video

  1. D

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Kada wa CCM amrushia Tundu Lissu jiwe wakati akisalimia wana Bukoba mbele ya jengo la CCM Bukoba, Lissu alazimika kurudi ndani ya gari

    CCM siasa za uhasama mtaacha lini? Tazama hapa!
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Dkt. Magufuli arejea Makao Makuu ya nchi Dodoma, aserebuka wimbo wa Zuchu mbele ya wananchi

    Baada ya kuanza kampeni za kuwania Urais katikati ya kitovu cha nchi na kwenda mikoa mbalimbali, leo mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amerejea mjini Dodoma na kulakiwa na wananchi mbalimbali wa mkoa. Katika furaha isiyo kifani, Dkt Magufuli amecheza wimbo wa 'Tanzania ya sasa'...
  3. MSEZA MKULU

    JamiiForums Tanzania CCM wanatumia gharama kubwa kutafuta wananchi huku wananchi wanatumia gharama kubwa kumtafuta Lissu

    Karibu kila chombo cha Habari kinaonekana kupigia chapuo chama cha Mapinduzi. Gharama Kubwa inaonekana kutumika kwa CCM kutafuta wananchi watakaoipigia Kura CCM. Kinyume chake naona wananchi wanatumia gharama kubwa kumtafuta Lissu popote alipo hasa mitandaoni. Ukikuta Kikundi cha watu kikao...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Kata kwa Kata yafika Kata ya Ruanda, Joseph Mbilinyi aendelea kusafisha mabaki ya CCM Mbeya Mjini

    CCM walidanganyika mno kudhani Uchaguzi wa 2020 ungekuwa rahisi, haifahamiki kama aliyewadanganya alikula njama au ilikuwa bahati mbaya ( tunaendelea kuchunguza ) Hapa chini nimeweka video fupi ili hata wale wenye bando la mashaka kutokana na kufa kwa Uchumi wa Tanzania wajionee kifo cha CCM...
  5. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Video: Huyu ndiye mgombea ubunge jimbo la Kawe

    CCM ndiyo inataka kutupelekea wabunge wa dizaini hii halafu, weupe na wasio na uelewa na ufahamu wa namna serikali inavyofanya kazi. Gwajima anataka kuwaaminisha wananchi kuwa utofauti wa bei ya sukari unasababishwa na mbunge kutosema. Kwa usomi wake na exposure aliyonayo kila mtu alitegemea...
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ngaren, the Ksh1B Museum in Turkana to be Africa’s most iconic and technologically advanced museum

    An artistic display of an entrance walkway to Ngaren Museum. FILE STUDIO LIBESKIND Work at Ngaren, the Museum of Humankind, commissioned by paleoanthropologist Dr. Richard Leakey is set to begin in 2022. Located in Turkana, Ngaren is going to be Africa’s most iconic and technologically...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: CCM yaanza kutumia maudhui ya kanisa kuomba kura, wadau wasema ni kejeli kwa Mungu

    Hii hapa jionee mwenyewe
  8. KENZY

    JamiiForums Tanzania My favorite video interview. What is yours?

    Hiyo ni moja kati ya interview nayopenda kuirudiarudia,inamuhusu muandishi anaefahamika kwa majina Robert kiyosaki alieandika kitabu cha "poor Dad,rich Dad" na vitabu kadhaa kama fake n.k Kupitia interview hiyo nilipata kujifunza vitu kadhaa na hakika hata wewe ukiitazama hutotoka mtupu...
  9. G Sam

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Msemaji wa CCM aisifia CHADEMA mbele ya mama Samia Suluhu

    Haya sasa, msemaji mwingine kaunguza mboga huku!
  10. Kulupango

    JamiiForums Tanzania Video ya mauaji ya mwanamke wa Mozambique imenichefua. MUNGU ibariki Tanzania

    Msumbiji: uchunguzi juu ya mwanamke aliye uchi 'alipigwa risasi mara 36' Idara ya uangalizi wa haki inahitaji uchunguzi huru baada ya wanaume waliovaa sare za jeshi kumuua mjamzito aliye uchi uchi kaskazini restive north. . Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Hii hapa kampeni ya Ester Matiko Kata ya Nyamisangura, Wananchi wamshangilia vibaya

