video

  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video ikimuonesha Mbappe akicheza mpira na Roboti

    Salaam Wakuu, Nimekutana na Video ikimuonesha mchezaji wa PSG Kylian Mbappe akicheza mpira na Roboti. Kuna ukweli kuhusu video hii? Tunaombeni ufafanuzi. Video iliyosambaa mtandaoni
  2. uran

    JamiiForums Tanzania Video: Lini Polisi wetu watakuwa na haya Maarifa?

    Jeshi la Polisi la Tanzania wanapaswa kuwa na Ueledi zaidi. Tizama Video Huyu ndugu yetu Hamza tusingempoteza. https://youtube.com/shorts/6h1kmOlwE34?si=xwdoAccRSXkUmYeh
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Kubwa la HAMAS bwana Hassan Atresh lapigwa shaba na kuuawa

    Hawa wanaisha hadi basi tu.... An Israeli fighter jet successfully assassinated Hamas leader Hassan Atrash, the IDF and Shin Bet announced on Saturday. The assassination took place in the Rafah area in southern Gaza. Atrash was responsible for the trade, production, and equipping of the...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Waacheni watoto wasome, msiwatumie kwenye siasa

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli, aliwahi kupendekeza kufutwa utaratibu wa kutumia Watoto katika Siasa kwa kuwaita Chipukizi ambapo alihoji Watoto hao watakuwa na muda gani wa Kusoma endapo watakuwa katika masuala ya Kisiasa.
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: IDF wagundua handaki lenye ghorofa kadhaa kwenda chini

    Hawa magaidi wa dini hizi hela wangezitumia vizuri wangebadilisha maisha ya Wapalestina, yaani miaka yote waliwekeza kwenye miundo mbinu ya kiugaidi tu. Israel wana kila haki ya kufyatua Gaza na kuifanya majivu, haiwezekani unaishi jirani na watu ambao kila siku wanawaza kukufuta kwenye ramani...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tukivujishiwa video za wale waliokuwa wanaokotwa kwenye mifuko ya Sandarusi baharini hali itakuwaje?

    Kwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas, bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu. Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa...
  7. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Najuta kuingalia video ya Joshua

    Mzuka wanajamvi. Najuta kuingalia hii video ya kaka yetu Joshua Mollel aliyetekwa na kuuwawa kikatili bila huruma huku hawa waliofanya mauaji hayo wakishangilia na kumtukuza Mungu wao. Imenifanya niwe na trauma na chuki dhidi ya hawa binadamu. Sina uwezo tu ila nawaombea laana na kamwe...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Magaidi 70 ya HAMAS yaliyokua ndani ya hostpitali yajisalimisha na bunduki zao

    Jamaa wameamua isiwe tabu IDF airs clip of gunmen surrendering in northern Gaza hospital, says 70 handed themselves in https://twitter.com/i/status/1735253223751946703
  10. J

    JamiiForums Tanzania Biden: Ni Wajibu wa Marekani kuisaidia Israel hadi itakapohakikisha Hamas imefutika na wamebaki raia Wema wa Palestine!

    Rais Biden amesema ni Wajibu wa Marekani kuisaidia Israel hadi kundi la Hamas litakapoangamizwa kabisa na kubakia raia Wema wa Palestine Biden amesema ana hakika mwisho wa Magaidi wa Hamas umefika Source BBC news
  11. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Video: Mvua kubwa ilivyosababisha athari mitaa ya Mwanza, leo Desemba 10, 2023

    Hizi ni video zinaonesha hali ilivyokuwa asubuhi ya Desemba 10, 2023 katika Mitaa ya Uhuru na Liberty Jijini Mwanza ambapo mvua kubwa iliyonyesha maeneo tofauti imesababisha uharibifu wa baadhi ya vitu na miundombinu.
  12. Kiungopunda

    JamiiForums Tanzania Video inafikirisha sana

    Kwa kuwa tumejikuta tu Duniani bila idhini yetu kuwa tuzaliwe na tuishi humu au lah ila tunapitia changamoto sana za kuwa duniani. Basi tu kwa kuwa tumejikuta tupo tu ila sio sehemu salama kabisa kwetu wanadamu kuishi. Mateso ni mengi sana katika gereza hili la Roho zetu yaani Duniani.
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Wapalestina watumia mawe kujaribu kupigana na HAMAS waliokua wanaiba chakula cha misaada

    Hali imekua mbaya, Wapelestina na magaidi ya HAMAS waanza kugombea chakula cha misaada, kwenye hii video jameni maskini Wapalestina wanatumia mawe kupambana na magaidi yaliyojihami kwa bunduki. Wafuasi wa HAMAS humu JF tafuteni namna ya kuwafikishia chakula waache kutesa watu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Video: Mafundi wa TANESCO waporomoshwa na vijana wenye hasira za kukatika-katika kwa umeme

  15. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania Sasa utaweza kueleweshwa na Kutafsiriwa video yoyote yenye lugha yoyote kupitia AI(Akili bandia)

    IQ>>AI Na KENGE Technology ya AI inazidi kukua siku hadi Siku,kupelekea makampuni makubwa kama Google na Microsoft kushindana ubunifu wa AI Technology.Kwasasa tumeona picha nyingi zikisambaa kila mtu anaweza kutengeneza picha yake kama tulivyoona hapa Jinsi ya kutengeneza Picha kwa AI...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Population Crisis: Kim akilia machozi kuwaomba Wanawake wa Korea Kaskazini kuzaa watoto ili kuongeza idadi ya watu

    Huyu jamaa na makombora yake sikujua naye anaweza kufikwa na huzuni mpaka abubujikwe machozi, akina mama pia nao wajiunga kwenye kulia machozi maana mkuu analia, hii ilikua baada ya kusoma taarifa jinsi uzao unapungua, mama hawazai tena kisa changamoto nyingi. ================== Rais wa Korea...
  17. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Kuna Video vixen ni watamu balaa, wananiumiza roho mwenzenu

    INTRODUCTION Hamjambo bandugu... Leo nimejiuliza "Nikishapata sanaa hela NINI KINAFATA?" Nikajijibu "Ni stareheeee" Sasa nikiwaza, hivi Hawa Video Vixen watoto warembo wanapatikana wapi? BODY: Ngoja twende mdogomdgo MTANIELEWA TUU... Mi bwana pamoja ya kwamba sitaki kuoa ila hawa watoto...
  18. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Video: je wanyama Wana hisia kama binadamu?

    Nimeona video Moja nyati wawili wakiwa wanapigana, then akaja nyati Mwingine akamshambulia Mmoja Kati ya wale nyati waliokua wanapigana. Nikawa najiuliza je nyati Wana hisia kama binadamu? Kwamba labda na wenyewe wanaweza kua na rafiki damudamu mpaka akamsaidie? Mfano kama jinsi kundi la nyumbu...
  19. Nahonyo

    JamiiForums Tanzania Maada naomba kujuzwa app ya kudownloard video youtube

    wana forums, naomba msaada wa kujuzwa app ambayo naweza kushusha video yaani ku (downloard) video youtube, asanteni.
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Msemaji wa magaidi ya HAMAS alivyotupa mic baada ya kubanwa na swali la kwanini waliua kiholela

    Jamaa alimumunya maneno na kujaribu kueleza kuwa hawakuua watu wasio wanajeshi ila alipohojiwa na kubanwa kwanini waliua familia za watu kwenye nyumba zao, watoto na akina mama, lizee likatokwa na jasho na kutupa mic, lilishindwa kujibu. Ni aibu sana kwa mzee mtu mzima kama huyu kushindwa...
Back
Top Bottom