Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,020
- 6,858
Video ikimuonyesha askari akivutana au unaweza kusema kupigana na mmoja ya mwanachi.
Watu waliokuwa eneo la tukio wanahoji kwani amefanya kosa gani lakini bado polisi hao wawili walikuwa wanalazimisha mwananchi huyo kuingia kwenye gari lao.