    Kiukweli kampeni za mwaka huu zaweza kuwa fundisho kubwa sana kwa dunia, kwamba unaweza kudhibiti watu kwa kutumia polisi na wakakuangalia tu kama mabwege hivi lakini kumbe wamekutega mahali fulani ili unase, CCM kwisha habari yake
  12. A

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa video kwenye biashara yako

    Hello mambo vipi.. Guys tuache masiala, if you're serious with your business (no offense) You need to start making video content for your social Media platforms. Video ni noma. Kuna msemo mtakua mmewahi kuusikia. Unasema hivi: A PICTURE CAN SPEAK THOUSANDS WORDS 📸. Ni kweli kabisa. Sasa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Importance of video for your business/brand

    Hello mambo vipi.. Guys tuache masihara, if you're serious with your business (no offense) You need to start making video content for your social Media platforms. Video ni noma. Kuna msemo mtakua mmewahi kuusikia. Unasema hivi: A PICTURE CAN SPEAK THOUSANDS WORDS 📸. Ni kweli kabisa. Sasa...
  14. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

    å Ni majibu ya kauli ya Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dr. Wilson Mahera Charles aliyoitoa jana alipokuwa anazungumza na vyombo vya habari. å Kwamba, baadhi ya wagombea katika mikutano yao ya kampeni wanakiuka kanuni na maadili ya uchaguzi mkuu wa 2020. å Na kwamba, tume inaweza...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: RPC wa Songwe ajiangalie, Wananchi wa Tunduma waangusha maombi mazito hadharani na kumshitakia Mungu

    Kwa sasa hakuna eneo ambalo wanachama na viongozi wa CHADEMA wanakamatwa kama kuku kama wanavyokamatwa wanachadema wa Tunduma, Kwa jinsi polisi inavyotumwa na CCM ndivyo inavyotekeleza bila hata kuchuja. Wagombea kadhaa wa udiwani wa CHADEMA Akiwemo Meya wa halmashauri Mstahiki Ally Mwafongo...
  16. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Iringa & Njombe, atoa pole kwa Vifo 10, Kwanini Chato ni agenda ya Uchaguzi

    Wakuu kumekucha tena, na kwa kweli muda ni mfupi mno, tuendelee kuvumiliana kwa kero zetu za kampeni. Leo tena kipenzi cha Watanzania Rais mtarajiwa Mh Tundu Lissu anawasili Mkoani Njombe kwa lengo la kueneza sera nzuri mno za CHADEMA , ikiwa ni pamoja na kuomba kura kwa mabosi wake ambao ni...
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rihanna picks Kenyan girl for posh role

    Rihanna (Left) and Kenyan Comic Elsa Majimbo. Fenty Beauty, a cosmetics brand launched in September 2017, by 9-time Grammy winner Rihanna, picked Kenyan comedy star Elsa Majimbo to showcase their array of sunglasses. The young comedian expressed her joy after landing the gig in a video that...
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

    Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha. Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua...
  19. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Likoni Floating Bridge: Kenya's Engineering Marvel

    An artists impression of a floating bridge. The Kenya National Highways Authority (KeNHA) on Sunday, September 13, released an illustratory video of Kenya's first floating bridge under construction at the Likoni Channel. Dubbed the Likoni Floating Bridge, the mega project is estimated to cost...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu (CHADEMA), aomba mdahalo na Dkt. Pombe Magufuli (CCM)

    Akiwa mkoani Iringa leo tarehe 13 Septemba, Lissu amesema "Natoa rai kwa Mgombea Urais wa CCM na vyombo vyetu vya habari, kufanikisha mdahalo kuhusu mustakabali wa Taifa letu la Tanzania" ===== LISSU IRINGA: MDAHALO NA MAGUFULI, MIKOPO ELIMU YA JUU NA HIFADHI YA JAMII KWA WOTE Mgombea Urais...
Back
Top Bottom