Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

Video: Alafu utasikia kuna watu wanasema eti hakuna uchawi.

Right Flower

Senior Member
Joined
Jul 9, 2026
Posts
152
Reaction score
290
Mgonile,

Tukiweka ubishi pembeni kuna matukio ukiona tu papo hapo akili yako inakwambia jambo hili haliwezekani kwa kanuni za kawaida isipokua kwa nguvu tusiyoiona ila tunaweza kwa hakika kutambua uwepo wa nguvu isiyo ya kawaida katika mazingira fulani hadimu mfano katika tukio hili:

video:


View: https://vt.tiktok.com/ZSqqb3kxw/
 
Fala tu uyo Mwafrika sijui. Hawa wanyanyua wanakuaga machoko tu
haaa haa au wivu !? Maana waTz mtu akikushinda jambo lazima umbandike majina mabaya. Tumesikia Diamond ni freemason, etc fanya mazoezi uwe imara na muonekano wa kiume usiwe kama sie wamama
 
Mgonile,

Tukiweka ubishi pembeni kuna matukio ukiona tu papo hapo akili yako inakwambia jambo hili haliwezekani kwa kanuni za kawaida isipokua kwa nguvu tusiyoiona ila tunaweza kwa hakika kutambua uwepo wa nguvu isiyo ya kawaida katika mazingira fulani hadimu mfano katika tukio hili:

video:


View: https://vt.tiktok.com/ZSqqb3kxw/

Kwanza kabisa, uchawi ni nini?
 
Back
Top Bottom