video

  1. JamiiForums Tanzania Video: Tupunguze stress na ban ya mada zetu, ukipenda cheka

  2. JamiiForums Tanzania 'Serikali ya Wanyonge' ndiyo adui namba moja wa maendeleo. Eti simu/video kupitia wavuti marufuku kupitia 'Bando'!

    Hata salamu sitoi.:( Leo nina hasira kupitiliza Ninaweza kumzaba kibao yeyete ambae naweza kukutana naye barabarani nikihisi tu kuwa kwa namna moja ama nyingine amehusika na 'Utopolo' huu, bila ya kujali yeye ni nani ama ana nini. Ni hivi; kwenye uchambuzi wa magazeti asubuhi hii ya leo...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Chris Embarambamba kupimwa akili kutokana na uchezaji wake kwenye video wenye kutia shaka

    Watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya wametaka mwanamuziki kutoka kabila la Kisii nchini humo afanyiwe uchunguzi wa akili kutokana na matukio ambayo amekuwa akiyafanya kwenye video zake. Uchunguzi huo unatarajiwa kufanyika katika hospitali ya magonjwa ya akili ya Mathari. Iwapo...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

    Chanzo Radio live nipo ndani ya daladala =====
  5. JamiiForums Tanzania Video: Dkt. Mpango arejea ofisini, apokelewa kwa bashasha

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!
  6. JamiiForums Tanzania Video: Daktari Elisha Osati aeleza hali ya Corona nchini. Asisitiza watu kuchukua tahadhari

    Daktari Elisha Osati akiwa kipindi cha Mtazamo cha Clouds Plus ameeleza hali ya Virusi vya Corona ilivyo nchini pamoja na uchukuaji wa tahadhari. Akijibu swali la Mtangazaji wa kipindi hicho lililomtaka kutoa tathmini ya hali ya Corona nchini Daktari Elisha alisema: "Hili swali uliloniuliza...
  7. JamiiForums Tanzania Uzalendo: Video ikionesha wananchi wakisafisha barabara baada ya lori kumwaga mafuta huko Singida

    Hii hapa
  8. W

    JamiiForums Tanzania Video Sender bei gani zinapatikana wapi

    Salaam Kifaa tajwa hapo juu nimetafuta sikipati na wengine wananiambia niagize. Ninachotafuta ni video sender ya kuchomeka kwenye video camera na kwenye laptop au tv kwa kutumia Mini Hdmi kwenye Camera na pia mi Hdmi kwenye upande wa tv au laptop. Umbali wa camera na tv/laptop 50meter au...
  9. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel atoa ufafanuzi kuhusu "Matatizo ya Kushindwa Kupumua"

    Kama hujaelewa hapa basi utakuwa na Chuki binafsi ====== Akihojiwa na Mwananchi, Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel ameeleza haya: Kwanza hamna taharuki kubwa kwa huu mwaka kama ilivyokuwa mwaka 2020. Mwaka wa 2020 tatizo hilo lilivyotekea taharuki haikuingia tu Tanzania, ilikuwa dunia...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kurekodi video kwenye simu huku Audio ikiendelea ku play in background?

    Naombeni msaada ndugu zangu,natumia samsung s6 edge plus,tatizo nililo nalo ni wakati wa kirekodi video huwa natamani audio iwe ina play lakini matokeo yake nikiplay audio Nikigusa video record Ile audio ina acha kuendelea kuimba. Hii inanifanya nashndwa kucheza huku nikijirekodi,nataka...
  11. JamiiForums Tanzania P-Funk: Yule angekuwa binti yangu, mngeona video mbili

    Akihojiwa kwenye kipindi cha "on point" kuhusu video ilisambaa akionekana binti akifanya mapenzi na kufanishwa na binti yake anaitwa Paula aliezaaa na msanii wa bongo movies, Kajala, Producer P-Funk amesema binti huyo anaeonekana sio mwanae Paula. "Umeona nimekaa kimya ujue yule sio binti...
  12. JamiiForums Tanzania Tazama video ya Jussa, jiulize ilikuwaje ACT Wazalendo ikaunda Serikali ya mseto

    Hapa Jussa akiingia msibani kumuaga Maalim Seif. Inatia uchungu sana.
  13. JamiiForums Tanzania VIDEO: Vita Kali ya Off-road, Toyota Land Cruiser vs European Vehicles

    Kuna vuta naona inaendelea kwenye forums mbalimbali kati ya wapenzi wa Toyota Land Cruiser dhidi ya wapenzi wa magari ya kimagharibi. Hapa nitaweka videos chache tu, wakishindanisha nguvu, uwezo wa kupita kwenye mazingira mabaya na kadhalika.
  14. JamiiForums Tanzania Rayvanny aweka video mtandaoni akiwa mahabani na Paula mtoto wa Kajala, Hamisa Mobetto adaiwa kuhusika kumlewesha na kumrubuni

    Haya haya jamani mji umechafuka kwa mara nyingine tena... Wakati Kajala anaendelea kutrend kutokana na picha zake na Harmonize wakiwa Zanzibar ikidaiwa wawili hao ni wapenzi, leo hii yameibuka mapya baada ya Rayvanny kutoka WCB kupost video akiwa na Paula Mathysse ambaye ni mtoto wa Kajala na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Video: Kocha wa Yanga na Wachezaji wa yanga walivyomfanyia fujo Mwamuzi baada ya mchezo

    Ni fedhea sana, ni aibu na haipashwi kufumbiwa Macho kwa hili la Kaze, Kaseke na Wapuuzi wengine wote wa Utopolo wanaolinajisi soka la Nchi yetu. TFF fungieni hawa wote akili zikae sawa.
  16. JamiiForums Tanzania Siasa acha iitwe siasa: Ukiinuliwa na Mungu daima utabaki kuwa juu lakini ukiinuliwa na mwanadamu ipo siku atakushusha chini

    Video inajieleza
  17. JamiiForums Tanzania Haya tena wale munoa penda kufanya kazi za ulaya angalieni hiyo video madhara yake

    Dada zetu waliopo Ulaya wanaofanya kazi za kuwaangalia wazungu wazee sana na wenye matatizo ya akili hayo ndio yanayo wakuta dada zetu. Kutafuta pesa kazi sana Pole yake dada yangu huyu.
  18. JamiiForums Tanzania Video: Hili ndio Bunge la viwango la kijani la awamu hii, msikilize Waziri wa Afya

    Ni vituko juu ya vituko !
  19. JamiiForums Tanzania Ninahitaji watu wenye idea na video production watakaokuwa tayari kujitolea kufanya project free ila kwa malengo

    Nadhani kwa wale wenye idea na mambo ya movie making wanaelewa ila lengo la kuanzisha hii thread ni kukutanisha watu wenye mawazo tofauti ya idea moja. Na sio mawazo tu hata nyenzo(vitendea kazi) naamini tupo vijana wengi ambao tuna idea ila jinsi ya kuzifikisha kuna vitu vinatukwamisha kama...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Lugha inayotumikwa kwenye hii video ni Kiswahili cha wapi, au ni lugha gani hii?

    Kuna baadhi ya maneno ya kiswahili yanaeleweka, lakini mengine ni mfanano na mengine ni kama kilugha, ni lugha ya wapi hii hapa bongo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…