Video: Frank Mwakajoka aaga kwa kishindo Tunduma

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,666
218,169
Hakika kwenye uchaguzi wa 2020 kazi si nyepesi kama baadhi wanavyodhani, ukiangalia video hii utagundua kwamba hiki chama kinachoitwa Chadema kimeshindikana .

Pamoja na kudhulumiwa kila kitu kwa miaka mitano, ikiwemo kukamatwa na kubambikwa kila aina ya kesi lakini mkutano mmoja tu wa hadhara ni shida!
 
Hakika kwenye uchaguzi wa 2020 kazi si nyepesi kama baadhi wanavyodhani , ukiangalia video hii utagundua kwamba hiki chama kinachoitwa Chadema kimeshindikana .

Pamoja na kudhulumiwa kila kitu kwa miaka mitano , ikiwemo kukamatwa na kubambikwa kila aina ya kesi lakini mkutano mmoja tu wa hadhara ni shida !
Determination level ya watu wa Mbeya na Songwe si ya nchi hii. Kule CCM haitakiwi kabisaaaaaàa.
Wakija na mbinu zao za kuiba kura lazima kinuke
 
Cdm ni tunu kutoka kwa Mungu
Hakika kwenye uchaguzi wa 2020 kazi si nyepesi kama baadhi wanavyodhani , ukiangalia video hii utagundua kwamba hiki chama kinachoitwa Chadema kimeshindikana .

Pamoja na kudhulumiwa kila kitu kwa miaka mitano , ikiwemo kukamatwa na kubambikwa kila aina ya kesi lakini mkutano mmoja tu wa hadhara ni shida !
 
Jiandaeni maana mbwa koko tutawafanya kama alichostahili Chifu Koko tusubiri wakati wa kung'oa Nanga. Black is beauty and black is power
 
Hakika kwenye uchaguzi wa 2020 kazi si nyepesi kama baadhi wanavyodhani, ukiangalia video hii utagundua kwamba hiki chama kinachoitwa Chadema kimeshindikana .

Pamoja na kudhulumiwa kila kitu kwa miaka mitano, ikiwemo kukamatwa na kubambikwa kila aina ya kesi lakini mkutano mmoja tu wa hadhara ni shida!
View attachment 1497006
Mbeya wana akili.
 
Back
Top Bottom