video

  1. JamiiForums Tanzania Baada ya CCM kuzidiwa: Mkuu wa Mkoa wa Morogoro atuhumiwa kumnyanyasa Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Daniel Shilla. Ameagiza akamatwe na Jeshi la Polisi

    Hii ni aibu kubwa sana kwa Mtu mzima ambaye ni juzi tu ameteuliwa kutoka ccm Arusha na kuwa RC wa Morogoro .
  2. JamiiForums Tanzania Video: Eti huyu mtu leo ndio kiongozi wa CCM na ndiye anaikataa Tume Huru ya Uchaguzi

    Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele . Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Nabii Shilla akiwa kwenye harakati za kikamanda za kutafuta wadhamini huko Kilombero

    Huu uchaguzi unaweza kuwa ndio uchaguzi mgumu mno kwa CCM , mipango na mikakati ya CHADEMA ni mikubwa mno!
  4. JamiiForums Tanzania New Video: Rayvanny ft Diamond Platnumz- Amaboko

    Nyimbo ya Amaboko imeshawekwa YouTube na Views Wanazidi kupanda tu, Nami najiandaa hapa nikanunue Shuka la kimasai nivae Kama Laizer vile,😂
  5. JamiiForums Tanzania Video: Msafara wa Pascal Haonga mbunge wa Mbozi wasimamishwa na Wanafunzi, wamshangilia vibaya sana

    Hivi hawa wabunge wa chadema wana mvuto wa namna gani lakini ?
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Kenya-Loita yakumbwa njaa baada ya mpaka wa Tanzania na Kenya kufungiwa

  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe: Nitagombea Urais Upinzani ukinipa ridhaa

    Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Tanzania na kada wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa miongo mingi Bernard Membe anasema ikiwa Vyama vya Upinzani vitaungana na kumpa ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais, basi atakuwa tayari kupambana na Rais John Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao...
  8. JamiiForums Tanzania Video: Frank Mwakajoka aaga kwa kishindo Tunduma

    Hakika kwenye uchaguzi wa 2020 kazi si nyepesi kama baadhi wanavyodhani, ukiangalia video hii utagundua kwamba hiki chama kinachoitwa Chadema kimeshindikana . Pamoja na kudhulumiwa kila kitu kwa miaka mitano, ikiwemo kukamatwa na kubambikwa kila aina ya kesi lakini mkutano mmoja tu wa hadhara...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Gwajima ukiwa muongo usiwe msahaulifu, alisema Kuutaka Ubunge ni kujishusha chini

    Kwa vile ndugu Mtumishi umeamua mwenyewe kugombea Ubunge basi tuvumiliane, hizi ndio siasa zetu kaka yangu, kukumbushana ni wajibu.
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe: Nina dhamira ya kuwania urais wa Tanzania

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimatifa wakati wa Serikali ya Tanzania, Bernard Membe ambaye mwezi Februari mwaka huu chama chake cha CCM kilipendekeza kumvua uanachama wake amesisitiza kuwa dhamira na uamuzi wake wa kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  11. JamiiForums Tanzania Nimeeleza hapa kuhusu kubadili video yoyote kuwa audio

    kuna jamaa kaniuliza kuhusu software inayoweza kubadili video kuwa audio, huyu jamaa anajiita EINSTEIN112 kwa hiyo nimeona nifungue huu uzi hapa. Kwa kuwa kule kulikuwa na uzi unaohusu mambo mengine. Karibu we jamaa. Ndugu, Nafikiri kuna software kibao ziko sokoni kwa ajili ya kazi hiyo...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Video za YouTube zinastream kama kawaida kwenye TV tatizo Intenet Browser

    Naomba kusaidiwa tatizo hili lililoanza hivi karibuni. Niliponunua na kufanya setting za kawaida za hii Smart TV Sony bravia yenye bowser Opera nilikuwa nikiona videos zote za you tube na za site mbalimbali kama kawaida. Sasa imeanza kuleta shida kwenye inteneti browser video haziplay...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Aliyekuwa RPC wa Arusha aanza majukumu mapya kwa kishindo huko CCP Moshi

    Pamoja na mapungufu yake kama Mwanadamu IGP Sirro amejaaliwa kipawa cha ugunduzi wa kipaji cha mtu , na hasa kwenye eneo lake la polisi . Ukiangalia video hii utagundua kwamba huyu RPC hili ndio eneo lililomfaa tangu awali
  14. JamiiForums Tanzania Video: Mabango yenye Majina ya Peter Mutharika yaanza kung'olewa na wananchi

    Hili liwe fundisho kwa viongozi wengine wa Kiafrika, kwamba watu wengi wanaweza kuwa wanakuchekea kwa vile uko madarakani tu, na hasa kwa vile unawajazia matumbo yao, lakini ukitoka ndio utaijua rangi yao halisi. Majuto ni mjukuu
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukahaba Kenya: Licha ya Corona, Biashara inaendelea sasa mchana kweupe (Video)

    Wakenya humu huwa na tabia za kusingizia mataifa mengine eti wanawaletea Corona kumbe Nairobi wadau wanaendelea kunyanduana huku wakupumuliana na kumwagiliana Ute ulio jaa Corona. Lakushangaza ni kwamba hawa makahaba hautasikia serikali inawapima corona, Madereva wa kutoka nchi jirani eti ndio...
  16. JamiiForums Tanzania Polisi, CHADEMA sasa wafika pabaya. CHADEMA waanza kuwindwa kama wahalifu (Video)

    Inaonekana ukiwa mwana CHADEME kwa sasa ni zaidi ya gaidi. Hapa wana CHAEMA walikuwa wanaenda kumlaki Mbunge wao anayerejea kuja kutoa shukrani za uaminifu kwao sasa inaonekana wezuiwa. Swali, mbona kwa CCM haya ni ya kawaida? Hivi ni moja ya vitu vinavyomfanya Rais Magufuli kuonekana kuendesha...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Hivi ndivyo kura za marudio ya uchaguzi wa Rais zilivyolindwa na wananchi nchini Malawi. Hakika kuna la kuifunza Tanzania

    Hakuna ujanja wa kutumia wakurugenzi , watu wasiojulikana wala polisi . Mungu ibariki Malawi
  18. JamiiForums Tanzania Video : Iwe fundisho kwamba kujipendekeza hakusaidii chochote , ewe mtumishi wa umma tenda haki

    Huyu ni RPC wa Arusha akishiriki tamasha la ccm , lakini leo kang'olewa bila huruma . Shetani hana rafiki
  19. U

    JamiiForums Tanzania NEW Video: Rosa Ree - Kupoa {Official Video}

    Rapper wa Kike Tanzania Rosa Ree Ameachia Video ya nyimbo mpya inayoitwa - Kupoa Nimekuwekea hapa chini uitazame mtu wangu.
  20. JamiiForums Tanzania RPC Shana umekoswakoswa ya dhahabu Mwanza na umekoswa mgogoro wa Arusha; hii ya kujipendekeza CCM kupitiliza itakuletea shida. Linda maadili

    Jf Imara Rais JPM amesema alikua anawatizama tu na aliwapa muda wa kuyamaliza wakashindwa. Akamuagiza Waziri Jafo awasuluhishe bado ikashindikana. Mwisho akaamua kutimua wote. Hapa JPM ametumia busara sana. Happy Wa Joseph (BIBI) anasema ukiona watoto wanagombania chakula wakati kinawatosha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…