mohajer-6 downed over the Black Sea was found to have engines made by the Canadian Rotax company. After an investigation conducted with a partner in Ukraine, the company announced earlier this month that it had identified the engine and was able to confirm that it was not sold by any of its distributors to Iran or Russia.

Additionally in October, the Institute for Science and International Security analyzed open-source information from downed and captured Iranian drones used by Russia in its ongoing invasion of Ukraine and found parts originating from Austria, Germany, the UK and the US. The Western-made parts were key components in the Shahed-136, Shahed-131, and Mohajer-6 drones.

"A priority is to understand how foreign parts are ending up in Iranian drones," recommended the institute. "Discovering Iranian procurement networks can start with the Western suppliers, who would be expected to cooperate with authorities. From there, authorities need to systematically expose Iran’s procurement network, identifying trading companies, distributors, shipping companies, agents friendly to Iran, and ultimately those in Iran organizing these purchases. In parallel, governments should rip out 'root and branch' these procurement networks as they are discovered."

The institute additionally recommended that the JCPOA nuclear deal not be revived unless Iran stops exporting drones and that the expired UN arms embargo against Iran be reinstated.
 
Duh wazungu bwanaa wanajaribu kutuaminisha Kwamba kila kizuri Ni wao pekee wanajua kukitengeneza ama pia kila kizuri bila mkono wao hakitakuwa kizuri.

Ni ajabu hats silaha za kirusi ambazo Ni advanced hawajaacha kusema na kupayuka hiki na kile chetu. Hi yote ilimradi TU kujipaisha.

Nb. Iran inajua kuwakomesha. Iran yenye vikwazo kwa miaka 40+ Sasa Ni tishio kubwa kabisa dhidi yao. Na itaendelea kuwa hivyo.
 
Duh wazungu bwanaa wanajaribu kutuaminisha Kwamba kila kizuri Ni wao pekee wanajua kukitengeneza ama pia kila kizuri bila mkono wao hakitakuwa kizuri...

Well said, lengo lao ni hilo hasa wala hakuna kingine - wanapenda penda sana ku-brain wash watu kwamba the World is the USA mataifa mengine ni vilaza tu hamna kitu - kwa bahati mbaya kuna baadhi ya waswahili wana amini ulaghai huo wa kijinga.

Mtu na akili zake timamu anakujia na habari za ku-copy tu kutoka kwa maadui wa Iran zenye lengo la kutaka kuonyesha Dunia kwamba Iran si lolote si chochote - mnajua kwa nini? Sababu inatokana na mafanikio ya Drones za Iran kuteketeza kirahisi silaha za magharibi wanazo pewa Ukraine, hicho kimewauma sana sana wazungu ndio maana vyombo ya habari vya magharibi wamebuni mbinu za kutaka kuichafua Iran kwa stori za kitoto kwamba wanaiba/nunua components kutoka mataifa ya magharibi ili waweze kuunda kamikaze Drone, lengo ni kutaka kuhirabia sifa Iran kumbuka kampeini chafu zilizo kuwa zinatumiwa na Merikani kuisema vibaya vifaa vya mawasiliano vya 5G vya kampuni ya Huawei vilivyo kuwa vinaundwa huko Uchina. Swali hapa ni,je, kuna dhambi gani kwa Iran ku-out source some of her components kutoka popote Duniani, kwani tatizo liko wapi - hivi ni taifa gani linalo jitegemea kwa asili mia mia - hakuna.

Wanacho nishangaza zaidi ni pale wanaposema kwamba Iran na Urusi wanatumia components za micro wave na washing mashines kuunda missiles na Drones - ulaghai mtupu! Adithi kama hizo wanaweza labda kuwadanganya watu ambao hawaja wahi kusomea masuala ya Solid State Physics na VLSIC design - semiconductors zote zinazo kuwa manufactured kwenye foundry zote Duniani ziwe aidha in form of micro chip au descret zote zinakuwa ni type mbili tu nazo ni: analogue na digital basi - designer yeyote wa aidha consumer electronics systems, military au medical instrumentation wanakwenda kununua kutoka kwenye open market, what counts is what you really want for your project - sasa haya madai ya kusema eti Warusi na Iran wanachomoa/cannibilise micro chips kutoka kwenye micro wave ovens na washing machines habari hizo niza kipuuzi kabisa, hazina mantinki hata kidogo.

Jaribu kufungua consumer electronic system yoyote iwe: TV, Music System, Computer,Washing machines, Microwave etc, je, semiconductors karibu zote zinaundwa kutoka nchi gani Duniani - nyingi tu na wala sio Merikani tu. Vile vile utakuta microchip nyingi na descret components zimetumika kwenye chombo zaidi ya kimoja, what does that tell you?
 
Back
Top Bottom