Habari za asubuhi wakuu,
Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya Demokrasia.
Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja Demokrasia kwa...
Mengine yaliyopita yote tunayaelewa...
Hapa nimerudia kumtazama na kumsikiliza mara mbili tatu, sijafanikiwa kumwelewa kabisa. Kwangu mimi namuona kama mtu aliye "so desperate and confused". Hajali sheria wala taratibu ama katiba ya nchi tena...
Spika Ndugai na wenzake huko CCM chini John...
Mzuka wanajamvi!
Licha yaFisi kuwa mlafi anakera sana. Ndio maana simba wanawauaga sana huko porini. Kisa cha chui akipata windo anapanda nalo mtini ni kwasababu ya fisi. Angalia iyo video walivyomkera huyo simba.
Programu ya YouTube Vanced husaidia watumiaji wa Android kutazama video za Youtube bila matangazo na pia hutoa huduma zingine za kulipwa za Youtube bila kuchaji.
Nilipata programu hii ya Android wakati nilikuwa nikitafuta programu kutazama video za youtube bila matangazo. Natumahi programu hii...
Najua wengi mnayafahamu mengi kuhusu tofauti za kimfumo na hata kiutamadumi katika siasa za Tanzania dhidi ya zile za Marekani.
Moja ya jambo ambalo wengi wanaliongelea sana ni uhuru wa vyombo muhimu katika ufanyaji wa kazi na majukumu ya kisiasa.
Huko Marekani, taasisi moja ambayo ufanyaji...
Ni juzi tu Rais Trump kapata nyomi la watu elfu 57 lakini hutakuja kusikia CNN wala MSMBC, n.K wakiripoti hivi vitu.
Kwa ukweli ni kwamba Wamarekani wenggi wameacha kufatilia main stream media, watu wengi wanaofatilia hizi media ni raia wa nje ya marekani wakiwemo Watanzania wa humu Jamii...
Very funny but questionable
Mtu pekee alieweza kutawanya kikundi hiki cha wanaume wa kitanzania ni polisi mmoja tu, tena ni dereva ambae hakuwa hata na chochote.
Jibu la ni moja tu ....UOGA 😂😂
Polisi kashuka bila chochote na hii ni ishara tu kwamba alikuwa ana nia njema kabisa
Ndugu zangu,
Baada ya Watanzania kutafsiri kwa vitendo umuhimu wa maendeleo ya watu na vitu kumeibuka mjadala mpya wa eti kwa sababu wagombea wa ACT na CHADEMA hawajachaguliwa basi hakuna demokrasia.
Hivi demokrasia ni lazima kuwe na wabunge mchanganyiko? La hasha!
Kama hawata kaa chini...
Mitandao ya kijamii ni eneo pana na lenye kuweza kuwekwa picha mbambali za video iwe za miaka ya nyuma, miaka hii au hivi karibuni.
Kwasababu la kiusalama inawezekana kabisa kuzuia mitandao isiwezeshe video za namna hii kutumika kueneza uchochezi na uvunjifu wa amani katika nchi yetu bila...
How I wish it was all just a very bad joke. [emoji38][emoji38][emoji38] 'Chama kitakatifu' kilivyoshinda uchaguzi kwa 'kishindo'. Watch the video clip of Wadiyan Games 100M Race; Courtesy of the movie "The Dictator", 2012.
Tazama jengo la shule lililojengwa zaidi ya miaka 85 iliyopita likihamishwa zima zima kama lilivyo katika mji wa Shanghai, China, kwa kutumia teknolojia iliyopewa jina "Mashine Inayotembea"
Jengo hilo lililopo katika eneo la Wilaya ya Huangpou lilijengwa mwaka 1935 kwa ajili ya Shule ya...
TCAA wamezuia chopper ya Tundu Lissu kuruka kutoka KIA kwenda Dar kwenye mkutano wa kufunga kampeni kwa madai ya hali mbaya ya hewa. Baada ya kusota zaidi ya masaa matano pale KIA hatimaye Lissu akaamua waruke kwa lazima bila kibali cha TCAA.
Alikuwa tayari kwa lolote hata kama ni chopper yao...
Wakuu, poleni sana na Majukumu yenu ya kila siku, Naomba kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote mliochangia kusambaza taarifa zote za uchaguzi za Chadema ikiwa ni pamoja na kusambaza kampeni kali za kiwango cha juu za Tundu Lissu Mgombea Urais wa Chadema, ambaye anatajwa kama Mgombea bora kabisa...
Naamini kuwa Rais Magufuli anastahili kupewa nafasi nyingine ya kuliongoza Taifa letu kwa miaka mingine mitano. Hoja zinazotolewa bado hazijatosha kuwafanya Watanzania wengi kutokumuunga mkono. Ushindi wake utakaribia asilimia 80...
Lissu atapigiwa kura na watu wengi vilevile lakini ana kazi...
Katika mkutano wa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu polisi walifika eneo la mkutano na kuanza kuwatawanya watu kwa kutumia mabomu hata hivyo kwa kuwa Lissu ni kiongozi Wala si mtawala aliamuru watu waondoke lakini hata hivyo wanasomanga hawakusita kuimba nyimbo za ushindi kama video inavyoonekana hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.