video

  1. JamiiForums Tanzania VIDEO: Nafikri vijana wa Arusha wameshindikana aisee

  2. JamiiForums Tanzania Video :Barabara Kuu ya Tanzam Dar-Mbeya-Tunduma Ilipaswa kuwa Hivi.

    My Take Sina hakika kama Tanzania tunajenga Barabara Kwa viwango vizuri kama hivi 👇
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hii ya magari yakisaidiana ni halisi

    Kumekuwa na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa dereva mmoja alimsaidia mwenzake ambaye gari lake lilipata hitilafu ya tairi moja. Katika video hiyo, dereva huyo anatajwa kuwa shujaa kutokana na hatua yake ya kumsaidia mwenzake.
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Picha Kuwa Video kwa Kutumia AI ya Grok Imagine

    18 Julai 2026 Teknolojia ya akili bandia imefanya kazi ya kutengeneza video kuwa rahisi zaidi kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita. Sasa hauhitaji kamera ya gharama kubwa, mwigizaji, studio au ujuzi mkubwa wa ku-edit video ili kutengeneza video fupi zinazovutia. Kwa kutumia Grok Imagine...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ai yawa msaada kwa wanafunzi wenye usikivu hafifu wanaopata shida kujifunza darasani, group discussions, videos, voice notes, n.k.

    Teknolojia haiwezi kuchukua nafasi ya walimu, lakini inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kuongeza usawa wa fursa za kujifunza kwa kila mwanafunzi. Leo hii, AI imekuwa kama mwalimu binafsi anayepatikana muda wowote, hata ukiwa chumbani kwako japo kwa tahadhari kwasababu haipatii kila kitu. Wanafunzi...
  6. JamiiForums Tanzania Hii video imejaribu kuelezea muhtasari mfupi wa hizi beef utumbo za humu JF 😁

    Mnatukanana kwa emojis na ID hewa za majina ya uongo😁
  7. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Police Breaks Silence on Viral Video of Security Officers Firing Shots in Kampala

    Kituma Rusoke, Uganda Police Spokesperson Police have issued a statement addressing a viral video circulating on social media that shows armed security officers firing shots into the air in Kampala’s Central Business District. According to the statement, the incident occurred on Monday, July...
  8. JamiiForums Tanzania FALSE Video Claims Minister Justine Nameere Fell in Mbale during inspection on muddy road

    False video Tunachokijua(what we know): Uganda’s Local Government Minister Balaam Barugahara and State Minister Justine Nameere Nsubuga found themselves literally bogged down in the very problem they set out to inspect. On July 20, 2026, their convoy became stranded on the slippery slopes of...
  9. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii Dunia imejaa madeni kila kona haiwezi kujiendesha kwa Kodi na Mikoo tena | Tegemeo la Dunia kwa sasa ni Ubia (PPP) - Kafulila

    KAFULILA: DUNIA IMEJAA MADENI UBIA NDIO SULUHISHO Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Kafulila, akizungumza katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), alisema kuwa ajenda ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi siyo ya Tanzania pekee, bali ni mwenendo wa dunia kwa sasa...
  10. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Video: security agencies cordon off pff offices

    Security agencies have cordoned off the People’s Front for Freedom (PFF) offices on Katonga Road, preventing members from accessing the premises where Juma prayers had been planned for Dr. Kizza Besigye and former Lord Mayor Erias Lukwago, who are facing treason charges. Courtesy of UBC
  11. JamiiForums Tanzania Bongo Zozo amempost Humphrey Polepole, anadai amemmiss sana rafiki yake

    Leo nimeona Bongo Zozo amepost video ameweka na Caption "Nimemkumbuka sana rafiki yangu jamani 🥲🥲" Imefanya niwaze, ndugu, jamaa na marafiki wa Humphrey Polepole watakuwa wanaumia sana. Tunakoelekea Watanzania wataanza kuikimbia nchi yao wataanza kudhalilika kwenye nchi za watu kama Wanigeria...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Naandaa Video Inayoonyesha Mkusanyiko Wa Kauli Tata Za Viongozi wa CHADEMA na wanaharakati Zilivyochochea Vurugu wakati na baada ya Uchaguzi

