video

  1. M

    JamiiForums Tanzania Video ikimuonesha MuIran akichoma moto bendera ya Israel badala yake ikamchoma moto mwenyewe

    Inakuwaje wanajamvi! Mkiambiwa Israel ni taifa teule takatifu la Mungu wa kweli mnabisha. Hii Video inasambaa kwa kasi sana kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha raia wa Iran akichoma moto bendera takatifu ya taifa teule la Israel na badala yake bendera ikamchoma moto mwenyewe. Mungu mwenyewe...
  2. JamiiForums Tanzania Watoto Walindwe: Mtoto apigwa kama mnyama, ugomvi wangu ni huyu aliyechukua hii video anaroho mbaya sana

    Wazazi na jamii kwa ujumla hatuna budi kuwapa ulinzi watoto mahali popote pale unapokutana na tukio ambalo si la kiungwana kwa watoto, mtoto hata kama si wako ni wajibu wako kumlinda. Nimetafakari nikakosa majibu huyu aliyekuwa anachukua video hii alikuwa na roho gani? Badala ya kumuokoa mtoto...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Mbinu za Kimila za kuiangusha Kaizer Chiefs zaanza kutumika

  4. JamiiForums Tanzania Application ya Kutafsiri sauti ya lugha za kwenye Video

    Habari ya mda huu wana JF Kama kichwa kinavyojieleza wadau Hivi hakuna application inayoweza kutafsiri sauti ya kwenye video au audio ya kwenye video
  5. JamiiForums Tanzania Video: Laana ya kumhujumu Meya Isaya Mwita yamtafuna Mkurugenzi Sipora Liana, adhalilishwa kikaoni

    Hii ni aibu sana. Hata kama ni ofisa Kipenyo lakini kwa haya ni fedheha, hawa ndio walokole wa Tanzania! Noma sana. Kumbe wanapigiana simu gizani! Zaidi soma: RC Makalla amaliza mgogoro wa Meya na Mkurugenzi Kinondoni
  6. F

    JamiiForums Tanzania Video: Waziri Adolf Mkenda, Waziri mwenye presentation skills nzuri zaidi na presidential material

    Huyu waziri wa kilimo Proffesor Mkenda ni mtu mwenye uwezo mzuri wa kupresent hoja zake, ni msomi mahiri na atatufaa sana siku moja kwenye kile kiti kikubwa.
  7. JamiiForums Tanzania Ufalme wa Hanscana kama Video Director umefikia mwisho- Amekuwa mwenye hofu sana sasa hivi

    Tasnia ya utengenezaji wa video za wasanii wa Bongo fleva imeanza kitambo sana. Kumekuwa na Directors wengi lakini mapinduzi ya video yamekuwa yakifanywa na Directors ili kuanzisha either trend mpya au Directors wenyewe kulazimika kukua baada ya wasanii kutaka video zenye ubora. Kuna wakati...
  8. JamiiForums Tanzania Video: Kiongozi Mshamba wa UVCCM Tarime atangaza kipigo kwa wapinzani, wala hajaguswa na Polisi

    Ushahidi huu hapa .
  9. JamiiForums Tanzania Tunaposema CHADEMA ni taa ya nchi hatutanii, hebu angalia video hii

    John John Mnyika alishaweka angalizo mapema sana kuhusu chanjo ya COVID-19, sasa angalieni kilichosemwa leo .
  10. JamiiForums Tanzania Video: Kombora la Israel lilivyoangusha jengo la ofisi za Al Jazeera

    Mashambulizi ya makombora katika eneo la Gaza yanaingia siku ya sita mfululizo, huku idadi ya vifo ikiongezeka kufikia watu 140, wakiwamo watoto 39. Israel imeendelea kutumia makombora kushambulia majengo marefu katika eneo la Gaza, ikilenga jengo la ofisi za Shirika la Habari la Al Jazeera na...
  11. JamiiForums Tanzania Anahitajika VIDEO EDITOR

    Habari wadau! Anahitajika mtaalamu wa video editing,awe anajua kuedit vizuri video na mzoefu, tuma sms kwenye namba hii 0687234549. Note:awe mkazi wa Daressalaam.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Serikali ikemee kwa nguvu zote wanaodai Hayati Magufuli kauawa, iondoe video zote YouTube na kuwasaka wahusika

    Mada hapo juu inaeleweka vizuri. Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni. Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge...
  13. JamiiForums Tanzania Video ya Anjela wa konde music worldwide yawa gumzo, yafikisha zaidi ya views milioni moja ndani ya saa 24

    Video ya msanii Anjela wa konde music worldwide imefanya maajabu na kuonyesha kukubalika kwa haraka sana ambapo imefikisha zaidi ya views milioni 1 ndani ya saa 24. Mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi baada ya kutambulishwa kwa mwanadada huyo mwenye vocals hatari na mashairi machachari...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Hivi ndivyo aliyekuwa DC wa Hai, Ole Sabaya alivyotumia madaraka yake vibaya kuiba, kutesa na kuua. Kwanini asiende jela huyu...?

    Hawa ndiyo "vijana wa kazi"wa Mwendazake Magufuli... Waliitumikia LEO kwa kuvunja sheria na maadili ya Utumishi kwa kunyanyasa wanaowaongoza (wananchi) kwa sababu wana madaraka na kusahau kabisa kuwa kuna KESHO... Walitegemea KULINDWA NA MTU badala ya matendo yao ya HAKI.. Katika video hii...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Wataalamu wa silaha tuzungumzie accuracy ya hizi ndege za Israel

    _Yani nga inalenga pale pale _ Hakuna jengo la jirani lililoathirika. Hii inawezekanaje...? _Na hawa wachukua video walijuaje kama hilo jengo linakuja kuripuliwa?
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bora tu muendelee kukatalia Wakenya, hizi video huonyesha kwa kweli tutawakoloni mkiachia

    Huwa nafuatilia channel ya hawa wadau ambao huwahoji Watanzania vitu vya kawaida, yaani Watz wapo wapo tu siku ziende, elimu mbovu hawana uwezo wa kushindana na moto wa Wakenya. Bora hivyo wao huogopa Wakenya maana duh!
  17. JamiiForums Tanzania Video: Jeshi la Maji la Uingereza latumia teknolojia ya mtu kupaa kupambana na uharamia

    Jeshi la Maji la Uingereza limefanya majaribio ya kutumia mavazi maalum yanayomwezesha mtu kupaa kwa lengo la kuboresha operesheni za kuzuia uharamia baharini. Kampuni ya utafiti wa teknolojia ya anga ya Gravity Industries imechapisha video inayoonesha wanajeshi hao wakifanya mazoezi kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Video: Iftar ya Rais Samia ndani ya Ikulu ya Kenya

    Nadhani Rais alihisi yuko Zanzibar kabisa.
  19. JamiiForums Tanzania VIDEO: Aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango

    Yeereeeeeh! Maisha yanaenda kasi sana na kubadilika ghafla. Video hapo chini aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango.
  20. JamiiForums Tanzania Msaada naomba kufahamu desktop computer ya kawaida sana kwa kazi za video editing

    Salam ndugu zanguni. Naomba kufahamu ni desktop computer yenye sifa zipi inauwezo wa kufanya kazi za kuzalisha na kuhariri picha za video, naomba kusaidiwa hili kwa wataalamu wa humu jukwaani wanaofanya kazi hizi na wasiofanya. Inatakiwa iwe ya gharama za chini kabisa kuliko zote,Nataka kujua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…