vifaa

  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Yanga SC yaingia mkataba na GSM wa miaka 5 kutengeneza vifaa vya michezo wenye thamani ya bil 9.1

    => Tumeingia mkataba mpya wa kutengeneza jezi na vifaa vya michezo kwa miaka 5 na kampuni ya GSM Group Of Companies wenye dhamani ya Tshs Billion 9.1" Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said => Mkataba wa pili utakua ni wa udhamini ambapo GSM italipa Tsh. Milioni 300 kwa mwaka, itakayokuwa...
  2. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tuboreshe Upatikanaji wa Vitendeakazi vya Teknolojia na Digitali kuongeza Pato la Taifa

    Suala la ajira kwa vijana ni shida inayotusumbua nchi yetu kwa muda mrefu sasa. Moja ya masuluhisho ambayo yamekuwa yakipendekezwa ni vijana kujiajiri kupitia teknolojia, hasa mifumo ya mawasiliano ya kidigitali, kama mitandao ya kijamii, tovuti, programu, michezo n.k. Tuangalie kijana ambaye...
  3. jemsic

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania kufikia hatua ya dawa na vifaa tiba bora

    (Source: https://pixabay.com/photos) Magonjwa ya milipuko yamekuwa yakienea katika eneo kubwa sana na kuambukiza watu wengi kwa muda mfupi. Homa ya Uhispania, Virusi Vya Ukimwi na UVIKO-19 ni baadhi ya magonjwa ambayo yamekumba nchi tofautitofauti ikiwemo Tanzania katika historia ya wanadamu...
  4. amadala

    JamiiForums Tanzania Polisi na tabia ya gari ikikamatwa kubadili vifaa na kuweka vya zamani

    Hello Wadau! Kama heading inavyojieleza. Usithubutu ukaruhusu gari ikaenda kituo cha polisi ikalala huko, wanachofanya ni kubadili vifaa na kuweka vya zamani wanaenda mbali zaidi kung'oa vioo na hata kubadili siti. Mwisho wa siku gari ni kushinda gereji ukibadili vifaa leo hiki kesho hiki. Na...
  5. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia: Ondoa posho za wabunge na mawaziri, shusha mishahara yao peleka kwenye vifaa tiba kwa ajili ya wananchi!

    Waziri wa afya ameshatoa yake kuhusu shirika la Bima NHIF kushindwa kujiendesha na kuelemewa na mzigo. Muathirika mkubwa ni mwananchi wa kawaida kwasababu wafanyakazi na wanasiasa hawatokosa fedha za matibabu! Ili kusaidia, fedha za posho za wanasiasa fyeka zote peleka kwenye madawa na vifaa...
  6. polokwane

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 maandalizi ya sensa lakini hadi sasa vifaa vya sensa hakuna. Hii ni aibu kwa taifa, aibu kwa Serikali

    Hii nchi ina mambo ya aibu sana mawaziri wote wapo kimya utadhani wamemsusia mama Samia nchi mambo ya hovyo hovyo ambayo hata mwananchi wa chini kabisa anaona. Makarani wameanza kazi jana hawana kifaa hata kimoja, zaid ya tablet ambazo na zenyewe naambiwa ni tia maji tia maji. Tablet zinazo...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Apple yashauri wateja wake kuupdate vifaa vyao

    Apple inawaelekeza watumiaji wa vifaa vyake kusasisha programu zao baada ya kampuni hiyo kugundua udhaifu katika mifumo yake ya uendeshaji ambayo inayoweza kuhatarisha usalama wa kifaa husika Apple imesema kuwa hatari hiyo inaathiri iPhones zilizoanzia kwenye modeli ya 6S, iPad kizazi cha 5 na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi Mkuu wa 2025, nasi watanzania tutumie vifaa vya teknolojia (TIEMS). Vinginevyo...

    2025 nitagombea ubunge kwenye Jimbo fulani. Lkn ninasubiri kuona Kama nchi yetu itatekeleza mambo 3. 1. Katiba itabadilishwa. 2. Tume huru ya uchaguzi itaundwa. 3. Vitanunuliwa vifaa vya kielektroniki vya kunakiri na kuposti matokeo toka vituo vya kupigia kura kwenda tovuti ya Tume:- Tanzania...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chimbo la kupata vifaa vya simu- Kariakoo

    Wadau, Natafuta machimbo ya kupata vifaa vya simu kwa bei ya jumla kwa kariakoo, vifaa navyotaka: Covers Earphones Chargers Protectors Batteries LCDs Msaada wenu wadau
  10. L

    JamiiForums Tanzania Trekta ya umeme yaoneshwa katika Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa mjini Luoyang, China

    Wafanyakazi wa Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa waliendesha kutoka mbali trekta ya umeme aina ya ET1004-W mjini Luoyang, mkoani Henan, katikati ya China. Katika miaka hii ya hivi karibuni, Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa kimetengeneza chip ya kwanza ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ndiyo maana Zelensky amelalamika sana!! Kumbe Makamanda wake walikuwa kwenye kikao na wauzaji wa vifaa vya kijeshi, makombora ya Urusi yakawaangamiza!

    Russia comments on deadly strike on Ukrainian city Moscow said it targeted a meeting of Kiev's military commanders with foreign arms suppliers in central Vinnitsa. Russia attacked the House of Military Officers in Vinnitsa with sea-launched Kalibr cruise missiles, the Defense Ministry said on...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete apongeza Serikali kwa kuwanajengea Gati za Kupokelea Boti na majahazi na kuwawezesha Wavuvi wa Pwani ya Bahari

    Naibu Waziri wa Ardhi ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze amepongeza juhudi zinazofanywa na Serikali kuhakikishia wananchi wanaoishi katika Wilaya za Pembezoni mwa Bahari ya Hindi za kuhakikisha kuwa wanajengewa Gati za Kupokelea Boti na majahazi na kuwawezesha Wavuvi kwa kuwapatia Vifaa vya...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba kudhibiti matumizi ya dawa za Viagra na P2

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema inafanyia utafiti dawa za nguvu za kiume aina ya Viagra pamoja na kuwekea mkakati dawa zinazotumika kuzuia mimba aina ya P2 kwa lengo la kudhibiti uholela wa utumiaji wake. Mkurugenzi wa TMDA, Adam Fimbo wakati amesema utumiaji holela wa dawa za...
  14. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Biashara vifaa vya ufundi simu Nairobi

    Wakuu habari za masiku nilikua naomba msaada mimi ni fundi simu nilikua nimeandaa bajeti ya. Milioni 1 nataka kuboost ofisi vifaa navyotaka kuongeza NI UFI Box,Digital Power Supply na Short killer. Hiyo bajet kwa dsm naona kama haitoshi UFI Box tu kwa dsm ni 750000. Nilikua naomba kujuzwa na...
  15. NYAMOZEHOKO

    JamiiForums Tanzania Natafuta vifaa vya scania

    Habarini za usiku wakuu. Ninahitaji vifaa vifuatavyo vy scania kwa anayejua mahali ninapoweza kuvipata na bei zake chondechonde naomba asisite kunipa mwongozo. Item No. Description of items PRICE 2. Fuel filter 1R-0749 4 Air Cleaner 371-1799 5 Main element 151-7737 7...
  16. Ms Billionaire

    JamiiForums Tanzania SOLD: Vifaa vya saluni vinauzwa vyote

    done
  17. Mayova

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar kwa bei nafuu

    Wapendwa katika bwana … naombeni mwenye kujua sehemu ambapo wanauza vifaa vya umeme kwa bei ya jumla Dar es Salaam kwa bei nafuu
  18. kelphin

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza. Karibu Nieleze kidogo kuhusu subwoofer Je, unataka kununua, basi zingatia haya. Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo majina hapana ,yaani inaweza kua rising,seapiano,codjec,aborder au vyovyote Ila itakua digital au...
  19. JET SALLI

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza kutengeneza marembo kwenye madirisha na nguzo, napataje vifaa mafundi wenzangu kama mpo humu?

    Ndugu zangu tunajaribu kupambana na maisha ili siku ziende, ukishika hapa unajaribu na pengine, naomba wenye kujua namna ya kupata vifaa vya kucholea marembo kwenye nguzo na madirisha anisaidie tafadhali.
  20. Ilitara kimura

    JamiiForums Tanzania Gharama vifaa vya umeme kwa Dar es Salaam

    Habari zenu wana jamii naomba mnisaidie bei za hivi vifaa vya umeme kwa Daresalaam. Na kama naweza kuelekezwa duka specific linalouza jumla.
Back
Top Bottom