Katika muendelezo wa michezo ya uvunjifu wa sheria, makada wa CCM wameanza utaratibu haramu wa kuwachukua watoto wa shule na kuwaelekeza kumpigia Magufuli kura
Huku watoto wakiwa kwenye uniform za shule wanafundishwa namna ya kumpigia kura Magufuli.
Tunaitaka NEC ije iuelezee umma kama...
Ama kwa hakika Bawacha ni Taasisi imara mno! Imeimarisha sana uwezo wa kujieleza kwa wakina mama na umewapa ujasiri mkubwa mno.
Angalia video hii ya umati ukimshangilia Sophia Mwakagenda aliponadi sera za chama chake huku akiomba Ubunge.
Hivi huku kuomba kura kwa namna hii ni kwamba mtu anakuwa anatafuta uongozi wa kwenda kuongoza watu au wanatafuta uongozi wa kwenda kula?
Hivi ni wananchi wajinga wa wapi wanaweza kumpa kura mgombea fulani ili awe kiongozi wao kwa kulialia na kugaragara jukwaani bila kuwashawishi watu kwa...
Wadau katika hali ya kustaajabisha kituo kimoja cha Televisheni hapa nchini kimeajiri mgtangazaji, nimepata na mshituko kidogo baada ya kufungulia TV na kukutana na hali hii.
Hebu tazameni wenyewe
hizi media zinatuchuliaje sisi watazamaji?
video nyingine ipo hapo chini kwenye comment ya kwanza
Wakuu, yaani utadhani ni movie la kivita:D:D😂😂🤣
Kuanzia 1:44:37 hadi 2:11:00 ndio mijisilaha mbali mbali ya kisasa yaoneshwa na kuna wachambuzi wanazichambua kwa lugha ya kiingereza.
Wameshindwa kuonesha tu yale mazoezi mazito ya kupasua tofali kwa kichwa.
Jana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo chini watu wanalalamika kuwa maiti zao zinachacha kwenye kivuko.
Kama inavyoonekana kwenye video hapo, wimbo huu umekuwa ukileta hamasa kubwa sana kwa wananchi pale unapopigwa kwenye kampeni za mgombe Rais kupitia CHADEMA Mh. Tundu A. Lissu.
Wimbo huu unatuma ujumbe wa muungano na upendo katika kipindi ambacho tunapitia changamoto kubwa ya siasa za chuki na...
Kwenye video hapa chini kinaonekana kivuko ambacho kipo upande wa Mwibara. Kilitoka Ukerewe kwenda Mwibara ambapo kimemuacha ndugu Lissu akiwa Ukerewe kwenye mkutano. Yani Lissu amefika Ukerewe na kivuko kikatoka Ukerewe (Na tuliambiwa kuwa ni kibovu)
Tazama mbele ya kivuko yanaonekana magari...
Inawezekana wakazi wa Chato walikuwa wanaogopa kuwaeleza Watanzania kuwa ‘na sisi ni binadamu wenzenu tunaumia’, lkn kwa kujitokeza kwa wingi kiasi kile pengine zaidi ya walivyompokea Magufuli, ni dalili kuwa hata wao wamechoshwa na vile mtoto wao jirani yao Rais Magufuli alivyokuwa akiwatendea...
Huyu dada nimekuwa namfuatilia kila alipo Tundu Lissu kwenye hii mikutano ya kampeni inayoendelea.
1. Anaonekana ni mtu jasiri sana kila anakopita.
2. Anaonekana ni mtu mwenye mafunzo hodari ya ukakamavu.
3. Anaonekana kuwa very loyal. Yeye ndiye anakaa upande wa kushoto wa Tundu Lissu pamoja...
Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
Uchaguzi 2020 - Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu
Wakuu Salaam:
Siku za karibuni kumekuwa na usambaaji wa video chafu kwenye mitandao ya kijamii na jambo hili linaendelea kukua miongoni mwa wanafunzi wa Elimu ya juu.
Na waliohusika katika video wapo pamoja na kwamba kumekuwa na matamko toka uongozi wa vyuo lakini bado hakuna fundisho.
Hawa...
Video inayoonesha wasichana wa shule wakiwa wamejipanga msururu kwa ajili ya kunyunyiziwa dawa kama sehemu ya hatua za kukabiliana na kusambaa kwa virusi vya corona imeleta mgawanyiko miongoni mwa Wakenya mtandaoni.
Video fupi ya sekunde 30 iliyopakuliwa kwenye Twitter na gazeti nchini humno...
Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane.
Hii mvua itasaidia kupunguza vumbi kwa muda mrefu Jiji hili halikua na mvua.
Lakini pia Mvua hutuonyesha kwamba Mji wa Dar na miji mingine Mikubwa inatakiwa ipangwe hata kama Sio mji mzima lakini Maeneo yotr ya Miji hii Mikubwa Yanatakiwa kuwa Na...
Hakika usije ukathubutu kushindana na aliyejaaliwa , pamoja na vikwazo vya kila namna ikiwa ni pamoja na uchawi , lakini Mh Lissu anazidi kuungwa mkono.
Haya hapa ni mapokezi yake alipokuwa anaingia viwanja vya Barafu Mjini Igunga - Tabora, jionee mwenyewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.