Hii video huwa inanifikirisha sana

Hii video huwa inanifikirisha sana

The Lisova

Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
40
Reaction score
35
Hiyo video ilisambaa sana mwaka jana wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Ukikutana na wahitaji halisi usisite kuwasaidia, hasa watoto. Maisha ni magumu sana kwa walio wengi. Mshukuru MUNGU kama una uhakika wa kupata mlo kamili wa siku.

 
Kaka inaonesha unasapoti Israel, wewe wema wako ni kwa watoto wa ki kenya tu au kwa watoto duniani kote?
f_mo_lon_schoolstrike_240704-whbyxa.jpg
298344.jpg
 
Daaah kmmk hii clip imenitoa machozi, mtoto alivyolia baada ya kupewa pesa
 
Back
Top Bottom