Na ukiwaambia wa kina Kiranga kuwa logic na brain reasoning haihusiani na Mungu wanakimbia. Wanasema ni logical fallacy😂😂
Okey, kwahiyo anachosema swali la MUNGU alipotoka ni swali la kizezeta linalomprogram MUNGU kwenye box la Time-space.
VItu vyote vipo ndani ya mungu ndiyo maana hakuna namna ukaenda umbali wowote kumuepuka mungu ...ulimengu wote upo ndani ya munguKama Mungu hana mwanzo wala haitaji muumba, kwa nini isiwezekane ulimwengu wenyewe ukawa ndio hauna mwanzo na haitaji muumba?
Watu wanagongelea spiritual force, hivi ndio kitu gani hiki?
You think so ?Very perfect answer!
Usinitoe kwenye wokovu yoda😎You think so ?
Baki humu ndani 😁
Hakuna atakayekutoa, utatema bungo mwenyewe.Usinitoe kwenye wokovu yoda😎
All these years why now?Hakuna atakayekutoa utatema bungo mwenyewe.
Utaijua kweli nayo itakuweka huruAll these years why now?
Thibitisha haya majibu ni ya ukweli na si hadithi za kuungaunga tu.
Huru ipi and for what purpose?Utaijua kweli nayo itakuweka huru
Utakuwa enlightenedHuru ipi and for what purpose?