Duuu.......Yeye binadamu wa kawaida akiwa nje ya madhahabu.
Sio mbaya.
Bora umnusuru na walimwenguHii nadhani ilikuwe kwenye engagement ya manara niliona wameweka tangazo DSTV
Nuru na giza kamwe havichanganywiYeye binadamu wa kawaida akiwa nje ya madhahabu.
Sio mbaya.
Mwache ajiliwaze Kuachwa na mke sio Jambo dogoMchungaji Mc Pilipili ameonekana akiwa Club na watu maarufu wakiwa wanakula bata.
View attachment 2880386
Nini maoni yako?
Pilipili kaachwa? Lini hiyoMwache ajiliwaze Kuachwa na mke sio Jambo dogo
Mke yupi? Yule aliyelia wakati kapiga goti akimvisha pete?Mwache ajiliwaze Kuachwa na mke sio Jambo dogo
Wananzeko wanasema kaachwa, kataa ndoaMchungaji Mc Pilipili ameonekana akiwa Club na watu maarufu wakiwa wanakula bata.
View attachment 2880386
Nini maoni yako?
zeia so styupidi Aiem telingi yu manMazafaka sani ofu ze bichi
Kaachwa?Wananzeko wanasema kaachwa, kataa ndoa