    Ndugu zangu Watanzania, Nipo Nafanya Maandalizi Mazito kwelikweli ya Kutoa video itakayoonyesha Mkusanyiko wa Kauli Tata na za kichochezi zilizokuwa zikitolewa na viongozi wa CHADEMA na wanaharakati kabla ,wakati na baada tu ya zoezi la uchaguzi kufanyika. Ambazo kwa kiasi kikubwa zilionyesha...
  13. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda VIDEO: Minister Intercepts School Van Carrying Over 70 Pupils Instead of 29

    The Minister of State for Youth and Children Affairs, Dr. Lakisa Mercy Faith, has condemned the dangerous practice of overloading school vehicles after intercepting a coaster carrying more than 70 pupils, despite having a seating capacity of only 29. (video courtesy of Hon. Dr. Lakisa Faith)...
  14. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Video: University students evicted over 2006 land dispute ruling

    More than 20 Muni University students have been evicted from rented houses in Ayibiri Cell, Arua City, following a 2006 land dispute ruling. Residents argue the eviction order applies to Ocolini Cell in Bunyu Ward, not Ayibiri Cell in Onzivu Ward. Courtesy of UBC
  15. JamiiForums Tanzania Nimeangalia video mpya ya Bertin ya Arusha CBD, ni pazuri sana

    Nilikuwa naangalia video mbili za Bertin zinazoonesha maeneo ya Arusha hasa City Centre, kwa kweli ni pazuri sana Kuna very high level ya ustaarabu, ukiangalia unaona kabisa haya ndio mazingira ambayo yanatakiwa kuwepo Tanzania nzima Paved roads, bustani, miti mingi sana, utulivu na usafi wa...
  16. JamiiForums Tanzania VIDEO: Hawa ndio kuku na mayai yao tunalisha familia zetu. Nawaonea wivu watu wa mikoani kuwa na access na kuku wa kienyeji kila kona na kwa ukaribu

  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda VIDEO: "Where Is Muwanga Kivumbi?" LOP Questions Government Over MP's Whereabouts

    Leader of the Opposition Joel Ssenyonyi has demanded that the government explain the whereabouts of Butambala County MP and National Unity Platform (NUP) Deputy President for Buganda, Muhammad Muwanga Kivumbi, whose location has remained unknown since Friday after he was reportedly intercepted...
  18. JamiiForums Tanzania Video: Wakaka wa jf kutuma na yakutolea mmeshindwa mnajifanya wanaume haya hii challenge ya kiume mnaiweza

    Wanaume wa jf mmejaa majigambo tele haya mnameza kumjibu huyu mwenzenu kwa challenge hii: (kwa mtazamo wangu huyu ndio mwanaume huyu hashindwi kunibeba) https://vt.tiktok.com/ZSXrCKy7k/
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DCI Wamuua Suspect wa Armed Robbery Aliyenaswa Kwenye Viral Video ya Uvamizi Westlands

    Mshukiwa mmoja anayehusishwa na tukio la armed robbery lililonaswa kwenye viral video akivamia restaurant moja eneo la Spring Valley, Westlands, ameuawa katika operesheni ya maafisa wa Directorate of Criminal Investigations (DCI) huko Joska, Machakos County. Kwa mujibu wa DCI, detectives...
  20. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda VIDEO: Government to Connect One Million Ugandans to Free Electricity

    The government has announced plans to connect one million Ugandans to electricity free of charge under the Electricity Scale Up Project. Speaking about the programme, State Minister for Energy, Phiona Nyamutooro said eligible households will receive both one pole and no pole electricity...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…