Video ikimuonesha MuIran akichoma moto bendera ya Israel badala yake ikamchoma moto mwenyewe

The Stress Challengerr

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,393
6,549
Inakuwaje wanajamvi!

Mkiambiwa Israel ni taifa teule takatifu la Mungu wa kweli mnabisha. Hii Video inasambaa kwa kasi sana kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha raia wa Iran akichoma moto bendera takatifu ya taifa teule la Israel na badala yake bendera ikamchoma moto mwenyewe.

Mungu mwenyewe kasema ukiibariki Israel utabarikiwa. Ukiilaani utalaaniwa.

 
IMG_20210514_180704.jpg
 
Acha tu... Eti muafrika unasimama na Israel wakati wao wanabagua Waisrael wenye asili ya Afrika. Wako mitaani kule hawana pa kuishi kwa kutengwa.
Tuko tayari kufa kwa ajili ya wayahudi na taifa takatifu teule la Israel. Hilo halipingiki na halikwepeki. Bora kusimama na kubaguliwa na Israel watu wa Mungu wa kweli utapata baraka. Kuliko kusimama na usibaguliwe na nchi na jamii UCHWARA!
 

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom