video

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Tundu Lissu akiondoka Tarime jioni hii kuelekea mkoa wa Manyara, hadi wanawake wameamua kumlinda!

    Tutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama. Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo humo yamo! Tunaondoka Tarime kama hivyo!
  2. JamiiForums Tanzania Aliyetoa wazo la kusajili YouTube Channels pia aangalie namna ya kusajili akaunti za facebook,kuna video zinarushwa tena laivu,wapinzani wamejaa huko

    Naona teknolojia inataka kuipiga kumbo sheria yetu iliyokuwa inadhibiti traditional media-magazeti-tv-redio. Hizi ilikuwa rahisi, unapiga pini tu wote kimya. Lakini sasa teknolojia inataka kuleta mchezo wa paka na panya,tunakaba huku, teknolojia inaleta hiki,unakaba hiki, inaleta hiki, ila...
  3. JamiiForums Tanzania VIDEO: Tundu Lissu, aliyepigwa risasi akipinga ukabila na u-Mobutu, na yeye aiga kuongea vilugha majukwaani

    Jambo nyeti la mwisho alilofanya Tundu Lissu kabla ya kupigwa risasi, na ambalo wachunguzi wengi wa kisiasa wamesema lilichangia kupangwa mashambulizi ya kigaidi dhidi yake, ni kutoa hotuba ile ya "Mtoto wa Dada," ambamo alishutumu vikali na kulaani kwa nguvu ukabila na undugu uliokuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania kwa aliyemuelewa Gwajima kwenye hii video atueleweshe

    Wakuu Salaam;
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nawashauri CHADEMA wamtulize kwa sasa Tundu Lissu aache kufanya mashambulizi makali kwa Rais Magufuli

    Tundu Lissu amefanya mashambulizi makali kwa Magufuli leo mara baada ya kuchukua fomu, amemsema Magufuli kwa namna amabavyo hajawahi kusemwa kwa miaka mingi huku wananchi wakishangilia kwa mwendo huu Tume ya Uchaguzi na System nzima Tanzania huenda wakamuengua asigombee maana itakuwa hatari kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Eid kwetu ilikuwa hivi kwako ilikuwaje?

  7. JamiiForums Tanzania Music and Video library

    Nina lengo la kufungua video library yaani kurushia wateja movies pamoja na mziki. Kwa wanao fahamu, series/seasons nitapataje?
  8. JamiiForums Tanzania Video: Yanga ikichezea kichapo cha 4-1. This is Simba

    Kipi kinakufurahisha kwenye hii video. Mimi ni mkwara wa Luis Miqsonne akishangilia goli lake kwa kutamba Shadeeya Sibonike
  9. JamiiForums Tanzania Video: Hivi ndivyo TID alivyomlilia Rais Mstaafu Mkapa, inasikitisha sana

    Kama ambavyo Watanzania wengi tulivyoguswa na msiba huu mzito wa Kitaifa, wasanii wetu pia wameguswa.
  10. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Salaam Wakuu, MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki. Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
  11. JamiiForums Tanzania Hakuna video kali mpaka kesho kama ya Harmonize

    Nadiriki kusema mwaka huu na mwaka kesho na kuendelea hakuna video itayokuja kuwa Kali zaidi ya hii ya Harmonize mpaka kesho. Director hanscana ni muuaji mnoo yaani kitu kipo kama movie quality ni HD. Story nzuri. Huwezi amini location ni Manyara ,Babati Japo audio sio nzuri ila hiki kichupa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

    Hayo yamesewa na Mhe. Mnyika kupitia mtandao wa twitter. Taafika kamili ya chama kwa umma:
  13. JamiiForums Tanzania Tuvisaidie Vikao: Tushirikishane Taarifa za Rushwa Majimboni

    Pongezi JF Nimekuwa nikiwasiliana na watu kadhaa walioshiriki kwa namna moja au nyingine kwenye kura za Maoni. Jambo moja naona limejitokeza, Kuna maelezo kuwa Rushwa imetembea huenda kuliko wakati mwingine wowote. Tumuunge Mkono Mwenyekiti wa CCM katika juhudi zake za kupambana na Rushwa...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Mgombea wa CCM akiwatoka PCCB wakati akigawa rushwa

    Tangu kura sijui za maoni sijui za nini huko zitangazwe, matukio ya rushwa yalishamiri mno, mchakato huu ulifanywa na Chadema pia ila hatukusikia haya mambo. Video hii ni mtu anayesikika akitajwa kwa jina la Ngeleja akiwakimbia PCCB wakati wakijaribu kumkamata. Wabunge wa style hii kamwe...
  15. JamiiForums Tanzania Video Clip zote za tambo za Makonda wekeni hapa ili iwe kumbukumbu kwa wenye tabia kama hii

    WanaJF Katika kuweka kumbu kumbu sawa watu wote wenye video za majigambo na tambo, hata screen short za Twitter, Insta ili iwe funzo kwa watoto wetu kama sehemu ya history kwa vijana wenye tamaa waliozaliwa 1982.
  16. JamiiForums Tanzania Video: Kura za maoni za CCM tutegemee mambo haya kutokea tena

    Mh Kikwete aliwahi kutuambia kwamba wanaCCM hawaaminiani kwa kiasi cha kushindwa hata kuachiana maji ya kunywa mezani . Usemi huu wa Rais Mstaafu ungali hai hadi leo .
  17. JamiiForums Tanzania Je, wajua kwanini wanaume wa kikongo hata walioko Tanzania hupenda kuvaa kitajiri wakati ni maskini? Angalia video

    Wanaume wa kikongo hupenda kuvaa kitajiri sana hata kama wanaishi maisha ya chini pa kulala pabovu Sababu yake hiyo hapo
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

    Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM. Adskofu Gwajima pia amewahi kutunukiwa Shahada ya Uzamivu (Doctor of philosopy in Theology...PhD), ambayo ameisomea katika Chuo cha Omega Global University...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Kijana Mkenya atusua kwa kutengeneza vitanda vya hospitali

    Huu ndio mwendo, vijana Wakenya wanapambana sana, inatia moyo kuona kizazi cha kesho kipo kimejiandaa kuipeleka hii nchi kunakostahili. Ifahamike sasa hivi tumepata soko hadi DRC, wanakuja kuagiza PPE tunazotengeneza viwandani.
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Steven Wassira atangaza kugombea ubunge Jimbo la Bunda, Adai 2015 aliibiwa kura

    Mzee bado hajakata tamaa na ameyatamka hayo hadharani kwenye vikao vya ccm Dodoma alipohojiwa na waandishi wa habari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…