video

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Shukrani za dhati kwa wote walioshiriki kusambaza taarifa za Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu tangu mwanzo hadi mwisho

    Wakuu, poleni sana na Majukumu yenu ya kila siku, Naomba kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote mliochangia kusambaza taarifa zote za uchaguzi za Chadema ikiwa ni pamoja na kusambaza kampeni kali za kiwango cha juu za Tundu Lissu Mgombea Urais wa Chadema, ambaye anatajwa kama Mgombea bora kabisa...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja binafsi: Dkt. Magufuli anastahili kupewa miaka mingine 5

    Naamini kuwa Rais Magufuli anastahili kupewa nafasi nyingine ya kuliongoza Taifa letu kwa miaka mingine mitano. Hoja zinazotolewa bado hazijatosha kuwafanya Watanzania wengi kutokumuunga mkono. Ushindi wake utakaribia asilimia 80... Lissu atapigiwa kura na watu wengi vilevile lakini ana kazi...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Somanga: Mkutano wa Tundu Lissu wapigwa mabomu ili kutawanya watu

    Katika mkutano wa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu polisi walifika eneo la mkutano na kuanza kuwatawanya watu kwa kutumia mabomu hata hivyo kwa kuwa Lissu ni kiongozi Wala si mtawala aliamuru watu waondoke lakini hata hivyo wanasomanga hawakusita kuimba nyimbo za ushindi kama video inavyoonekana hapo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Zungu awaambia wanafunzi wampigie kura Magufuli

    Katika muendelezo wa michezo ya uvunjifu wa sheria, makada wa CCM wameanza utaratibu haramu wa kuwachukua watoto wa shule na kuwaelekeza kumpigia Magufuli kura Huku watoto wakiwa kwenye uniform za shule wanafundishwa namna ya kumpigia kura Magufuli. Tunaitaka NEC ije iuelezee umma kama...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Video: Zuhura Yunus ulikuwa unaogopa nini?

  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Video : Maalim Seif apokelewa kwa kishindo Moshi Mjini

    Jabali Maalim Seif akiingia kwenye mkutano wa Kampeni za Tundu Lissu Moshi Mjini
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Sophia Mwakagenda aendelea na kampeni za kuomba Ubunge katika Jimbo la Rungwe

    Ama kwa hakika Bawacha ni Taasisi imara mno! Imeimarisha sana uwezo wa kujieleza kwa wakina mama na umewapa ujasiri mkubwa mno. Angalia video hii ya umati ukimshangilia Sophia Mwakagenda aliponadi sera za chama chake huku akiomba Ubunge.
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Mgombea wa CCM akimwombea kura Magufuli kwa kulia na kugaragara chini!

    Hivi huku kuomba kura kwa namna hii ni kwamba mtu anakuwa anatafuta uongozi wa kwenda kuongoza watu au wanatafuta uongozi wa kwenda kula? Hivi ni wananchi wajinga wa wapi wanaweza kumpa kura mgombea fulani ili awe kiongozi wao kwa kulialia na kugaragara jukwaani bila kuwashawishi watu kwa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Video: Hivi huyu ni mtangazaji au ni nini?

    Wadau katika hali ya kustaajabisha kituo kimoja cha Televisheni hapa nchini kimeajiri mgtangazaji, nimepata na mshituko kidogo baada ya kufungulia TV na kukutana na hali hii. Hebu tazameni wenyewe hizi media zinatuchuliaje sisi watazamaji? video nyingine ipo hapo chini kwenye comment ya kwanza
  10. S

    JamiiForums Tanzania Video: Paredi la kijeshi la North Korea October 2020 lilivyoendeshwa

    Wakuu, yaani utadhani ni movie la kivita:D:D😂😂🤣 Kuanzia 1:44:37 hadi 2:11:00 ndio mijisilaha mbali mbali ya kisasa yaoneshwa na kuna wachambuzi wanazichambua kwa lugha ya kiingereza. Wameshindwa kuonesha tu yale mazoezi mazito ya kupasua tofali kwa kichwa.
  11. JamiiForums Tanzania Video: Halima Mdee akiomba matengenezo ya barabara za Kawe bungeni

    Hii ndiyo kazi ya mbunge.Mbunge anaongea na waziri kupitia bunge. Magufuli na Gwajima alitaka Halima afanye nini zaidi?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mwibara: Baada ya Tundu Lissu kuzuia njia ili kivuko kisishushe magari na mizigo, azua tafrani baada ya maiti kukwama kwenda kuzikwa. Tazama video

    Jana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo chini watu wanalalamika kuwa maiti zao zinachacha kwenye kivuko.
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Pongezi nyingi kwa aliyewaza kutumia wimbo wa Bob Marley wa "One Love" kwenye kampeni za Lissu

    Kama inavyoonekana kwenye video hapo, wimbo huu umekuwa ukileta hamasa kubwa sana kwa wananchi pale unapopigwa kwenye kampeni za mgombe Rais kupitia CHADEMA Mh. Tundu A. Lissu. Wimbo huu unatuma ujumbe wa muungano na upendo katika kipindi ambacho tunapitia changamoto kubwa ya siasa za chuki na...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

    Tulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
  15. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tazama hii video ya kivuko alichozuiwa kupanda ndugu Tundu Lissu kwa madai kuwa ni kibovu kikiwa Mwibara kisha soma ufafanuzi wa yaliyotokea

    Kwenye video hapa chini kinaonekana kivuko ambacho kipo upande wa Mwibara. Kilitoka Ukerewe kwenda Mwibara ambapo kimemuacha ndugu Lissu akiwa Ukerewe kwenye mkutano. Yani Lissu amefika Ukerewe na kivuko kikatoka Ukerewe (Na tuliambiwa kuwa ni kibovu) Tazama mbele ya kivuko yanaonekana magari...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mapokezi makubwa aliyopewa Lissu na wakazi wa Chato yana ujumbe mkubwa uliokuwa umejificha mioyoni mwao

    Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni dalili kuwa hata wao wamechoshwa na vile mtoto wao jirani yao Rais Magufuli alivyokuwa akiwatendea...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Video: Huyu dada ambaye ni mlinzi binafsi wa Tundu Lissu nimetokea kumfikiria sana. Hapa ni Chato anataka kumkunja askari wa FFU

    Huyu dada nimekuwa namfuatilia kila alipo Tundu Lissu kwenye hii mikutano ya kampeni inayoendelea. 1. Anaonekana ni mtu jasiri sana kila anakopita. 2. Anaonekana ni mtu mwenye mafunzo hodari ya ukakamavu. 3. Anaonekana kuwa very loyal. Yeye ndiye anakaa upande wa kushoto wa Tundu Lissu pamoja...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

    Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA). Uchaguzi 2020 - Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu
  19. JamiiForums Tanzania Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) iwafutie usajili wanafunzi wanaorekodi na kusambaza video chafu mitandaoni

    Wakuu Salaam: Siku za karibuni kumekuwa na usambaaji wa video chafu kwenye mitandao ya kijamii na jambo hili linaendelea kukua miongoni mwa wanafunzi wa Elimu ya juu. Na waliohusika katika video wapo pamoja na kwamba kumekuwa na matamko toka uongozi wa vyuo lakini bado hakuna fundisho. Hawa...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video ya wasichana wa shule ‘wakinyunyiziwa’dawa ya kuua virusi' yawakera Wakenya

    Video inayoonesha wasichana wa shule wakiwa wamejipanga msururu kwa ajili ya kunyunyiziwa dawa kama sehemu ya hatua za kukabiliana na kusambaa kwa virusi vya corona imeleta mgawanyiko miongoni mwa Wakenya mtandaoni. Video fupi ya sekunde 30 iliyopakuliwa kwenye Twitter na gazeti nchini humno...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…